×

Kimataifa

Mwanamke Afariki Baada ya Kuruka Kwenye Ambulance

MWANAMKE Naiso Leslie (26) amefariki baada ya kuruka kutoka kwenye gari la wagonjwa baada ya mtoto wake Solomon Lesie (2)...

READ MORE

Ndege Yaanguka Barabarani

ZAIDI ya watu 100 wamenusurika kufa baada ya ndege ya abiria kuanguka katikati ya barabara katika mji wa Mahshahr nchini...

READ MORE

Breaking: Kobe Bryant Afariki Katika Ajali Ya Helikopta – Video

MCHEZAJI maarufu wa mpira wa kikapu kwenye Ligi ya NBA ya Marekani, Kobe Bryant (41),  amefariki katika ajali ya helikopta...

READ MORE

Iraq Wafanya Maandamano Makubwa Kuyaondoa Majeshi ya Marekani

MAMIA ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, wakidai vikosi vya Marekani viondoke Iraq. Kiongozi mwenye ushawishi wa...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Uturuki: Watu 19 Wafariki, 300 Wajeruhiwa

Watu 14 wafariki katika tetemeko la ardhi katika eneo la Mashariki mwa Uturuki. Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa...

READ MORE

Virusi vya Corona Vyatua Ufaransa, Afrika Yaanza Kudhibiti

SERIKALI ya Ufaransa imetangaza visa vya maambukizi ya virusi vya corona vilivyoanzia nchini China ambapo watu watatu wamethibitishwa kuambukizwa virusi...

READ MORE

Bilionea Atafuta Mrembo wa Kwenda Naye Mwezini

BILIONEA wa Japan Yusaku Maezawa anamtafuta mwanamke atakayekuwa “mpenzi wa maisha” ili aongozane naye kutalii anga za mbali hadi mwezini....

READ MORE

Mwanamke Adai Kudhalilishwa; Kisa Ndevu

THERESIA MUMBI ni mama wa mtoto wa kiume mwenye miaka saba, yeye ana miaka 34 , kazi yake ni utingo...

READ MORE

Nkurunziza Kupata Bil. 1.15 Akistaafu, Kuwa Makamu wa Rais

BUNGE  la Burundi limepitisha sheria inatakayompa rais kitita cha Tsh. bilioni 1.15 atakapostaafu huku sheria hiyo ikiruhusu rais akistaafu atachukuliwa...

READ MORE

Shirika la Ndege la Afrika Kusini Lafilisika

SHIRIKA la Ndege la Afrika Kusini (South African Airways) limesitisha jumla ya safari zake 38 za ndani na nje ya...

READ MORE

Wanaoingia Kenya Kupimwa Virusi vya Corona

NCHI ya Kenya imetangaza kuwa raia wote wanaoingia nchini humo kutoka nchini China watapimwa virusi vya Corona. Kenya imechukua hatua...

READ MORE

Guiness: Besigye Kiongozi Aliyekamatwa Mara Nyingi Zaidi Duniani

KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye,  ametajwa katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness kuwa kiongozi aliyekamatwa na...

READ MORE

Ripoti Zaonyesha Demokrasia Imeshuka Afrika

Ripoti mpya ya kila mwaka ya kielelezo cha demokrasia iliyochapishwa na Kitengo cha Ujasusi wa Kiuchumi EIU imesema kiwango cha...

READ MORE

Mshitakiwa Afariki Mahakamani

SHUGHULI zilisimama kwa muda katika Mahakama Kuu mjini Mbale nchini Uganda baada ya mtuhumiwa kuanguka na kufariki dunia.   Simon...

READ MORE

Watu Saba Wauawa Harusini

WATU saba wameuawa kwa mlipuko wa bomu aina ya kombora dogo (grenade) walipokuwa kwenye sherehe ya harusi huko Khartoum, Sudan....

READ MORE

Mataifa Makubwa Duniani Kudhibiti Amani Libya

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa mataifa yenye uwezo mkubwa duniani yamejitolea kuhakikisha kuwa kuna suluhu...

READ MORE

Mama Mmarekani Atua Nigeria Kufunga Ndoa na Kibenteni, Walikutana Insta

MAMA mmoja kutoka California Marekani, Jeanine Delsky (43), amefunga safari mpaka nchini Nigeria nyumbani kwa wazazi wa kijana Sulaiman Babayero...

READ MORE

Kortini kwa Kumbaka Mke Wake

MWANAMME mmoja, Nhlanhla Dlamini, mwenye umri wa miaka 34, amekuwa mtu wa kwanza kushtakiwa kwa madai ya ubakaji kwa kufanya...

READ MORE

Imam Aliyeoa Mwanamume Mwenzake Yamkuta Mazito

IMAM aliyemuoa mwanamme mwenzake akidhani ni mwanamke amefutwa kazi na Baraza Kuu la Waislamu Uganda. Huku mjadala kuhusu kama kweli...

READ MORE

Jeshi Lakabiliana na Waasi Sudan

Jeshi la Sudan linayashikilia makao makuu ya kikosi cha usalama wa taifa cha nchi hiyo ambacho awali kilikuwa kitiifu kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aohofia Usalama wa Harry na Meghan, Malkia Afunguka

WAZIRI Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema mazungumzo zaidi yanahitajika kuhusiana na gharama za usalama wa Mwanamfalme wa Uingereza, Harry...

READ MORE

Papa Benedict Akataa Waliooa Kuwa Makasisi

Kiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict,  wa 16 amepinga pendekezo la mrithi wake, Papa Francis, kuwaruhusu wanaume waliooa...

READ MORE

Rais Moi wa Kenya Yupo ICU

RAIS mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi, mwenye umri wa miaka 95,  yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu...

READ MORE

Al Shabaab Waivamia Tena Kenya, Waua Walimu Watatu

WATU watatu wameuawa baada ya wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab kuvamia mji wa Garisa kaskazini mwa Kenya katika mpaka...

READ MORE

Samsung Wametengeneza Watu (Artificial Human)

KAMPUNI ya Samsung kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasio asilia ambao watakuwa wanafanana na binadamu...

READ MORE

Wauza Majeneza Wasababisha Msongo wa Mawazo kwa Wagonjwa

WAFANYABIASHARA ya kuuza majeneza karibu na maeneo ya hospitali wamepewa hadi Machi kuondoa bidhaa zao karibu na hospitali moja iliyopo...

READ MORE

Wazazi Wamuua Mwalimu Kisa Matokeo Mabaya

WASHUKIWA wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui. Wawili hao wanazuiliwa huku...

READ MORE

Bunge la Marekani Lazuia Vita Dhidi ya Iran

Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika...

READ MORE

Netflix Kuifuta Filamu Inayomwonesha Yesu Kama ‘Shoga’

Mahakama yaamuru mtandao maarufu wa kuonyesha filamu, Netflix kufuta filamu inayoonyesha Yesu kama mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja.  ...

READ MORE

Dakika 50 za Papa Kuhusu Marekani na Iran

KIONGOZI wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amesihi Marekani na Iran wakae kwenye meza ya majadiliano ili wapate suluhu ya...

READ MORE

Marekani Ipo Tayari Kufanya Mazungumzo na Iran

MAREKANI imesema iko tayari kujadiliana na Iran bila masharti baada uhasama uliozuka baina ya nchi hizo kufuatia mauaji ya jenerali...

READ MORE

Cameroon: Bomu Laua 9 na Kujeruhi 30

MLIPUKO katika mji wa Fotokol mpakani mwa Cameroon na Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa na kujeruhi wengine 30.  ...

READ MORE

Miguna Atolewa Kwenye Ndege ya Ufaransa kwa Amri ya Serikali

SHIRIKA la Ndege la Ufaransa (Air France) jana limemshusha kwenye ndege Mwanasheria Miguna Miguna aliyekuwa akielekea Nairobi likidai ni kwa...

READ MORE

Iran Yashambulia Kambi za Jeshi la Marekani

IRAN imerusha makombora zaidi ya kumi ikilenga majengo ya Marekani yaliyopo kaskazini mwa Iraq ikiwemo kambi ya jeshi ya Ain...

READ MORE

Ndege ya Ukraine Yaanguka Iran Ikiwa na Abiria 180

NDEGE ya Ukraine iliyokuwa imebeba watu 180  na wafanyakazi wake, imeanguka karibu na mji mkuu wa Iran, Tehran, dakika tatu...

READ MORE

Qasem Soleimani: Nyota ya Iran Iliyozimwa na Marekani – Video

Januari 3, 2020, tukio lisilo la kawaida lilitokea nchini Iraq, likimhusisha kiongozi wa ngazi za juu wa jeshi la Iran!...

READ MORE

Miguna Miguna Azuiwa Berlin

WAKILI wa Upinzani nchini Kenya, Miguna Miguna ameshindwa kurejea nchini humo baada ya kuzuiliwa kupanda ndege na Mamlaka ya nchini...

READ MORE

Mauaji ya Jenerali Qasem, Iran Yataka Kichwa cha Trump

MAELFU ya waombolezaji wamekusanyika mitaani nchini Iran ili kuomboleza kifo cha Jenerali Qasem Soleimani aliyeuawa na Jeshi la Marekani katika...

READ MORE

Mchungaji Amuua Mkewe Kanisani

MCHUNGAJI mmoja nchini Kenya amemuua mkewe, Ann Mghoi,  kwa kumchoma visu, kisha na yeye kujiua. Mchungaji huyo aliyefahamika kwa jina...

READ MORE

Al-Shabaab Yateka Basi, Yua Watatu Kenya

WATU watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la...

READ MORE