×

Habari

MMILIKI WA MABASI YA HBS NA SABENA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI

Mfanyabiashara Sultan Ahmed au maarufu Chapa ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya mabasi ya HBS na Sabena anadaiwa kujiua kwa...

READ MORE

Serikali: Marufuku Kuoa, Kuolewa Bila Kutoa Taarifa

SERIKALI ya Kata ya Nsalala, Tarafa ya Itwangi, mkoani Shinyanga vijijini imetunga sheria ndogo ya kutokomeza mimba na ndoa za...

READ MORE

JPM Ateua M/Kiti Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesbau- NBAA

Rais Magufuli atweua Mwenyekitu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesbau- NBAA

READ MORE

Uingereza: Mwili wa Leyla Kukaa Mochwari Zaidi ya Mwezi – Video

IKIWA leo ni siku ya 13 tangu mtanzania aliyeuawa na mumewe, Kema Salum, nchini Uingereza, Taarifa  zilizotufikia zinasema kuwa bado...

READ MORE

VIGOGO WALIOTELEKEZA WATOTO WAFIKIA 107, MSAKO KUANZA KESHO

      Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema kuwa kuanzia kesho Alhamis wanaume wote ambao...

READ MORE

Rais Kenyatta Asaini Sheria ya Pedi Bure kwa Wanafunzi

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesaini muswada wa sheria mpya ambayo sasa itakuwa sheria kamili, inayoitaka serikali kugawa pedi bure...

READ MORE

SPIKA NDUGAI: Makonda Amenitikisa – Video

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema zoezi linaloendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana Jumanne, Aprili 10, amezindua chanjo ya...

READ MORE

MCHENGERWA: Waziri Mkuu Atueleze, Migogoro ya Kisiasa Inasababishwa na Nini?

Kikao cha Sita cha Mkutano wa 11 Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilichofanyika jana Aprili 10,...

READ MORE

Tundu Lissu Apasuliwa Tena Mguu, Atoa Kauli

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kwa amara nyingine tena, leo Aprili 11, 2018 ataingia kwenye chumba cha...

READ MORE

TUNACHOJIFUNZA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA-4

ILIPISHIA WIKI ILIYOPITA… Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha maelfu ya watu kuuawa kikatili....

READ MORE

TECNO CAMON X NA X PRO ZATAMBULISHWA RASMI

TECNO, kampuni ya simu za mkononi inayofanya vizuri barani Afrika inaendelea kutanua soko lake baada ya kuzindua simu mpya TECNO...

READ MORE

NDONYA KWA WAMAKONDE ILIKUWA SILAHA YA KUJILINDA

WAMAKONDE na Wameto wa Msumbiji wanaishi katika Mkoa wa Cabo Delgado Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo na Wamakonde wa Tanzania wanaishi...

READ MORE

Tunachojifunza Mauaji ya Kimbari Rwanda-3

Watanzania wengi hawajui nini kilisababisha mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda yaliyosababisha mamia ya watu kuuawa kikatili sana. Naamini kama...

READ MORE

Mama, Bintiye Wauawa, Watumbukizwa Chooni – Video

AKATI tukio la Mwandishi na Mhariri wa Gazeti la Kingereza la The Guardian, Finnigan Simbeye kuokotwa akiwa hajitambui huko Bunju...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe kwa Jembe

HALI ya sintofahamu imewakumba wananchi wa Kitongoji cha Magharibi na wananchi wa Kijiji cha Mwibagi katika Kata ya Kyanyari, wilayani...

READ MORE

MJANE TANGA ALIYEMLILIA JPM MAPYA TENA

MAPYA tena yameibuka kwa yule mwanamke aliyejitokeza mbele ya Rais Dk. John Magufuli kudai amethulumiwa mali na baadaye kufungwa miezi...

READ MORE

WAWILI WAONDOKA NA BODABODA SHIKA NDINGA YA EFM

WAKAZI  wawili wa Dar es salaam, Ashura Ramadhan na Abbas Awadhi waliibuka kidedea baada ya kuwa  washindi katika shindano la shika...

READ MORE

Wanaume Dar Waliotelekezewa Watoto Wajitokeza Kwa Makonda – Video

  Baadhi ya wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam leo wamejitokeza kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

SYLVIA MULINGE WA SAFARICOM AWA BOSI WA VODACOM TANZANIA

  MKURUGENZI wa Kitengo cha Biashara cha Wateja wa Safaricom, Sylvia Mulinge, ameteuliwa kuwa mkuu wa kampuni ya Vodacom nchini...

READ MORE

TRA Yakusanya Trilioni 11.78 Ndani ya Miezi 9 (Video)

Mamlaka ya Mapato Tanzania imekusanya Tsh Tril 11.78 katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai...

READ MORE

Basi la Kampuni ya Maqadir Lapata Ajali Tanga

Basi la Kampuni ya Maqadir lililokuwa linatoka jijini Tanga kwenda Kijiji cha Mtae, Wilaya ya Lushoto mkoani humo, limeanguka asubuhi ...

READ MORE

USIPITWE NA SPORTS BREAKING NEWS POPOTE ULIPO

  Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na kimataifa na matukio mengine ya papo kwa papo kupitia kiganjani...

READ MORE

Wanawake Waliotekelezwa Wadai Kuzaa na Viongozi Mbalimbali

WANAWAKE 480 waliotelekezwa na watoto ambao jana waliitikia wito wa kwenda kusaidiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

Winnie Mandela alikuwa shujaa au muasi?

    MKE wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Mandela ambaye alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini...

READ MORE

Wabunge Walivyovaana Bungeni Ishu ya Bombadier – VIDEO

MBUNGE wa Viti Maalum, Mkoa wa Morogoro, Devota Minja (CHADEMA), amefunguka bungeni na kusema kwamba wanachopinga wapinzani sio Serikali kuwa...

READ MORE

BREAKING: MOTO WAZUA TAHARUKI BUNGENI

Mwenyekiti wa bunge, Mussa Azzan ‘Zungu’ ameahirisha shughuli za bunge ikiwa ni dakika 12 kabla ya muda uliotakiwa baada ya...

READ MORE

Breaking: Wabunge wa Zanzibar Wasusia Bunge Kisa Muungano

WABUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaotokea Zanzibar, wamesusa na kutoka ndani ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Mama Awekwa Mahabusu na Mwanaye wa Miezi 6, Mtoto Afariki! – Video

SAKATA la kifo cha mtoto mchanga wa miezi sita, Halfani Lema, mkazi wa Ibanda Kata ya Nyegezi jijini Mwanza, limechukua...

READ MORE

Msukuma, Kibajaji Wamshambulia Nape Bungeni – VIDEO

MBUNGE wa Jimbo la Mtera, Livigstone Lusinde, amempongeza Rais Magufuli, kwa juhudi kubwa anazozifanya za kuiletea nchi maendeleo, ikiwa ni...

READ MORE

‘BWEGE’ AKINUKISHA BUNGENI, ASAPOTI WARAKA WA MAASKOFU – VIDEO

MBUNGE wa Kilwa Kusini, Said Bungara (CUF) maarufu kama ‘Bwege’, amesema hakubaliani na kipengele kilichopo kwenye hotuba ya Waziri Mkuu,...

READ MORE

POVU LA NAPE: “Kwa Hili… Serikali Imeisaliti Ilani ya CCM” – Video

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema kuwa wapiga kura wa mikoa ya Lindi na Mtwara walitegemea kupata neema...

READ MORE

ASKOFU KAKOBE AJISALIMISHA UHAMIAJI SAKATA LA URAIA WAKE – VIDEO

Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zakary Kakobe akizungumza na waandishi wa habari. Askofu Mkuu wa...

READ MORE

BREAKING NEWS: WATU 8 WAFARIKI AJALINI MBEYA

WATU nane wamefariki dunia papo hapo na mmoja amejeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana na basi...

READ MORE

Joyce Kiria Ajitokeza kwa Makonda, Waliotelekezwa Waminimika! – Pichaz

Mwanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia na Mtangazaji wa kipindi cha ‘Wanawake Live’, Joyce Kiria ‘Super Woman’ (mwenye hereni...

READ MORE

SERIKALI YAWARUDISHA KAZINI WATUMISHI DARASA LA SABA – VIDEO

Serikali imeagiza watumishi wa umma 1,370 walioajiriwa kabla ya Mei 20, 2004 ambao hawakufaulu mtihani wa kidato cha nne (darasa la...

READ MORE

Mwele Malecela Ateuliwa Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Afrika

Dk. Mwele Macelela ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika na kwa hiyo atakuwa mtu...

READ MORE

MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA MAKAMPUNI YA CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2018 amekutana na Rais wa Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC),...

READ MORE

DKT. AKWILAPO ATUNUKU MEDALI MDAHALO WA WANAFUNZI

  WANAFUNZI mbalimbali kutoka Shule za Sekondari za serikali na shule binafsi hapa nchini wamepambanishwa na wanafunzi wengine kutoka nchi...

READ MORE

Watatu Kati Ya Sita Waliotekwa Na Wasiojulikana, Waonekana

  WATU watatu kati ya sita waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha usiku wa kuamkia Ijumaa,  Aprili 6, 2018 katika Kijiji...

READ MORE