×

Kimataifa

Mwanaume Aliyepandikizwa Moyo Wa Nguruwe Afariki Dunia

Mwanaume aliyeingia kwenye rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza kupandikizwa moyo wa nguruwe, David Bennett Sr amefariki dunia akiwa na...

READ MORE

Polisi Amzaba Kofi Bosi Wake kwa Kumuuliza Mbona Hakufika Kazini 

Afisa mmoja wa Jeshi la Polisi ambaye alipewa majukumu ya kulinda shehena ya mitihani katika Kaunti ya Pokot Magharibi amemzaba...

READ MORE

Kijiji Ambacho Wakazi Hulala Kwenye Miti Licha ya Kuwa na Nyumba

WAKAZI wa Kijiji cha Malelei, kilichopo katika Kaunti ya Lamu sasa wanalazimika kulala juu ya miti licha ya kuwa na...

READ MORE

Hii Kali: Wanajeshi Ukraine Wafunga Ndoa Vitani

Ni muendelezo wa Habari za Kimataifa kutokea Bara la Ulaya ambapo tunaangazia mzozo wa Kivita baina ya Ukraine na Urusi....

READ MORE

Staa wa filamu Ukraine auawa Vitani

Staa mkubwa wa filamu nchini Ukraine, Pasha Lee aliyeamua kuweka sanaa pembeni na kuingia vitani kuipigania nchi yake, ameuawa baada...

READ MORE

Mtoto wa Museveni Astaafu Jeshini

KAMANDA wa Jeshi la Ardhini nchini Uganda UPDF , Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kustaafu katika jeshi hilo baada ya...

READ MORE

Seneta Marekani Ataka Putin Auawe

KUPITIA kituo cha runinga cha Fox News, Seneta wa Marekani, Lindsey Graham amesababisha hasira kwa baadhi ya raia wa Urusi...

READ MORE

Rais Museveni akutana na Balozi wa Urusi

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni jana Machi 3, 2022 alikutana na balozi wa Urusi, Vladlen Semivolos kujadili masuala mbalimbali...

READ MORE

Vikwazo vyaipa wakati mgumu Urusi

“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa...

READ MORE

Makombora ya Urusi Yaua Wanajeshi 70 Ukraine

SERIKALI ya Ukraine wamethibitisha kuwa wanajeshi wasiopungua 70 waliuawa katika shambulio la makombora ya Urusi katika kambi yao ya kijeshi...

READ MORE

Vita Ukraine Kumalizwa

MAZUNGUMZO pekee ndiyo yanatazamiwa na wengi kuwa ni njia bora ya kumaliza vita vilivyozuka siku tano zilizopita kati ya Urusi...

READ MORE

Ukraine: Tumeua wanajeshi 5,300 wa Urusi

Wizara ya ulinzi ya Kyiv inadai kuwa takribani wanajeshi 5,300 wa Urusi wameuawa katika siku nne za kwanza za mapigano...

READ MORE

Wimbo wa Taifa Urusi hautapigwa

Shirikisho la Soka Duniani ( FIFA ) jana lilijibu shinikizo la kimataifa linaloongezeka kuhusiana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko kwa Watanzania waishio Ukraine

Taarifa ya Serikali ya Tanzania kuhusu Watanzania waishio Ukraine na kile kinachoendelea.

READ MORE

Mjomba Amng’oa Kucha Mpwa wake kwa Madai ya Kuiba Mirungi

Mwanamume mmoja amekamatwa katika eneo la Laare, kaunti ya Meru kwa tuhuma ya kumpiga na kumng’oa kucha mpwa wake mwenye...

READ MORE

Kenya: Wanaume Walalamikia Uchafu wa Wake Zao

WANAUME kutoka Kijiji cha Kagumoini, eneo bunge la Gatundu Kusini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamelalamikia wakidai kuwa wake zao...

READ MORE

Kimbunga Emnati Chatua Madagascar

KIMBUNGA Emnati kimegonga kisiwa cha Madagascar usiku kucha, huku kisiwa hicho kikiwa bado kinayumbayumba kutokana na athari za kimbunga kingine...

READ MORE

Al- Shabab Yatumia Bil. 55 Kununua Silaha

KUNDI la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia dola milioni 24(£18m) sawa na TZS bilioni 55.5 kununua silaha hii ni kwa mujibu...

READ MORE

Aliyemgongelea Misumari Mwenzake Kwenye Mti Asakwa

Wakazi wa Kaunti ya Vihiga Magharibi mwa Kenya, walipigwa na butwaa baada ya kumuona kijana mwenye umri wa miaka 19,...

READ MORE

Akamatwa kwa kuoa wanawake 17

JESHI la Polisi katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India limemkamata mwanaume anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati...

READ MORE

Mbaroni Kwa Kuoa Wanawake 17

POLISI  katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India wamemkamata Ramesh Chandra Swain anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati...

READ MORE

Malkia Elizabeth II Akutwa na Covid-19

KASRI  la Buckingham limethibitisha kuwa Malkia wa Uingereza Elizabeth II amebainika kuugua ugonjwa wa  Covid- 19  leo Februari 20, 222...

READ MORE

Mapomoroko Yaua Watu 100

TAKIBANI watu 100 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi na mafuriko katika mji wa Petrópolis nchini Brazil, Jiji hilo, ambalo...

READ MORE

Kiongozi wa Kijeshi Aapishwa Kuwa Rais

KIONGOZI wa Kijeshi wa Burkina Faso, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba, ameapishwa kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Akiwa amevaa...

READ MORE

Wafungwa zaidi ya 100 wagoma kula

ZAIDI ya wafungwa 100 wa Sudan wakiwemo wanasiasa wa ngazi za juu, wameanza mgomo wa kula katika Gereza la Soban....

READ MORE

Algeria Kuanza Kuwalipa Wasio Na Ajira

RAIS wa Algeria Abdelmadjid Tebboune amesema, serikali  yake itaanza kutoa malipo ya dola 100 za kimarekani ambayo ni zaidi ya...

READ MORE

Bibi ajitolea kupambana na Urusi

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Valentyna Konstantynovska (79) raia wa Ukraine amejitokeza kupata mafunzo...

READ MORE

Urusi Yajiandaa Kuivamia Ukraine

MAREKANI  imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote,mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi...

READ MORE

Polisi Yateketeza Bia

Polisi wenye msimamo mkali wa dini katika eneo la Kano nchini Nigeria wameteketeza chupa milioni nne za bia katika msako...

READ MORE

Mtoto Ryan Aliyeanguka Kisimani Azikwa

NCHI Morocco imemfanyia mazishi ya Kitaifa mtoto wa kiume, Rayan Oram mwenye umri wa miaka mitano aliyefariki baada ya kunasa...

READ MORE

Uchunguzi Wabaini Waziri Mkuu Alihusika Mauaji ya Rais

Wachunguzi wa mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise wamesema aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo ambaye kwa sasa ndiye...

READ MORE

Mwanaume Aliyevunjika Uti wa Mgongo Aanza Kutembea

MWANAMUME aliyepooza baada ya kukatika uti wa mgongo ameweza kutembea tena, kutokana na kipandikizi kilichotengenezwa na timu ya watafiti wa...

READ MORE

Mtoto Aliyenasa Kisimani Morocco Afariki Dunia

MTOTO mwenye umri wa miaka 5 aliyenasa kwenye kisima nchini Morocco kwa siku nne amekutwa amefariki dunia, hata baada ya...

READ MORE

Kazi Ngumu ya Kumuokoa Mtoto Aliyenasa Kisimani kwa Siku 5 Yakaribia Kukamilika

Macho na masikio ya watu wengi duniani kwa sasa, yapo nchini Morocco ambapo oparesheni kubwa ya kumuokoa mtoto Rayan mwenye...

READ MORE

Kimbunga Ana Chaua Zimbabwe

Watu kumi wamefariki dunia nchini Zimbabwe baada ya kusombwa na maji walipokuwa wakijaribu kuvuka mto uliokuwa umejaa karibu na mpaka...

READ MORE

Kitabu cha Rais Weah Chazua Balaa, Asifia Uwezo wa Mkewe Chumbani

MAKUNDI ya wanawake nchini Liberia yameghadhabishwa na sehemu ya chapisho katika kitabu cha wasifu wa Rais wa nchi hiyo George...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuiba Biblia Mbili

Mwanamume ambaye amekamatwa na kushtakiwa kwa kuiba biblia mbili kwenye duka kubwa jijini Nairobi anasema alichokuwa akitaka ni kumjua Mungu...

READ MORE

Mvuvi Apambana na Mamba Kuokoa Nyavu Zake

MTU mmoja amepigana vita vikali dhidi ya mamba katika harakati za kuokoa wavu wake wa kuvulia samaki nchini Msumbiji.  ...

READ MORE

Hawa ndio Mapacha Waliokula Chumvi Mpaka Baasi

Comfort Akosua Nyarkoa na Grace Akosua Nyarkoa, 87, wanasemekana kuwa pacha wenye umri mkubwa zaidi kuwahi kuishi kwa muda mrefu...

READ MORE

Ndege ya Umeme Kuanza Majaribio, Hakuna cha Mafuta

TEKNOLOJIA na masuala ya usafirishaji inazidi kuwa kubwa, wakati wengine wakibuni magari mapya yanayotumia umeme badala ya mafuta, Israel Eviation...

READ MORE