×

Kimataifa

Polisi Amuua kwa Risasi Mwenzake Wakimkimbiza Dereva wa Lori

POLISI wa kike kutoka kituo cha Polisi cha Gilgil Weighbridge kwenye barabara ya Ngong-Suswa amempiga risasi kimakosa afisa mwenzake wakimkimbiza...

READ MORE

Mtoto Azaliwa na Sehemu Tatu za Uume – Video

WANASAYANSI wamezidi kushangazwa na kilichosababisha mtoto mmoja wa kiume aliyezaliwa na sehemu tatu za uume nchini Iraq miezi kadhaa baada...

READ MORE

Rais wa Zamani Bolivia Ajaribu Kujiua Jela

RAIS wa zamani wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez amefanya jaribio la kujiua akiwa jela siku moja baada yakufunguliwa mashtaka...

READ MORE

Naibu Mkuu wa Polisi Uganda, Paul Lokech afariki

JESHI la Polisi nchini Uganda UPDF limethibitisha kifo cha Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, Meja Jenerali Paul Lokech. Msemaji...

READ MORE

Mwanajeshi Matatani kwa Kuwalisha Wenzake Keki ya Bangi

MWANAJESHI wa Canada ambaye alilisha wanajeshi wenzake keki yenye bangi wakati wa mazoezi ya kutumia silaha sasa anaweza kuhukumiwa kifungo...

READ MORE

Wanaonunua Chapati Zaidi ya 5 Kukamatwa

JESHI la Polisi wilayani Moroto Kaskazini mwa Uganda, wameanza kuwakamata watu wanaonunua chapati tano au zaidi kwa madai ya kwamba...

READ MORE

Taliban Wapiga Msako Nyumba kwa Nyumba

Umoja wa mataifa umeeleza kuwa Taliban wako kwenye msako wa nyumba kwa nyumba kuwatafuta watu waliofanya kazi na vikosi vya...

READ MORE

Mwanasoka Afariki kwa Kudandia Ndege ya Afghan

Mamlaka ya Afghanistan imethibitisha kuwa mwanasoka kijana Zaki Anwari (19) alifariki dunia baada ya kujaribu kuondoka nchini humo kwa kudandia...

READ MORE

Mwalimu Afa kwa Shoti ya Umeme Akizungumza na Simu Kwenye Chaji

MWALIMU wa shule ya upili ya Kimugui kaunti ya Bungoma nchini Kenya  amefariki dunia chumbani kwake baada ya kupigwa na...

READ MORE

Padri Aliyewabusu Mabinti Kanisani Azua Balaa

PADRI huyo ambaye anasemekana kuwa wa Kanisa la Anglikana nchini Ghana, anaonyeshwa akiwa amevalia nguo za kijani, kisha aliwaita wanafuniz...

READ MORE

Idadi ya Waliofariki kwa Kimbunga Haiti Yafikia 2,189

IDADI ya watu waliokufa kutokana na tetemeko la ardhi nchini Haiti imefikia 2,189, hadi sasa shirika la kuwalinda raia la...

READ MORE

Amshitaki Mkewe kwa Kudanganya ana Mimba

MWANAUME mmoja aitwaye Westley Rono mwenye umri wa miaka 37 amemshtaki mke wake kwa kudanganya kwamba alikuwa mjamzito licha yeye...

READ MORE

Taliban: Hatutalipiza Kisasi

MSEMAJI wa Kundi la Wanamgambo la Taliban, Zabiullah Mujahid amesema vyombo vyote vya habari nchini humo viendelee kurusha matangazo kama...

READ MORE

Waliogombania Ndege Afghan Kutua Uganda

  SERIKALI ya Uganda imesema kuwa itawachukua wakimbizi 2000 wa Afghanistan wanaokimbia mzozo nchini mwao – kufuatia ombi la Marekani....

READ MORE

Rais Biden Agoma Kubeba Msalaba wa Afghan

Rais wa Marekani, Joe Biden ametetea uamuzi wake wa kuondoa majeshi yake nchini Afghanistan licha ya nchi hiyo kutekwa na...

READ MORE

Wabunge Kuanza Kufanyiwa ‘Massage’ Bungeni

  WABUNGE nchini Kenya wanatazamiwa kuanza kupata huduma za ukandaji ‘Massage’ katika majengo ya bunge iwapo ripoti iliyowasilishwa na kamati...

READ MORE

Mwili wa Msanii Aliyeuawa Wagoma Kuingia Kwenye Jeneza la Bei Rahisi

Kumetokea na hali ya kushangaza katika makafani ya Hospitali ya Rufaa ya Bungoma nchini Kenya baada ya mwili wa Mwanamuziki...

READ MORE

Taliban Waipindua Serikali ya Afghanistan

KUPINDUA serikali iliyopo madarakani siyo jambo jepesi na mara nyingi majaribio ya aina hii, huwa yanakwama na pale yanapofanikiwa, huwa...

READ MORE

Rais Lungu Apigwa Chini Zambia, Upinzani Washinda

Mgombea wa chama cha upinzani UPND cha nchini Zambia, Hakainde Hichilema ameibuka mshindi wa urais kwa kupata kura milioni 2,810,757...

READ MORE

SADC Yaamua Rasmi Matumizi ya Lugha ya Kiswahili

Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC limepitisha rasmi bajeti kwa ajili ya kuhakikisha Kiswahili kinatumika...

READ MORE

Wanamgambo wa Taliban Waingia Kabul

WANAMGAMBO wa Taliban wameanza kuingia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, baada ya kuidhibiti miji mingine mikubwa nchini humo.  ...

READ MORE

Mgombea wa Upinzani Aongoza Kura za Urais Zambia

MGOMBEA  wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichelema  anaongoza wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali kati yake...

READ MORE

Tetemeko Laua Watu 304

WATU 304 wamefariki baada ya tetemeko  la ardhi lenye ukubwa wa 7.2 katika vipimo vya Ritcher jana Agosti 14, kugonga...

READ MORE

Mzee Ajinasua Mikononi mwa Watekaji Baada ya Gari Lao Kupata Ajali

MZEE mmoja huko Maragua, kaunti ya Murang’a, alinusurika jaribio la utekaji nyara baada ya gari alilokuwa akisafirishiwa nalo kupata ajali...

READ MORE

Taharuki! Wakuta Jeneza Nje ya Nyumba

Wenyeji wa kijiji cha Karando wameingiwa na hofu baada ya kuamka asubuhi na kupata jeneza lililokuwa na kuku na rozari...

READ MORE

Muuguzi Feki Aiba Mtoto Hospitali

MAMA mmoja kutoka kijiji cha Esokota kaunti ya Kajiado anaishi kwa wasiwasi baada ya kuibiwa mtoto wake wa umri wa...

READ MORE

Simanzi! Ndugu Wawili wa Familia Moja Wauawa na Polisi

MAELFU ya waombolezaji wamekusanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kianjokoma kaunti ya Embu jana Ijumaa, Agosti 13, 2021...

READ MORE

Upinzani Waongoza Uchaguzi wa Rais Zambia

KIONGOZI wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema amechukua ushindi wa mapema. Matokeo ya awali yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi yanaonesha...

READ MORE

Maafa Mafuriko China

MIJI mitano mikubwa katika jimbo la katikati mwa China, Hubei, imetangaza hali ya hatari baada ya mvua kubwa kukatiza huduma...

READ MORE

Wananchi wa Zambia Kuamua leo

  WANANCHI nchini Zambia leo Agosti 12, wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, wabunge na viongozi wa serikali...

READ MORE

Watu 24 Wafariki Baada ya Kula Mbolea

WATU 24 wa familia moja wamefariki baada ya kula chakula kinachoshukiwa kuwa na sumu kaskazini magharibi mwa Nigeria. Tukio hilo...

READ MORE

Rais Ramaphosa Mbele ya Jopo la Uchunguzi

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa leo Jumatano, Agosti 11, 2021, anatarajiwa kufika mbele ya jopo la uchunguzi kwa madai...

READ MORE

Marekani Yakabidhi Masanduku ya Kuhifadhia Baridi ya Susafirisha Sampuli

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali ya Marekani yakabidhi masanduku ya kuhifadhi baridi ya kusafirisha sampuli na Baiskeli kwa ajili...

READ MORE

Mabinti Wanapimwa Bikra Ndipo Wanajiunga Jeshini

JESHI la Indonesia limedokeza kuwa litakomesha vipimo vya lazima vya “ubikira” kwa makurutu wa kike, katika hatua ambayo imepokelewa vyema...

READ MORE

Binti Aliyetekwa na Chibok Mwaka 2014 Arejea na Watoto

MMOJA wa wasichana wa shule nchini Nigeria waliokamatwa na wanamgambo wa Kiislamu Boko Haram kutoka mji wa Chibok mnamo mwaka...

READ MORE

Wanajeshi 12 Wauawa

Wanajeshi 12 wa Burkina Faso wameuawa baada ya kushambuliwa Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo hapo jana, huku wengine saba wakitoweka....

READ MORE

Waasi Wakinukisha Zambia Kabla ya Uchaguzi

Zambia iko katika hali ya sintofahamu siku nne kabla ya uchaguzi mkuu Alhamisi, Agosti 12, 2021. Takribani watu watatu wameuawa...

READ MORE

Mtoto Aliyezaliwa na Miezi 5 Arejea Nyumbani

MTOTO anayedhaniwa kuwa mdogo zaidi ulimwenguni wakati wa kuzaliwa ameruhusiwa kutoka hospitali ya Singapore baada ya matibabu ya miezi 13....

READ MORE

Binti Aliyefia Kanisani Wakati Akijifungua, Aibua Ghadhabu Kali

Polisi nchini Zimbabwe wanachunguza kifo cha msichana mwenye umri wa miaka 14-kilichotokea wakati anajifungua, kesi hiyo imeibua hisia mbalimbali miongoni...

READ MORE

Saudia Yafungua Mipaka Kwa Mahujaji Waliochanja

SAUDIA ARABIA itaanza kuwapokea wageni waliopata chanjo ya Covid-19 katika mji mtukufu wa Kiislamu wa Makka ikiwa kama sehemu ya...

READ MORE