×

Ijumaa

Tunda atia aibu!

STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Video queen matata Bongo ambaye ni mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, David...

READ MORE

Wastara Aamua Kuachana na Uigizaji

Stori: Hamida Hassan, Wikienda Dar es Salaam: Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amejipanga kuachana na uigizaji na kufanya...

READ MORE

Aunt Lulu auza mishikaki, bwana’ke amvunjia banda

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Baada ya kutosikika kwa muda mrefu, Mtangazaji Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amevunja ukimya...

READ MORE

Wa kumnusuru Ray C ni Mungu Tu!

Rehema Chalamila ‘Ray C’ MUSA MATEJA TUMUOMBEENI Ray C kwa sababu wa kunusuru maisha yake kwa sasa ni Mungu tu!...

READ MORE

Money: Mwarabu amenisitiri!

BONIPHACE NGUMIJE IKIWA imepita wiki moja tangu ‘muuza nyago’ kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kugundulika kuwa ameangukia...

READ MORE

Jini Kabula, Lulu Diva Pachimbika

Lulu Abbasi ‘Lulu Diva’ Ubuyu: Hamida Hassan, Wikienda  DAR ES SALAAM: Pamechimbika! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’...

READ MORE

Uwoya na Skendo ya Kubakwa!

  Stori:Imelda Mtema DAR ES SALAAM: Untold story! Skendo ambayo haijawahi kuandikwa wala kusimuliwa popote inayomhusu mwigizaji ‘hot’ wa sinema...

READ MORE

Shamsa Ford: Vimini vyangu havimuathiri mtoto

Shamsa Ford Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi DIVA mwenye ‘title’ kubwa Bongo, Shamsa Ford amesema kuwa tangu awe mzazi anajitahidi kuishi...

READ MORE

Kalala Ammbwaga muna, anasa kifaa kingine

Mwanamuziki Kalala Hamza ‘Junior’ na  Mamy Mushi. NA IMELDA MTEMA, Ijumaa DAR ES SALAAM: Habari ‘hot’ iliyotua kwenye meza ya...

READ MORE

Shilole alia wasanii wenzake kumdhalilisha

NA IMELDA MTEMA, Ijumaa DAR ES SALAAM: Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameonesha masikitiko yake kufuatia...

READ MORE

Demu ampiga kibuti Mr. Flavour

Mr. Flavour MISS Nigeria 2012 ambaye pia ni staa wa filamu Nollywood, Anna Banner kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa...

READ MORE

In Edo adaiwa kufilisika, ang’aka!

In EdoAndrew Carlos na Mtandaoini MKONGWE wa fi lamu asiyechuja kutoka Nollywood, In Edo hivi karibuni ‘alitokwa povu’ baada ya...

READ MORE

Nuh Mziwanda: Skendo za kijingajinga sasa basi

BONIPHACE NGUMIJE M SANII wa Bongo Fleva anayetamba kwa sasa na Wimbo wa Jike Shupa, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amesema...

READ MORE

Nay akunwa na uwezo wa Sanjay Boy!

MWANDISHI WETU STAA wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki amefunguka kuwa ameguswa na uwezo wa bwa’m-dogo anayefanya poa kwenye Muziki...

READ MORE

Gigy anasa Mwarabu, apigwa stop kukaa nusu utupu!

  Gift Stanford ‘Gigy Money’. Stori: Hamida Hassan na Mayasa Mariwata, Wikienda DAR ES SALAAM: Video Queen wa Bongo, Gift...

READ MORE

Alidai kuzaa na Mama Diamond ataka DNA

Mama Diamond. Stori: MUSA MATEJA NA ISSA  MNALLY, WIKIENDA Dar es Salaam: Lile sakata la DJ maarufu jijini Dar, Jerry...

READ MORE

Mo Music adaiwa kutoka na demu wa Nuh

Moshi Katemi ‘Mo Music’ katika pozi tata na Tina. BONIPHACE NGUMIJE IMEVUJA! Mkali wa Ngoma ya Skendo, Moshi Katemi ‘Mo...

READ MORE

Shilole alizwa na ‘akaunti yake’ ya matusi!

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Staa wa muziki na sinema za Kibongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amelizwa na akaunti...

READ MORE

Aliyedai ‘wakala’ wa Freemason ala kichapo!

     Bahati Anthony akichezea kichapo. Stori: DUSTAN SHEKIDELE, WIKIENDA, MOROGORO Fundi nguo maarufu mjini hapa, Bahati Anthony aliyedai ni ‘wakala’...

READ MORE

Nuh amuumbua upya Shilole

Nuh Mziwanda akiwa na mrembo anayedaiwa kufanana na Shilole. Stori: BONIPHACE NGUMIJE, WIKIENDA Dar es Salaam: Msanii anayefanya poa kwenye...

READ MORE

Mbunge: Simu za watu mil.6 kwenda na maji!

Stori: GABRIEL NG’OSHA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Zikiwa zimebaki siku tatu sawa na saa 72 kabla ya kufungiwa kwa simu...

READ MORE

Bomoabomoa yamkumba Devotha Mbaga

Stori: Imelda Mtema Msanii wa sinema za Kibongo na mjasiriamali, Devotha Mbaga amekumbwa na bomoabomoa kufuatia nyumba yake kuwa karibu...

READ MORE

Mwezi Mtukufu… Mastaa Mchana Njiwa Usiku Popo!!

Amran Kaima na Mayasa Mariwata, Ijumaa Dar es Salaam: Wakati Waislam duniani kote wakiwa kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa...

READ MORE

Faiza aamua kumrudia Mungu wake

NA RICHARD BUKOS UNAMKUMBUKA yule mwanadada ambaye umaarufu wake kwa kiwango kikubwa umetokana na kupiga picha za nusu utupu? Huyu...

READ MORE

Tiko atumia Mwezi Mtukufu kupata mume!

NA GLADNESS MALLYA WAKATI waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa ndani ya swaumu, staa wa filamu Bongo, Tiko Hassan amefunguka...

READ MORE

Shamsa: Napenda sana ‘makufuli’ ya mtumba

Shamsa Ford Na Hamida Hassan,  Ijumaa DAR ES SALAAM: Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena...

READ MORE

Feza Kessy, Chegge wapewa gwala

Feza Kessy Stori:  Boniphace Ngumije DAIREKTA anayetengeneza video za viwango vya juu Bongo, Hanscana amewapa gwala wasanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Machozi! Kwa Nini Mmemchinja Mama Yangu?

Mtoto Allan akiwa amekumbatia picha ya marehemu mama yake, Anethe Msuya. STORI: MWANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM: ‘Kwa nini...

READ MORE

Mama Harmonize Amtilia Shaka Wolper

Jacqueline Wolper Massawe na mkwe wake, mama Harmonize. STORI: MUSA MATEJA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya staa...

READ MORE

Ukimya wa Odama Wawapa Jibu Mastaa!

STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa ukimya wake wa...

READ MORE

Meninah Apigwa ndoa ya pili!

Menina ndoa ya pili. ANDREW CARLOS BAADA ya kuachana na mumewe wa kwanza aliyejulikana kwa jina la Abdulkharim Haule, ishu...

READ MORE

Gigy Adaiwa Kuvunja Uchumba wa Man Fongo

Gift Stanford ‘Gigy Money’. STORI: MAYASA MARIWATA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Msanii ambaye ni muuza nyago maarufu kwenye nyimbo za...

READ MORE

Esma: Sishobokei mali za Diamond

Esma Abdulkadiri ‘Esma Platnumz’ STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Dada wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Hamisa amlipua Lulu

Hamisa Hassan Mobeto STORI: MWANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Mwanamitindo ambaye pia ni video queen maarufu Bongo, Hamisa Hassan...

READ MORE

Harmonize amnunulia Wolper gauni mil. 1

Stori: Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: IMEVUJA! ‘Kinda’ wa Bongo Fleva Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ ambaye anatamba na kibao...

READ MORE

Aliyewalisha watu nyama ya mbwa azua taharuki!

Akiwa ameshika upaja wa nyama ya mbwa. Na Mwandishi Wetu, Ijumaa TANGA: Kitendo cha kijana aliyefahamika kwa jina la Zakaria...

READ MORE

Mastaa Waanika Bei Zao za Kupiga Picha za X

Stori: Mayasa Mariwata, Ijumaa DAR ES SALAAM: Dunia imekwisha!  Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara...

READ MORE