×

Habari

Makonda Ahimiza Wanafunzi Kusoma Sayansi

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewashauri wanafunzi wa mkoa wake kusoma masomo ya sayansi ili kuendana...

READ MORE

Pichaz: Japan Yazindua Treni Inayokimbia kwa Kasi Zaidi Duniani

TOKYO: Serikali ya Japan imezindua gari moshi (maglev) ambalo linakimbia kwa kasi zaidi kuliko garimoshi yoyote duniani. Garimoshi hilo lina...

READ MORE

Nyumba 236 Zaharibiwa na Mvua ya Mawe Chato Mkoani Geita

CHATO: Nyumba zipatazo 236 katika Kata ya Ilyamchele wilayani Chato zimeezuliwa na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali usiku...

READ MORE

Baada ya Kuhamia kwa Jay Z, Tiwa Sawage Adaiwa ‘Kuuza’ Roho Yake’

NIGERIA: Wanigeria wanaamini kuwa, mwanadada maarufu kwenye tasnia ya muziki kutoka nchini humo, Tiwa Savage ameuza roho yake na kujiunga...

READ MORE

Kanisa la Watu Weusi Lachomwa Moto Marekani, Laandikwa “Mpigie Kura Trump”

MAREKANI: WATU wasiofahamika wamevamia katika Kanisa linalotumiwa na watu weusi kwenye Jimbo la Mississippi nchini MarekanI kisha kuliteketeza kwa moto...

READ MORE

Video: Sakata la Mauaji ya Viongozi Mkuranga, Simulizi Yake Inatoa Machozi

Video: Mauaji ya Viongozi Mkuranga, Simulizi Yake Inasikitisha

READ MORE

Scorpion Apandishwa Tena Kizimbani Jana

Mtumiwa wa kesi ya unyang`anyi wa kutumia silaha, Salum Njwete (34), maarufu ‘Scopion’ jana alipanda kizimbani kwa dakika mbili. Askari...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Alhamisi Novemba 3, 2016 Yako Hapa

  Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Novemba 3, 2016. Pia usikose kutembelea...

READ MORE

Alizaliwa na Miguu Minne, Lakini Anaendesha Bodaboda!

Arun Kumar (22), anatokea eneo la Uttar Pradesh, nchini India ana miguu mingine ya ziada miwili ambayo imeota kwenye makalio...

READ MORE

Julius Malema Aanzisha Maandamano Kumg’oa Zuma Afrika Kusini

PRETORIA: KIONGOZI Mkuu wa Chama pinzani cha Economic Freedom Fighters (EFC), Julius Malema leo Jumatano, Novemba 2, 2016 ameanzisha maandamano...

READ MORE

Video na Picha: Mashali Azikwa na Mamia Dar

  Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa mbele ya jeneza lenye mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali ‘Simba...

READ MORE

Milionea Anayelipa Bilioni 20 kwa Ajili ya Plate Number ya Gari

MILIONEA mmoja raia wa India, Balwinder Sahni huilipa Serikali ya Dubai dola milioni 9 sawa na Tsh. Bilioni 19.617 kila...

READ MORE

Waendesha Bajaji Wenye Ulemavu Wafunga Barabara Dar

Dar es Salaam: Waendesha Bajaji wenye ulemavu wanaofanya shughuli zao katika Jiji la Dar es Salaam wamelazimika kufunga barabara ya...

READ MORE

Picha: Thomas Mashali Alivyozikwa Jijini Dar Leo

Hatimaye mwili wa bondia Thomas Mashali umezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar mchana huu. Picha zote na Boniphace Ngumije...

READ MORE

Mamia Wauaga Mwili wa Bondia Mashali Leaders Club

MAMIA ya waombolezaji wakiwemo mabondia wenzake wamejitokeza kuuaga mwili wa bondia Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’ katika Viwanja vya Leaders Club...

READ MORE

Udadisi, Ubunifu na Uvumbuzi wa Maarifa Mapya Unapotea kwa Uwepo wa Mtu/ Watu wa Kuigwa “Role Models”

Watu ama mtu  mwenye kitu cha ziada katika jamii huigwa na wengine, watu hawa hutambulika kama kioo kwa wengine wajitazame...

READ MORE

Kikosi cha Yanga SC Leo Dhidi ya Mbeya City Kiko Hapa

Kikosi cha Yanga SC Leo Dhidi ya Mbeya City Kiko Hapa 1. Deogratius Munishi2. Hassani Kessy3. Mwinyi Haji4. Andrew Vicent5....

READ MORE

Video: Mahakama Yaamuru Jide Awaombe Radhi Viongozi wa Clouds

   DAR ES SALAAM: Mahakama ya Wilaya Kinondoni leo Jumatano, Novemba 2, 2016, imemtia hatiani mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Wananchi Changamkieni Smart Speed 6 Mpya ya Vodacom

Mkuu wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela(kushoto)Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo,Jacquiline Materu(katikati)na Meneja Uhusiano wa...

READ MORE

Olive Kiarie Mshindi wa Mil. 30 Za Maisha Plus East Africa 2016

Mshindi wa Maisha Plus East Africa 2016 kutoka Kenya, Olive Kiarie (aliyekaa)  baada ya kutangazwa. …Akipongezwa na washiriki wenzake. …Akikabidhiwa...

READ MORE

Taharuki: Moto Uliolipuka Kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Jana Nov 1 2016 katika Bandari ya Dar es salaam kulitokea moto ambao ulizua taharuki kwa baadhi ya wafanyakazi na...

READ MORE

Rais Magufuli Arejea Nyumbani Baada ya Ziara Nchini Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Jumatano Novemba 2, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzani leo Novemba 2, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Makerere Chafungwa Kisa Mgomo

KAMPALA, UGANDA: Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda, wameanza kuondoka kutoka chuoni hapo baada ya Rais Yoweri Museveni...

READ MORE

Bunduki 11 za Ujangili Zakutwa Nyumbani kwa Mbunge

Kasi ya kupambana na ujangili iliyoongezwa na Rais John Magufuli imeendelea kuzaa matunda huku Kikosi Kazi Maalum kilichoundwa kikiripotiwa kukamata...

READ MORE

Zuku Swahili Movies Kuwanufaisha Wasanii Bongo

Abuu Kimario, Afisa Mahusiano Bodi ya Filamu Nchini akizungumza jambo. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania, Omari Zuberi (katikati)....

READ MORE

Rais Magufuli na Rais Kenyatta Wazindua Barabara ya Southern By-Pass

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta...

READ MORE

Yaliyojiri Leo Katika Mkutano wa 5 wa Bunge la 11 Mjini Dodoma

DODOMA: Mkutano wa tano wa Bunge la 11 umeanza leo mjini Dodoma, Novemba mosi ambapo pamoja na mambo mengine wabunge...

READ MORE

Boniface Jacob Ashinda Uchaguzi wa Meya Manispaa Ubungo

Diwani wa Kata ya Ubungo ambaye pia alikuwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kabla madiwani wake hawajagawanyika, Boniface...

READ MORE

Mke wa Lema Aburuzwa Mahakamani kwa Kumtusi Mkuu wa Mkoa Arusha

Mke wa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema aitwaye Neema Tarimo amefikishwa mahakamani mkoani Arusha kwa kosa la kumtusi Mkuu...

READ MORE

Meek Mill Afungukia Bifu Lake na Drake, Wale, The Game, Beanie Sigel, Quentin Miller na Safaree.

Philadelphia: Baada ya interview kufanyika wiki iliyopita kati ya Tax Season na Rapper kutoka katika Mji wa Philadelphia, Meek Mill...

READ MORE

Taarifa Ya Mafanikio Ya Hospitali Kwa Kipindi Cha Mwaka Mmoja

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAFANIKIO YA HOSPITALI KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA AWAMU YA TANO YA UTAWALA WARAIS...

READ MORE

Muhimbili Yakusanya Sh. Bilioni 4.6

Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano ya umma wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminiel Eligaesha akizungumza na wanahabari Akisoma taarifa yake...

READ MORE

Barua ya Aliyoiandika Tupac Akiwa Gerezani Yauzwa kwa Dola 172,75

IKIWA ni miaka 20 tangu kifo cha aliyekuwa rapa mkongwe, Tupac ambaye mpaka sasa bado yumo kwenye mioyo ya wapenzi...

READ MORE

China Yaonesha Hadharani Ndege Zake Mpya za Kivita

Ndege ya kusafirisha mizigo ya Y-20 pia imezinduliwa katika maonesho hayo ya Zhuhai China imeonesha hadharani ndege zake mpya za...

READ MORE

Mali za Mohamed Trans Yakiwemo Mabasi Kupigwa Mnada

Mali za Kampuni ya Mohamed Trans Limited yakiwemo mabasi yake vitapigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kufidia...

READ MORE

Lowassa, Sumaye Waibukia Bungeni Mjini Dodoma

DODOMA: Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria...

READ MORE

Ugandan Lecturer Strips In Protest

A Ugandan lecturer’s naked protesting has caused an uproar in the country. Dr Stella Nyanzi of the Makerere Institute of...

READ MORE

Video: Kiongozi wa Upinzani Uganda, Kizza Besigye Azichapa na Polisi

UGANDA: Aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya FDC, Dkt Kizza Besigye ameingia kwenye mtifuano mpya na Jeshi la Polisi la...

READ MORE

Bondia Thomas Mashali Kuzikwa Kesho, Dar

Dar es Salaam: Mazishi ya bondia Thomas Mashali aliyeuwawa kwa kupigwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana yanatarajia kufanyika...

READ MORE