The House of Favourite Newspapers
Browsing Category

Hadithi

Simulizi ya Kusisimua…. MKATABA – 3

ILIPOISHIA  JUMATANO “Sina uhakika na hili jambo.” “Usinitaje, mimi nimekuambia tu kama shoga yangu. Sisi wote ni wazazi.” “Sawa.” “Lakini jambo lingine linalowashtua zaidi watu ni tabia yake ya kujipenda kupita kiasi. Muda…

OPERESHENI DAKABU

  MUITO wa simu iliyokuwa mezani ulimgutusha pale kitandani alipokuwa amelala, lakini aliipuuza. Simu kwa wakati ule haikuwa na maana kabisa kwake. Msichana mrembo Upendo, alikuwa kando yake, akionyesha kumhitaji sana ndiye aliyekuwa na…

MKATABA – 2

ILIPOISHIA JUMATATU... Haraka mmoja wao akaingia ndani, hakukawia sana, tayari Ustaadhi Alii alikuwa ameshatoka nje, naye alikuwa anatweta. “Vipi Suma?” “Mtihani Ustaadhi.” “Nini?” “Twende nyumbani.” Ustaadhi hakukaidi, wakatoka…

MKATABA – 1

MKATABA - 1 KICHAA cha moyo kilimpanda ghafla Suma. Ni mara ya tatu sasa anamwita msichana huyo lakini haoneshi dalili ya kumwitikia. Suma akazidi kuchanganyikiwa. Kwa nini haitikii? Akajiuliza mwenyewe kichwani mwake bila kupata…

Shuga Sukari sehemu ya 13

“Sandra alikuwa toto haswaa, mweupe, mrefu kiasi, kibonge wa nguvu, mzuri wa sura, macho muda wote kama amekula kungu na nyuma amefungasha wowowo utasema wako wawili. Mtaani kwao walikuwa wakimuita kwa jina la Bonge, hata mimi siku za…

Shuga Sukari sehemu ya 12

“Sandra alikuwa toto haswaa, mweupe, mrefu kiasi, kibonge wa nguvu, mzuri wa sura, macho muda wote kama amekula kungu na nyuma amefungasha wowowo utasema wako wawili. Mtaani kwao walikuwa wakimuita kwa jina la Bonge, hata mimi siku za…

Shuga Sukari sehemu ya 11

“Sandra alikuwa toto haswaa, mweupe, mrefu kiasi, kibonge wa nguvu, mzuri wa sura, macho muda wote kama amekula kungu na nyuma amefungasha wowowo utasema wako wawili. Mtaani kwao walikuwa wakimuita kwa jina la Bonge, hata mimi siku za…

Shuga Sukari sehemu ya 10

“Sandra alikuwa toto haswaa, mweupe, mrefu kiasi, kibonge wa nguvu, mzuri wa sura, macho muda wote kama amekula kungu na nyuma amefungasha wowowo utasema wako wawili. Mtaani kwao walikuwa wakimuita kwa jina la Bonge, hata mimi siku za…

Shuga Sukari sehemu ya 9