×

Kimataifa

Corona: Sauz Yaripoti Maambukizi Mapya 354, Jumla 5,350

IDADI ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Afrika Kusini imefika watu 5,350 baada ya visa vipya 354 kuthibitishwa, huku...

READ MORE

Mfahamu Mgunduzi wa Sanitizer

KATIKA mapambano ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona, moja njia inayopendekezwa ni matumizi ya vipukusi (sanitizers) ambavyo huua...

READ MORE

Vifo vya Corona Marekani Vimezidi Waliofariki Vita vya Vietnam

IDADI ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia zaidi ya Milioni moja, huku idadi ya watu...

READ MORE

Rais Trump Ataka Shule Zifunguliwe, Magavana Wagoma

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema Serikali za majimbo nchini humo zinapaswa kufikiria kufungua shule za umma ili wanafunzi waendelee...

READ MORE

Corona Uganda: Madereva wa Malori Hakuna Kulala Hotelini

RAIS Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada...

READ MORE

Burundi Yaanza Rasmi Kampeni za Uchaguzi Mkuu

KAMPENI za uchaguzi wa urais utakaofanyika Mei 20, 2020,  zimeanza leo ambapo mgombea kupitia chama tawala (CNND-FDD), Evariste Ndayishimiye na...

READ MORE

Kagame Amfuta Kazi Waziri wa Mambo ya Ndani

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amemuondoa madarakani Waziri wa Mambo ya Ndani, Jenerali Patrick Nyamvumba, kutokana na masuala ya uwajibikaji...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 374

WIZARA ya Afya Kenya imesema wagonjwa wengine 11 wa corona wameongezeka jana na kufanya jumla ya visa vya corona kufikia...

READ MORE

Trump Aitishia China Kulipa FIDIA Kisa Corona

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema huenda nchi hiyo ikaitaka China kuilipa fidia kutokana na janga la maambukizi ya Corona...

READ MORE

Marekani: Wananchi Waandamana Kupinga Karantini

WANANCHI wa jiji la Washington DC nchini Marekani wameandamana kupinga amri ya kubaki ndani kufuatia kasi kubwa ya maambukizi ya...

READ MORE

Trump: Najua Hali ya Kim Jong-un

RAIS Donald Trump wa Marekani amesema kwamba anajua hali ya Kim Joing un kufuatia madai kuhusu afya ya kiongozi huyo...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Kenya Wafika 363

WAZIRI wa Afya nchini Kenya, Mutahi Kagwe ametangaza kwamba watu 8 zaidi wamethibitishwa kuambikizwa virusi vya corona. Idadi ya Walioambukizwa...

READ MORE

Watanzania Wengine 4 Wakutwa na Corona Uganda

  WIZARA  ya Afya nchini Uganda imesema Watanzania wengine wanne ambao ni madereva wa malori, wamethibitishwa kuwa na virusi vya...

READ MORE

Madaktari 200 wa Cuba Watua Sauz Kupambana na Corona

Timu ya madaktari zaidi ya 200 wa Cuba imewasili nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi...

READ MORE

Baada ya Kuugua Covid 19, Hatimaye Boris Kurejea Ofisini Leo

WAZIRI mkuu wa Uingereza Boris Johnson atarejea ofisini leo Jumatatu baada ya kupona maambukizi ya virusi vya corona.Msemaji wa serikali...

READ MORE

Kim Jong-un Adaiwa Kufariki Dunia

Vyombo vya habari vya Hong Kong na Marekani vimeripoti kuwa, inawezekana kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amefariki dunia...

READ MORE

Madai! Nadharia ya Corona Ilikoanzia na Aliyeisambaza

WAKATI janga la ugonjwa wa COVID-19 likiitingisha dunia, kuwekuwepo na nadharia na uvumi mbalimbali kutokana na kuibuka kwake.   Miongoni...

READ MORE

Watanzania 6 Wakutwa na Corona Uganda

WATU 74 wabainika kuwa na virusi vya Corona nchini Uganda baada ya kuongezeka maambukizi mapya 11, ambapo kati ya watu...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Kenya Wafikia 320

  WIZARA ya Afya nchini Kenya imesema idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona sasa imefika 320 baada ya leo...

READ MORE

Madereva Watanzania Wakutwa na Corona Uganda

Raia wawili wa #Tanzania wote madereva wa malori wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini #Uganda. Mmoja alikuwa kwenye...

READ MORE

Wabunge Waazimia Kujigawia Mil. 20 Kila Mmoja za Corona

WABUNGE nchini Uganda wameazimia kujigawia Shilingi za Uganda mil. 20 kila mmoja kama fedha ya ahueni wakati huu wa janga...

READ MORE

Iran Yarusha Setalaiti ya Kijeshi Angani

JESHI la walinzi wa kimapinduzi nchini Iran limesema limepeleka setalaiti yake ya kwanza ya kijeshi katika mzunguko wa dunia.  ...

READ MORE

#CoronaVirus: Watanzania Wawili Watupwa Baharini

WATANZANIA wawili ambao majina yao ni Amiri Salamu (20) na Hassani Rajabu (30) walitoswa baharini na Wachina wakiwa wamepewa ‘life...

READ MORE

Trump Aagiza Jeshi la Marekani Kuzilipua Boti za Iran

RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameliagiza Jeshi la Maji la nchi hiyo (Navy) kuzishambulia na kuziharibu kabisa boti za kivita...

READ MORE

Corona Inavyomwingizia Pesa Bilionea wa Amazon

MWANZILISHI na mmiliki wa Kampuni ya Amazon ameshuhudia utajiri wake ukichupa kwa kiasi cha dola bilioni 24 (sawa na pauni...

READ MORE

Corona Kenya: Watu 50 Watoroka Karantini – Video

JESHI la Polisi nchini Kenya linawasaka watu 50 waliotoroka katika kituo cha Kenya Medical Training College, mjini Nairobi kilichokuwa kinatumika...

READ MORE

Corona: Mungu Yuko Bize – Rais Museveni

RAIS  wa Uganda, Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus.   Museveni...

READ MORE

Kim Jong Adaiwa Mahututi Baada ya Oparesheni ya Moyo

SERIKALI ya Korea ya Kusini inaangalia kwa undani taarifa zilizoripotiwa na vyombo vya habari vya Marekani kuwa kiongozi wa Korea...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 181

IDADI ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa leo Jumatatu,...

READ MORE

Wafanyabiashara 200 Watanzania Wawekwa Karantini Kenya

WAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi nchini, zaidi ya Watanzania 200 wanaofanya biashara nchini Kenya, wamekamatwa na...

READ MORE

Watu 16 Wauawa Katika Shambulio la Risasi Canada

WATU 16 akiwemo Ofisa wa Polisi mwanamke wameuawa katika shambulio la risasi lililoendeshwa na mtu mwenye silaha katika kijiji Kidogo...

READ MORE

Uganda Kumrudisha Nyumbani Mtanzania Aliyeambukizwa Corona

Wizara ya afya nchini Uganda imethibitisha kuwa ipo katika harakati za kumtafuta raia wa Tanzania aliyepatikana na virusi vya corona...

READ MORE

Nesi Mjamzito Afariki kwa Covid 19 Mtoto Aokolewa

MARY Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid-19 au la....

READ MORE

Mbongo Uingereza Asimulia Alivyopona Corona

WAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi nchini, Mtanzania anayeishi katika mji wa Crawley nchini Uingereza, Happy Oshea...

READ MORE

Corona: Wenye Kipato Duni Kupatiwa Ruzuku na Serikali

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametangaza hatua za kuwasaidia watu maskini nchini humo kutokana na janga la ugonjwa wa Covid-19...

READ MORE

Obama Amuunga Mkono Biden Kumvaa Trump

ALIYEKUWA  Rais wa Marekani, Barack Obama, ametangaza kumuunga mkono aliyekuwa makamu wake, Joe Biden, kupeperusha bendera ya chama cha Democratic...

READ MORE

Kenya: Wananchi Watishia Kutoka Karantini

MAKUMI ya watu waliokuwa katika karantini ya lazima nchini Kenya wamefanya mgomo na kutishia kutoroka katika kituo hicho katika mji...

READ MORE

IGP: Ukimamatwa Hujavaa Barakoa, Jela Miezi 6

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Hilary Mutyambai amewaagiza polisi kumkamata mtu yoyote atakayeonekana mitaani bila kuwa na...

READ MORE

Tanzia: Mwandishi Nguli Ken Walibora Afariki Dunia

Mwandishi wa habari na mtunzi wa vitabu maarufu nchini Kenya, Profesa Ken Walibora amefariki dunia. Prof Walibora aligongwa na gari...

READ MORE

Rais Museveni Aongeza Siku Zingine 21 Karantini

RAIS Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza siku nyingine 21 kuanzia kesho April 15 hadi April May 05,2020 za Watu kuendelea...

READ MORE