×

Habari

Meli ya Mfalme wa Oman Imeondoka Kuelekea Zanzibar Tanzania

Meli ya Mfalme wa Oman, Sultan Qabous imeondoka Leo kuelekea Zanzibar Tanzania. Ikifika huko Zanzibar itafanya safari ya kwenda Dar-es Salaam...

READ MORE

Jerry Muro Ajibu Tuhuma Nzito za CHADEMA, Amvaa Mazima Lema – Video

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia aliwahi kuwa Msemaji wa klabu ya yanga, Jerry Muro ameibuka na kuwaponda...

READ MORE

JPM Ateua Mawaziri Wapya, Lugola, Shonza Ndani, Maghembe, Kashililah Out

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini huku akizigawanya baadhi ya wizara zikiwemo Wizara ya...

READ MORE

Utajiri wa Nay Kwisha!

VYUMA vimekaza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya utajiri wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kudaiwa kwisha...

READ MORE

MSHINDI SHINDA NYUMBA ASEMA: SIJAAMUA NITAISHI WAPI

BAADA ya kazi kubwa ya muda wa zaidi ya miezi sita ya kuendesha Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya...

READ MORE

Chaz Baba Aanika Kilichompoteza

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu na kutoonekana katika steji ya Bendi ya Mashujaa aliyokuwa akiifanyia kazi, mwanamuziki Charles...

READ MORE

Bulaya: Nafuatiliwa na Watu Waliovaa Kininja

MBUNGE wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Amos Bulaya, amesema kuwa...

READ MORE

WAHITIMU FORM IV WAASWA KUJIEPUSHA NA MAKUNDI MABAYA

Diwani wa Kata ya Kongowe, Kibaha mkoani Pwani, Iddy Kanyalu amewaasa wahitimu wa kidato cha nne wa Sekondari ya Mwambisi...

READ MORE

Ghala la Matairi Kampuniu ya Superdoll Lateketea kwa Moto – VIDEO

Ghala la matairi ya magari la kampuni ya Superdoll lililopo Barabara ya Nyerere limeugua kwa moto.   Ghala hilo lililopo...

READ MORE

Mpinzani wa Kagame, Diane Rwigara, Afikishwa Mahakamani Rwanda

  MWANASIASA wa upinzani nchini Rwanda, Diane Rwigara, mama  yake na dada yake,  wamefikishwa mahakamani mjini Kigali kwa mara ya...

READ MORE

Chadema Wahoji Maswali Kibao Sakata La Lissu, Saanane

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehoji maswali kibao kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na Inspekta Jenerali...

READ MORE

Manji Aachiwa Huru Kesi ya Madawa ya Kulevya

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Yusuf Manji ameachiwa huru katika kesi ya madawa iliyokuwa ikimkabili baada ya mahakama kushindwa kuthibitisha madai hayo....

READ MORE

Kondakta Mshindi wa Nyumba Ageuka Mcharo Dom

KONDAKTA wa basi aliyeshinda zawadi ya nyumba katika Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba, ambaye ni...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Watu 8 Waliokufa kwa Gongo Kimara, Aliyenusurika Kifo Asimulia!

WATU nane wamefariki dunia maeneo ya Kimara Stop Over jijini Dar es Salaam, kwa kunywa pombe haramu aina ya gongo,...

READ MORE

Lowassa: Waliokatwa CCM Nawakaribisha Ukawa

WAZIRI mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema kuwa anawakaribisha Chadema wale wote waliokatwa CCM. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari...

READ MORE

TECNO SMART HUB KUBWA ZAIDI KUZINDULIWA JUMAMOSI

TECNO imeeendelea kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora Zaidi kuwahi kutokea katika biashara simu kwa kutengeneza duka jipya la kisasa...

READ MORE

GONGO YAUA 10 KIMARA – STOP OVER DAR (VIDEO)

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA...

READ MORE

 Meya Mwita: Mafuriko Jiji la Dar es Salaam Kuwa Historia

    MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, amesema mipango thabiti iko mbioni ili kuboresha miundombinu...

READ MORE

Familia ya Yamjibu Sirro Kuhusu Dereva wa Lissu, Yataka Amfuate Nairobi – Video

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, imehoji kitendo cha polisi kutokumfuata dereva wa Lissu jijini Nairobi badala yake...

READ MORE

WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2017: WATEJA NA WANACHAMA WA PSPF WAPATIWA HUDUMA ZA ZIADA

WATEJA wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wanaofika kwenye ofisi za makao makuu jengo la Jubilee Tower jijini Dar es...

READ MORE

Mrisho Gambo Amzungumzia Godbless Lema

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anapaswa kutambua kuwa yeye kama...

READ MORE

Taarifa Muhimu ya TCU kwa Wanafunzi Waliokosa Vyuo

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa  awamu ya kwanza ya Udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo...

READ MORE

IGP Sirro Kuhusu Miili Iliyookotwa Coco Beach

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema wameunda timu ya wataalamu kuchunguza miili iliyookotwa na sampuli kutoka miili...

READ MORE

Joshua Nassari Apeleka vielelezo vingine Takukuru

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amewasilisha vielelezo vingine katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuthibitisha...

READ MORE

Lori la Mahindi Lilivyopinduka na Kuua 15, Rukwa

WATU 15 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kupinduka eneo la Ntembwa ndani ya Hifadhi...

READ MORE

ACT- WAMJIBU RAIS MAGUFULI ISHU YA KUTOONGEZA MISHAHARA

  CHAMA cha Act-Wazalendo kimesikitishwa  na kauli ya Rais Magufuli aliyoitoa jana kwenye ufunguzi wa mkutano wa Jumuiya ya Tawala...

READ MORE

Yaliyojiri Kisutu Kuhusu Uamuzi Kesi ya Wema Sepetu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kutoa uamuzi wa ama kupokea au kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kuhusu Kesi ya Vigogo wa Simba

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya utakatishaji fedha na kugushi inayowakabili Rais wa Simba, Evans Aveva na Makamu...

READ MORE

Nyumba ya Msanii Bobi Wine Yapigwa Bomu

TAARIFA kutoka nchini Uganda zinasema shambulio la bomu la kutupwa na mkono limepiga kwenye nyumba mbili za wabunge wawili wa upinzani...

READ MORE

Kauli ya RC Makonda Baada ya JPM Kumpa ‘Tano’

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kutaka Wakuu wa mikoa wengine kuiga utendaji...

READ MORE

NASSARI: Maisha Yangu Yapo Kwenye Bonde la Uvuli wa Mauti

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki (CHADEMA) Joshua Nassari amefunguka na kusema maisha yake yapo hatarini na kudai kuwa watu...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Oktoba 4, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Oktoba, 2017. Ni yale ya Hardnews,...

READ MORE

Rais Magufuli: Hata Kama Hajui ‘A’… Kwangu RC Makonda ni Msomi Mzuri

RAIS, Dkt. John Pombe Magufuli amesisitiza kuwa hakuja kuuza sura bali kufanya kazi na kwamba mke wake akimpenda inatosha kwake....

READ MORE

VIDEO: PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI

NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezindua ofisi mpya mbili moja kisiwani Pemba na nyingine kisiwa cha...

READ MORE

NENO LA SHUKURANI KWA WAFANYAKAZI NA MKURUGENZI WETU, ERIC JAMES SHIGONGO

Kila jambo jema na lenye mafanikio halikosi kuwa na watu nyuma yake waliosababisha mafanikio hayo. Wakati na baada ya harusi...

READ MORE

George Majaba Amenunua Nyumba kwa Sh. 59,500 Tu!

UKISIKIA kismati ndiyo kama hiki. Mshindi wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba, ambaye ni mkazi...

READ MORE

YALIYOJIRI KESI YA MALIMA KUDAIWA KUSHAMBULIA POLISI

  KESI ya Naibu Waziri wa Fedha wa zamani, Adam Malima na dereva wake, Ramadhan Mohammed, ya kuzuia Polisi kutekeleza...

READ MORE