Mwanaume aliyeingia kwenye rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza kupandikizwa moyo wa nguruwe, David Bennett Sr amefariki dunia akiwa na...
READ MOREAfisa mmoja wa Jeshi la Polisi ambaye alipewa majukumu ya kulinda shehena ya mitihani katika Kaunti ya Pokot Magharibi amemzaba...
READ MOREWAKAZI wa Kijiji cha Malelei, kilichopo katika Kaunti ya Lamu sasa wanalazimika kulala juu ya miti licha ya kuwa na...
READ MORENi muendelezo wa Habari za Kimataifa kutokea Bara la Ulaya ambapo tunaangazia mzozo wa Kivita baina ya Ukraine na Urusi....
READ MOREStaa mkubwa wa filamu nchini Ukraine, Pasha Lee aliyeamua kuweka sanaa pembeni na kuingia vitani kuipigania nchi yake, ameuawa baada...
READ MOREKAMANDA wa Jeshi la Ardhini nchini Uganda UPDF , Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kustaafu katika jeshi hilo baada ya...
READ MOREKUPITIA kituo cha runinga cha Fox News, Seneta wa Marekani, Lindsey Graham amesababisha hasira kwa baadhi ya raia wa Urusi...
READ MORERais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni jana Machi 3, 2022 alikutana na balozi wa Urusi, Vladlen Semivolos kujadili masuala mbalimbali...
READ MORE“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa...
READ MORESERIKALI ya Ukraine wamethibitisha kuwa wanajeshi wasiopungua 70 waliuawa katika shambulio la makombora ya Urusi katika kambi yao ya kijeshi...
READ MOREMAZUNGUMZO pekee ndiyo yanatazamiwa na wengi kuwa ni njia bora ya kumaliza vita vilivyozuka siku tano zilizopita kati ya Urusi...
READ MOREWizara ya ulinzi ya Kyiv inadai kuwa takribani wanajeshi 5,300 wa Urusi wameuawa katika siku nne za kwanza za mapigano...
READ MOREShirikisho la Soka Duniani ( FIFA ) jana lilijibu shinikizo la kimataifa linaloongezeka kuhusiana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...
READ MORETaarifa ya Serikali ya Tanzania kuhusu Watanzania waishio Ukraine na kile kinachoendelea.
READ MOREMwanamume mmoja amekamatwa katika eneo la Laare, kaunti ya Meru kwa tuhuma ya kumpiga na kumng’oa kucha mpwa wake mwenye...
READ MOREWANAUME kutoka Kijiji cha Kagumoini, eneo bunge la Gatundu Kusini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamelalamikia wakidai kuwa wake zao...
READ MOREKIMBUNGA Emnati kimegonga kisiwa cha Madagascar usiku kucha, huku kisiwa hicho kikiwa bado kinayumbayumba kutokana na athari za kimbunga kingine...
READ MOREKUNDI la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia dola milioni 24(£18m) sawa na TZS bilioni 55.5 kununua silaha hii ni kwa mujibu...
READ MOREWakazi wa Kaunti ya Vihiga Magharibi mwa Kenya, walipigwa na butwaa baada ya kumuona kijana mwenye umri wa miaka 19,...
READ MOREJESHI la Polisi katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India limemkamata mwanaume anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati...
READ MOREPOLISI katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India wamemkamata Ramesh Chandra Swain anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati...
READ MOREKASRI la Buckingham limethibitisha kuwa Malkia wa Uingereza Elizabeth II amebainika kuugua ugonjwa wa Covid- 19 leo Februari 20, 222...
READ MORETAKIBANI watu 100 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi na mafuriko katika mji wa Petrópolis nchini Brazil, Jiji hilo, ambalo...
READ MOREKIONGOZI wa Kijeshi wa Burkina Faso, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba, ameapishwa kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Akiwa amevaa...
READ MOREZAIDI ya wafungwa 100 wa Sudan wakiwemo wanasiasa wa ngazi za juu, wameanza mgomo wa kula katika Gereza la Soban....
READ MORERAIS wa Algeria Abdelmadjid Tebboune amesema, serikali yake itaanza kutoa malipo ya dola 100 za kimarekani ambayo ni zaidi ya...
READ MOREKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Valentyna Konstantynovska (79) raia wa Ukraine amejitokeza kupata mafunzo...
READ MOREMAREKANI imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote,mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi...
READ MOREPolisi wenye msimamo mkali wa dini katika eneo la Kano nchini Nigeria wameteketeza chupa milioni nne za bia katika msako...
READ MORENCHI Morocco imemfanyia mazishi ya Kitaifa mtoto wa kiume, Rayan Oram mwenye umri wa miaka mitano aliyefariki baada ya kunasa...
READ MOREWachunguzi wa mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise wamesema aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo ambaye kwa sasa ndiye...
READ MOREMWANAMUME aliyepooza baada ya kukatika uti wa mgongo ameweza kutembea tena, kutokana na kipandikizi kilichotengenezwa na timu ya watafiti wa...
READ MOREMTOTO mwenye umri wa miaka 5 aliyenasa kwenye kisima nchini Morocco kwa siku nne amekutwa amefariki dunia, hata baada ya...
READ MOREMacho na masikio ya watu wengi duniani kwa sasa, yapo nchini Morocco ambapo oparesheni kubwa ya kumuokoa mtoto Rayan mwenye...
READ MOREWatu kumi wamefariki dunia nchini Zimbabwe baada ya kusombwa na maji walipokuwa wakijaribu kuvuka mto uliokuwa umejaa karibu na mpaka...
READ MOREMAKUNDI ya wanawake nchini Liberia yameghadhabishwa na sehemu ya chapisho katika kitabu cha wasifu wa Rais wa nchi hiyo George...
READ MOREMwanamume ambaye amekamatwa na kushtakiwa kwa kuiba biblia mbili kwenye duka kubwa jijini Nairobi anasema alichokuwa akitaka ni kumjua Mungu...
READ MOREMTU mmoja amepigana vita vikali dhidi ya mamba katika harakati za kuokoa wavu wake wa kuvulia samaki nchini Msumbiji. ...
READ MOREComfort Akosua Nyarkoa na Grace Akosua Nyarkoa, 87, wanasemekana kuwa pacha wenye umri mkubwa zaidi kuwahi kuishi kwa muda mrefu...
READ MORETEKNOLOJIA na masuala ya usafirishaji inazidi kuwa kubwa, wakati wengine wakibuni magari mapya yanayotumia umeme badala ya mafuta, Israel Eviation...
READ MORE