×

Kimataifa

Akamatwa Akimuuza Mtoto wa Miaka 10 Ili Anunue Pikipiki

Jeshi la Polisi nchini Liberia limemkamata na kumfungulia mashtaka mwanaume wa Sierra Leone mwenye umri wa miaka 29 kwa madai...

READ MORE

Ripoti ya Jaji Zondo Yammaliza Zuma

RIPOTI ya kursa 874 ya Tume iliyounda kuchunguza tuhuma za ufisadi wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma,...

READ MORE

Watu 11 Wafariki, Wanne Wapofuka kwa Kunywa Pombe ya Ndizi

WATU 11 wameripotiwa kufariki nchini Rwanda tangu sikukuu ya Krismasi baada ya kunywa pombe ya kienyeji inayotengezwa kutumia ndizi katika...

READ MORE

Wanne Watiwa Mbaroni kwa Kutaka Kumuibia Rais

HII nayo kali! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia jamaa wanne kukamatwa kwa njama ya kujaribu kumuibia Rais wa Kenya, Mhe....

READ MORE

Mrembo Anaekusanya Ushuzi na Kuuza, Yamkuta!

MREMBO Stephanie Matto (31) aliyejiajiri kwa kujamba, kuufunga ushuzi na kuuza kwenye chupa na majagi aamua kustaafu baada ya kukumbwa...

READ MORE

Kijana Atuhumiwa Kumuua Mpezi Wake

Maafisa upelelezi nchini Kenya wamemkamata kijana aitwaye Brian Waweru mwenye umri wa miaka 25, kwa tuhuma za utekelezaji wa mauaji...

READ MORE

Mbunge Asimamishwa kwa Kugawa Pipi Bungeni

Mbunge mmoja mwanamke nchini Kenya amesimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa siku moja kwa kosa la kusambaza pipi kwa wabunge...

READ MORE

Agoma Kula kwa Siku 141

MWANAUME mmoja wa Kipalestina aliyetambulika kwa jina la Hisham Abu Hawash (40) amegoma kula na kushinda njaa kwa siku 141...

READ MORE

Mchungaji Afariki kwa Kugongwa na Gari Akiwahi Ibada

  Mchungaji wa kanisa la FPCT Mpandahoteli Manispaa ya Mpanda Enos Kadange (53) amefariki dunia baada ya kugongwa na basi...

READ MORE

Fahamu Mwili wa Desmond Tutu Ulivyoyeyushwa

MWILI wa aliyekuwa mpambanaji maarufu wa kupinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu uliagwa Jumamosi katika mazishi ya...

READ MORE

Rais Trump Kuchunguzwa

Mwanasheria mkuu wa New York amemtaka Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump pamoja na wanawe wawili kufika ofisini kwake...

READ MORE

Mtu Mwenye Umri Mkubwa Zaidi Duniani Afikisha Miaka 119

Kane Tanaka, mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, alifikisha umri wa miaka 119 Jumapili, kwa mujibu wa ujumbe wa Twitter...

READ MORE

Aua Watoto Wake Naye Kujiua Kisa Mumewe Kuchepuka

MWANAMKE mmoja, Hellen Vuyanzi (35) amejichoma moto yeye na watoto wake wawili kwa kinachodaiwa kuwa ni kutofautiana na mumewe kutokana...

READ MORE

Rais wa Msumbiji & Mkewe Wakutwa na Uviko-19

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi na mkewe Isaura Nyusi wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Uviko-19. Taarifa iliyotolewa na ofisi ya...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Haiti Anusurika Jaribio la Mauaji

WATU wenye silaha walijaribu kumuua Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry wakati wa sherehe ya kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru wa...

READ MORE

Mgonjwa Anaswa kwa Kuiba Gari la Wagonjwa

Mgonjwa mwenye umri wa miaka 40, aliyejulikana kwa jina la Saminu Sa’idu, amezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii kwa kutuhumiwa...

READ MORE

Mwanajeshi wa Zamani Anashikiliwa kwa Mauaji ya Rais

MAMLAKA za nchi ya Panama zimemkamata na kumshikilia mtu mmoja aliewahi kuhudumu kama mwanajeshi nchini Colombia akitakiwa kuhojiwa kwa kuhusika...

READ MORE

Moto Waibuka Tena Kwenye Jengo la Bunge Afrika Kusini

MOTO mkubwa ambao uliwaka katika jengo la bunge la Afrika Kusini mjini Cape Town umeibuka tena saa chache baada ya...

READ MORE

Mchungaji Awaogesha Wanawake

HAYA ni maajabu ya fungua mwaka! Mchungaji wa kanisa moja nchini Ghana katika mitandao ya kijamii akiwavua nguo wanawake tena...

READ MORE

Pacha Wawili wazaliwa, Watofautiana Mwaka

Mwanamke mmoja kutoka mji wa California nchini Marekani, Fatima Madrigal amejifungua watoto mapacha wawili waliopishana dakika 15, mmoja akizaliwa mwaka...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Sudan Ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdok ametangaza kujiuzulu wadhifa huo jana Jumapili Januari 2, 2022. Hamdok ameachia wadhifa huo jana...

READ MORE

Kenya: Al Shabaab Wavamia Kijiji, Waua Sita

Takriban watu sita wameuawa na vijiji kuchomwa moto na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab katika mji wa pwani...

READ MORE

Hatimaye Meli ya Starehe Yaondoka Lisbon

Meli ya safari za starehe inayoendeshwa na kampuni ya Ujerumani, ambayo ilikuwa imekwama katika bandari ya Lisbon baada ya kuzuka...

READ MORE

Marekani Yazuia Mtandao wa 5G

SERIKALI ya Marekani imetoa wito wa kutaka kucheleweshwa kwa shughuli ya usambazaji wa mtandao wa kasi ya 5G kwenye simu...

READ MORE

Mwili wa AG wa Kwanza Kenya Wachomwa Moto Saa 3 Baada ya Kifo

Mwanasheria mkuu wa kwanza wa Kenya bwana Charles Njonjo amefariki dunia akiwa na miaka 101. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza jana Jumapili,...

READ MORE

Serikali ya Mpito Yapendekeza Uchaguzi Usogezwe kwa Miaka 5

Serikali ya Mpito Nchini Mali, imependekeza mchakato wa kurejea katika utawala wa kidemokrasia kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2020...

READ MORE

Tesla Yarejesha Magari ya Umeme 475,000 Kiwandani

KAMPUNI ya Tesla imerejesha zaidi ya magari yake ya umeme 475,000 kushughulikia mfumo wa kamera na maswala mengine ya kiufundi...

READ MORE

Mwanamke Alewesha Wanaume na Kuwaibia

JESHI la Polisi nchini Kenya wanamshikilia mwanamama Joyce Aluta wa Mombasa kwa kosa la kuwawekea wanaume dawa za kulevya kwenye...

READ MORE

Miji Ambayo Tayari Mpaka Sasa Imeshaingia 2022

WAKATI Tanzania na baadhi ya nchi kote ulimwenguni ikiwa inahesabu saa kadhaa hadi kufika Januari 1, 2022, kuna nchi na...

READ MORE

Benki Yakosea Kuwaingizia Wateja Mamilioni ya Fedha

Benki ya Santander nchini Uingereza imejikuta mdomo wazi baada ya kugundua kwamba iliweka kimakosa pesa zinazofikia $ milioni 175 (Tsh....

READ MORE

Burji al Arab Ndio Hoteli Bora Zaidi Duniani

Bila shaka umesikia sana kuhusu hoteli zenye hadhi ya nyota tano katika majiji makubwa duniani kama London nchini Uingereza, Paris...

READ MORE

Akamatwa Akisafirisha Bangi

POLISI katika kaunti ya Busia huko nchini Kenya wamemkamata mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 40 akisafirisha misokoto ya bangi...

READ MORE

Juhudi Zinaendelea Kuokoa Waliofukiwa na Kifusi Mgodini

Vikosi vya uokoaji nchini Sudan vinaendelea na jitihada za kuinasua miili ya wachimbaji wa madini waliofukiwa katika mgodi wa dhahabu...

READ MORE

Jamaa Aliyemuua Mama Yake Mzazi, Amla Nyama Akishirikiana na Mbwa

MWAKA 2019 huko Madrid, Hispania kijana mwenye umri wa miaka 26 aliyefahamika kwa jina la Alberto Sánchez Gomez alikamatwa na...

READ MORE

92 Wafariki kwa Virusi vya LASSA

WATU 92 raia wa Nigeria wamefariki kuanzia Januari 2021 mpaka sasa kutokana na virusi vya Lassa. Taarifa zinaeleza kua majimbo...

READ MORE

38 Wafariki kwa Kuangukiwa na Kifusi Mgodini

Watu 38 wamepoteza maisha baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu wa Darsay kijiji cha Fuja nchini Sudan....

READ MORE

Maajabu ya Ng’ombe Wanaoogelea Kama Binadamu

Hii ni Afrika na Afrika kuna mengi ya kuvutia. Leo nakuangushia makala kuhusu mila ya zamani ya kabila la eneo...

READ MORE

Mdogo wa Maradona Afariki Dunia

Mwanasoka na kocha maarufu nchini Argentina ambaye pia ni mdogo wake na aloyekuwa mkongwe wa soka nchini humo na dunia...

READ MORE

Fahamu Miji 10 Afrika Yenye Gharama Kubwa Zaidi ya Kuishi

Je! Umewahi kujiuliza itakugharimu shilingi ngapi kuishi katika mji tofauti na  ambao unaishi sasa katika nchi yako? Makala hii inaangazia...

READ MORE

Kenya: Baba Aua Mwanaye Kwa Kumsumbua Usingizini

Wapelelezi kutoka Idara ya Makosa ya Jinai (DCI) wamefichua kwamba wamemkamata mzee wa miaka 73, James Tarus, kwa kumuua mwanae....

READ MORE