×

Kimataifa

Urusi Yaanza Awamu ya Pili ya Mapigano Nchini Ukraine Katika Jimbo la Donbas

MAPIGANO makali yametekelezwa katika miji ya Donbas ikiwa ni wiki kadhaa tangu Urusi iweze kusitisha mapigano yake katika nchi ya...

READ MORE

Raia Nchini Kenya Ahukumiwa Kifo Baada ya Kuiba Gari la Rais Kenyatta

MWANAUME mmoja raia wa nchini Kenya ambaye anadaiwa kuiba gari la Rais Uhuru Kenyata mwaka 2014 amehukumiwa kifo. Mwanaume huyo...

READ MORE

Mwanaume Nchini Marekani Afariki kwa Kung’atwa na Nyoka Aliowafuga Mwenyewe

MWANAUME aliyetambulika kwa jina la David Riston (49), mkazi wa Maryland nchini Marekani, amekufa baada ya kung’atwa na nyoka aliokuwa...

READ MORE

Majeshi ya Ukraine Yaapa Kupambana Hadi Mwisho, Yagoma Kujisalimisha kwa Urusi

MAJESHI ya Ukraine ambayo yapo jijini Mariupol yamegoma kujisalimisha kama ilivyotolewa amri na Urusi na badala yake yameapa kupambana hadi...

READ MORE

Watu 47 Wafariki Nchini Afghanistan Baada ya Shambulio la Anga Kutoka Pakistan

JUMLA ya watu 47 wameripotiwa kufariki nchini Afghanistan katika majimbo ya Khost na Kunar yanayopatikana mashariki mwa nchi hiyo na...

READ MORE

UN Yapinga Mpango wa Uingereza Kupeleka Wakimbizi Nchini Rwanda

UMOJA wa Mataifa kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wake Gillian Triggs umesema mpango wa kuwapeleka wahamiaji haramu nchini Rwanda kutoka...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Apigwa Marufuku Kuingia Urusi

KWA mara ya kwanza tangu vita kati ya Urusi na Ukraine ianze Urusi imetamka rasmi kupitia kwa Waziri wake wa...

READ MORE

Urusi Yatoa Onyo Kali kwa Marekani Kuacha Kuipatia Misaada ya Kivita Ukraine

URUSI  imeionya Marekani na mataifa mengine washirika wengine kuacha mara moja kusambaza silaha kwa Ukraine.   Onyo hilo lilikuja katika...

READ MORE

Mfungwa wa Kifungo cha Maisha Apewa Siku 15 Uraiani Ampatie Mimba Mke wake

  MWANAMKE anayefahamika kwa jina la Rekha ameenda kuililia mahakama ya Rajasthan nchini India akitaka apewe mimba na mume wake...

READ MORE

Daktari Matatani kwa Kuwapapasa, Kuwabusu Wagonjwa Wake Wakiwemo Wajawazito

DAKTARI mmoja kutoka North Lanarkhire nchini Scotland, Krishna Singh (72) amekutwa na hatia ya makosa 54 ya unyanyasaji wa kingono...

READ MORE

Bilionea Namba Moja Duniani Elon Musk Atoa Kitita Kizito Kuinunua Twitter

BILIONEA namba moja Duniani Elon Musk ametoa ofa ya Dola Bilioni 43.4 kununua mtandao wa kijamii wa Twitter. Kwa mujibu...

READ MORE

Uingereza Yatoa Uamuzi Mgumu, Wahamiaji Haramu Kupelekwa Afrika Mashariki

SERIKALI ya Uingereza kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo Priti Patel inataraji kusaini mkataba na serikali...

READ MORE

Mtuhumiwa wa Shambulio la Raia kwenye Kituo cha Treni Jijini New York, Afahamika

HIVI karibuni limetokea shambulio katika stesheni moja ya treni jijini NewYork nchini marekani ambapo idadi ya watu Zaidi ya 17...

READ MORE

Raia Nchini Kenya Achemshwa na Tanuri Hadi Kufa, ni Mfanyakazi wa Kiwandani

INGAWA wanasema “”kufa ni kufa” lakini kuna vifo vingine huambatana na mateso makali Jamaa mmoja nchini Kenya aitwaye Caleb Otieno,...

READ MORE

Baada ya Kutoa Onyo, Urusi Yasogeza Zana za Kivita Kwenye Mpaka Wake na Finland

HIVI karibuni Urusi ilitoa onyo juu ya mataifa mawili ya Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na NATO...

READ MORE

Zelensky Ampigia Simu Rais wa Senegal, Ataka Kuongea na Umoja wa Afrika

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiliana na rais wa Senegal Macky Sall ambaye ndiye Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU)...

READ MORE

Ngono Yamuweka Waziri wa Norway Matatani, Ajiuzulu kwa Kumlaghai Mwanafunzi

WAZIRI wa Ulinzi nchini Norway, Odd Roger Anoksen ‘50’ amejizulu baada ya kubainika amekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na binti...

READ MORE

Pakistan Yapata Waziri Mkuu Mpya, Anaenda Kuchukua Nafasi ya Yule Waliyemtimua

BUNGE la Pakistan leo limepiga kura kumchagua Waziri Mkuu mpya wan chi hiyo kufuatia kuondolewa kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Mpya...

READ MORE

Rais Wa Ufaransa Aongoza Kura Duru ya Kwanza ya Uchaguzi, Atahadharisha Wafuasi Wake

RAIS  wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha wafuasi wake kwamba bado wana safari ndefu ya kuibuka na ushindi licha ya kuongoza...

READ MORE

Majeshi ya Ukraine Yatungua Ndege ya Urusi, Yatuma Salamu za Shukrani Uingereza

KATIKA hali ya kufurahishwa na maendeleo ya vita yao dhidi ya majeshi ya Urusi Yuriy Kochevenko moja ya wanajeshi wa...

READ MORE

Kesi ya Zuma Kunguruma Leo, Barabara Zafungwa Hofu ya Maandamano Ikitanda

BARABARA kadhaa zimefungwa karibu na mahakama ya Pietermaritzburg huku kesi ya ufisadi inayomkabili Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob...

READ MORE

Spika wa Bunge la Tanzania Ahudhuria Mazishi ya Spika wa Bunge la Uganda

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili...

READ MORE

Gwiji wa Soka Matt Le Tissier ajiuzulu Ubalozi Kisa Vita ya Ukraine na Urusi

GWIJI wa Soka aliyewahi kuwika na klabu ya Southampton na timu ya taifa ya Uingereza Matt Le Tissier amejiuzulu nafasi...

READ MORE

Sasa Rasmi Nato Yaingilia Vita ya Ukraine, Yatuma Zana Angamizi za Kivita

  UMOJA wa kujihami wa nchi za magharibi NATO umeingilia vita kati ya Ukraine na Urusi kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Mchungaji Aanguka na Kufa Kanisani Wakati Akihubiri Kuhusu Wachawi

Tukio la kusikitisha limetokea katika Kanisa la Evangelical Winning All (ECWA) nchini Nigeria baada ya shemasi kuanguka ghafla na kufariki...

READ MORE

Aliyekufa na Kuzikwa Mwaka 2021 Afufuka Nchini Msumbiji ‘Uchunguzi Wafanywa’

Binti Eurélia Manuel Benjamim Raia wa Msumbiji ambaye alidhaniwa kuwa amefariki dunia na ambaye mazishi yake yalifanyika mwezi November mwaka...

READ MORE

Wanajeshi Wanne Wa Marekani Wafariki Kwenye Ajali Ya Ndege

Ndege ya Kivita ya Marekani imeanguka na kuua watu wanne huko Kusini mwa Norway kwenye jimbo la Nordland katika mazoezi...

READ MORE

Maelfu ya Wananchi Waandamana Kuiunga Mkono Urusi

ZAIDI ya wananchi 10,000 wa Serbia, wameingia mitaani na kuandamana katika Jiji la Belgrade kuelekea katika ubalozi wa Urusi nchini...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Rais Banda

Rais Hakainde Hichilema wa Zambia, jana, Alhamisi, Machi 17, 2022 ameongoza waombolezaji kwenye mazishi ya Kitaifa ya Rais mstaafu wa...

READ MORE

Putin Azipiga Mkwara Mzito Nchi Za Magharibi

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin kupitia njia ya runinga ameyapiga mkwara mzito mataifa ya Magharibi huku Marekani akiwa mlengwa mkuu...

READ MORE

Mhariri wa Urusi Aliyekatiza Habari Kupinga Vita Hajulikani Alipo

Mwandishi wa habari wa Urusi ambaye alikatiza kipindi cha moja kwa moja cha habari kweye televisheni kupinga vita vya Ukraine...

READ MORE

Magari 1,527 Yenye Ving’ora Yakamatwa

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilbrod Mutafungwa amesema Polisi imefanikiwa kuyakamata magari 1,527 yakiwa na vimulimuli au ving’ora kinyume...

READ MORE

Majeshi ya Urusi Yamuua Katibu wa Zamani wa Brovary, Ukraine

Meya wa Jiji la Brovary lilipo nchini Ukraine, Ihor Sapozhko kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook amethibitisha...

READ MORE

Wanajeshi Wengine Wafunga Ndoa Vitani Ukraine

Wanajeshi wawili wa Ukraine ambao walikutana vitani mwaka 2015, wameamua kufunga ndoa wakiwa uwanja wa vita ambapo vikosi vyao vinaendelea...

READ MORE

Kaka Amshambulia Nyeti Mdogo Wake

Kijana mmoja ameshtakiwa katika Mahakama ya Milimani nchini Kenya kwa kosa la kumshambulia mdogo wake kwa kumfinya sehemu zake za...

READ MORE

Jamaa Ang’atwa Uume na Jirani Yake wa Kike

Mwanamume mmoja katika Kaunti ya Kakamega nchini Kenya anauguza majeraha baada ya kung’atwa uume wake na mwanamke. Kulingana na taarifa...

READ MORE

Bikra Mwenye Miaka 56, “Nimechoka Kuwa Singo”

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina Alvera Uwitonze mwenye ulemavu wa miguu, amefunguka na kusema amechoka kuwa single kwani sasa anaona...

READ MORE

Mwandishi wa Marekani Auawa Ukraine

MWANDISHI wa habari wa Shirika la Habari la New York Times la Marekani, Brent Renaud amepigwa risasi na kuuawa akiwa...

READ MORE

Rasmi: Instagram yazimwa Urusi, wananchi wahaha

Watumiaji wa mtandao wa Instagram nchini Urusi wamepewa taarifa kuwa huduma hiyo imesitishwa kuanzia saa sita usiku Jumapili ya March...

READ MORE

Tanzia: Rais Rupiah Banda Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Rais wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia leo Ijumaa, Machi 11, 2022 akiwa na umri wa miaka 85....

READ MORE