×

Kimataifa

Ufaransa: Afrika Isamehewe Madeni Yote, Ikabiliane na Corona

Ufaransa na Ulaya wanatarajia kusaidia Afrika kupambana dhidi ya ugonjwa hatari wa Covid-19 kwa “kuifutia kabisa madeni yake,” Rais wa...

READ MORE

Huku Corona! Sudan Kusini Yakumbwa na Homa ya Manjano

Shirika la Afya Dunia (WHO) limetangaza mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Manjano, Kusini mwa Sudan Kusini, katika eneo la...

READ MORE

Sakata la Ubaguzi, Mabalozi wa Afrika Wakutana na Serikali ya China

MABALOZI wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China, Chen Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu: Sanders Amkabidhi Rungu Biden Kumvaa Trump

Seneta wa jimbo la Vermont la Marekani, Bernie Sanders, Jumatatu alimuidhinisha aliyekuwa makamu wa rais Joe Biden kuwa mgombea wa...

READ MORE

Marufuku ya Usafiri Kisa Corona, Mgonjwa Akiwahishwa Hospitali

MWANAMME mmoja akiwa anasukuma usafiri wa asili ili kumuwaisha hospitali mgonjwa katika Manispaa ya Arua, Uganda.   Mwanamke huyo mgonjwa...

READ MORE

#Corona: Uturuki Yapitisha Sheria Kuwaachia Wafungwa 100,00

BUNGE la nchi hiyo limepitisha sheria inayotoa kibali cha kuwaachia Wafungwa 100,000 kama mojawapo wa njia za kupambana na maambukizi...

READ MORE

Maiti 800 za Waliofariki kwa Corona na Kutelekezwa

Ecuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil, sehemu iliyoathiriwa kwa kiasi...

READ MORE

Trump: Marekani Ichimbe Madini Mwezini, Rasilimali Zimekwisha Duniani

Rais wa Marekani, Donald Trump anataka Marekani kuanza kutafuta raslimali kwenye mwezi. Hivi karibuni rais huyo alisaini amri inayosema Marekani...

READ MORE

Matroni Aliyepiga Picha na Waziri Mkuu Afariki kwa Corona

MATRONI wa Hospitali moja nchini Uingereza ambaye ameonekana katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson...

READ MORE

Wanasayansi: Kinga ya Corona Virus Iko Hatua za Mwisho

  Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, chanjo 70 za coronavirus ziko katika hatua ya utafiti kwenye maabara za...

READ MORE

Auawa na Watoto; Kisa Mchepuko wa Baba Yao

POLISI katika Kaunti ya Kisumu nchini Kenya wanawasaka vijana wawili kwa tuhuma za kumuua mpenzi wa baba yao mzazi, Mercy...

READ MORE

Bad News: Ebola Yarejea Tena Congo DR

  Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya kuthibitishwa kesi nyingine moja ya ugonjwa wa Ebola huko Jamhhuri ya...

READ MORE

Waafrika Watimuliwa China Wakituhumiwa Kuingiza Coronavirus – Video

BALAA limewakumba Waafrika walioko nchini China wakidaiwa kuwa wameingiza nchini  humo virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa unaojulikana kama Covid-19 ambao...

READ MORE

Hawa Ndo Madaktari Waliotaka Kinga ya Corona Ifanyiwe Majaribio Afrika

MAAMBUKIZI ya Virusi vya Corona duniani yanazidi kushika kasi. Hadi sasa nchi 209 duniani zimeathirika na virusi hivyo ambavyo vimesababisha...

READ MORE

Corona: Museveni Ataka Wenye Nyumba Wasiwafukuze Wapangaji

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ametoa onyo kwa wapangaji nchini humo na kuwataka wasiwafukuze wapangaji wanaoshindwa kulipa kodi katika wakati...

READ MORE

Kambi ya Marekani Yapigwa Makombora

MAKOMBORA matano yameipiga kambi ya jeshi la angani la Marekani ya Bagram nchini Afghanistan leo, lakini hakujawa na ripoti za...

READ MORE

Corona: WHO Yakanusha Madai ya Trump Kuhusu China

MAOFISA wa Shirika la Afya Ulimwenguni – WHO wamekanusha leo kuwa shirika hilo linaipendelea China na kusema kuwa hatua hii...

READ MORE

Trump Awatishia India: ‘Tunataka Chloroquine’

RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametishia kulipiza kisasi dhidi ya India endapo nchi hiyo itapiga marufuku mauzo ya dawa ya...

READ MORE

Ronaldinho Apata Dhamana, Atoka Gerezani

NGULI wa zamani wa soka wa Klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Ronaldinho Gaucho,  na kaka yake...

READ MORE

Wabunge 17 Wahofiwa Kuwa na Corona Virus

TAHARUKI imezuka Bungeni baada ya taarifa mbalimbali kuripoti kuwa takriban wabunge na watumishi wa Bunge 17 wana maambukizi ya Virusi...

READ MORE

Trump: WHO Wanaipendelea China, Nitaacha Kuwapa Pesa!

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amelilaumu Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa linaipendelea nchi ya China na kushirikiana nayo kuficha...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza! Hakuna kifo cha Corona China

SERIKALI ya China imetangaza kwa mara ya kwanza kutokuwa na vifo vipya tangu virusi vya corona vilipoibuka mwishoni mwa mwaka...

READ MORE

WHO: Afrika Haitakuwa Uwanja wa Majaribio Chanjo ya Corona

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amekosoa vikali matamshi ya kibaguzi ya madaktari wawili wa Ufaransa waliopendekeza kufanyia...

READ MORE

Corona: Serikali Yaongeza Mishahara, Hakuna Kulipia Maji

RAIS wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo, ametangaza kuwalipia wananchi ankara za maji kwa miezi mitatu (Aprili, Mei na Juni),...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu Uingereza Yuko Chumba cha Mahututi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amepelekwa katika chumba cha kuhudumia wagonjwa mahututi baada ya hali yake kiafya kuwa mbaya...

READ MORE

TANZIA: Mama wa Kocha Guardiola Afariki kwa Corona

    MAMA wa meneja (kocha) klabu ya Manchester City ya Uingereza,  Pep Guardiola, aitwaye Dolors Sala Carrió,  amefariki dunia...

READ MORE

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza Alazwa

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amelazwa hospitalini ili kufanyiwa vipimo vya virusi vya corona, siku kumi baada ya kukutwa...

READ MORE

Chui Akutwa na Virusi vya Corona

CHUIMILIA wa miaka minne katika bustani ya wanyamapori (zoo) jijini New York amethibitishwa kuwa na maambukizi ya #Coronavirus yanayosababisha ugonjwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aliyemng’oa Gaddafi Afariki kwa Corona

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa mpito nchini Libya, Mahmoud Jibril,  amefariki dunia baada ya kupata maambukizi ya virusi vya Corona.  ...

READ MORE

Wenye Virusi vya Corona Nchini Kenya Wafika 142

Kenya imethibitisha kuwa na wagonjwa wapya 16 wa corona, baada ya kuwafanyia vipimo watu 530. Hadi sasa Kenya imefikisha idadi...

READ MORE

Duh! Kichaa Kaiba Ambulance Hospitalini, Kapata Ajali!

MGONJWA wa akili kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya, ameponea kifo kwenye tundu la sindano baada ya ambulensi aliyoiiba kutoka...

READ MORE

Corona: Kipigo na Kuua, Polisi Wanne Wasimamishwa Kazi

HATIMAYE serikali ya Kenya imeonekana kuchukua hatua dhidi ya mauaji na ukatili unaoripotiwa kuendelezwa na maafisa wa polisi wanapoidhinisha amri...

READ MORE

Corona Kenya: Mtoto Miaka 6 Afariki, Walioathirika Wafikia 122

IDADI ya wagonjwa wa virusi vya corona (Covid-19) nchini Kenya imefikia 122 baada ya watu wengine 12 kuthibitishwa kuwa navyo...

READ MORE

Hispania: Watu 932 Wafariki Ndani Ya Saa 24

KWA mujibu wa data zilizotolewa na Wizara ya Afya nchini Hispania  humo leo Aprili 3, 2020, jumla ya watu waliofariki...

READ MORE

Rais Putin: Msiende Kazini, Mishahara Yenu Ipo

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, ameamuru watu wa nchi hiyo kutokwenda kazini na kusalia majumbani hadi mwishoni mwa mwezi huu...

READ MORE

Rais Putin ‘Ajificha’ Kupambana na Corona

RAIS  wa Urusi, Vladimir Putin,  kuanzia sasa atakuwa akifanya kazi akiwa nyumbani kwake huko Novo-Ogarevo, karibu na jiji la Moscow,...

READ MORE

Siku 1, Watu 884 Wafariki kwa Corona Marekani, Vifo Vyafikia 5000

ZAIDI ya watu 5,000 wamefariki dunia nchini Marekani kwa sababu ya janga la Corona, ambapo zaidi ya watu 215,000 nchini...

READ MORE

Serikali ya Kim: Korea Hatuna Corona

SERIKALI ya Korea Kaskazini imesisitiza kuwa mpaka sasa haina mgonjwa hata mmoja mwenye homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...

READ MORE

Uganda Kuwapa Chakula Watu Mil 1.5 Walio Majumbani

WAZIRI Mkuu wa Uganda, Ruhakana Rugunda, amesema serikali ya Uganda itawapatia chakula watu maskini walioko mijini kuanzia Jumamosi wiki hii,...

READ MORE

Corona Updates: Marekani Hali Inatisha, Vifo Vinaongezeka – Video

DUNIA nzima inatetemeka, janga la covid 19 linatishia maisha ya kila mmoja wetu, watu wamejifungia ndani, Siyo Amerika, Ulaya, Asia...

READ MORE