MWANAMKE Naiso Leslie (26) amefariki baada ya kuruka kutoka kwenye gari la wagonjwa baada ya mtoto wake Solomon Lesie (2)...
READ MOREZAIDI ya watu 100 wamenusurika kufa baada ya ndege ya abiria kuanguka katikati ya barabara katika mji wa Mahshahr nchini...
READ MOREMCHEZAJI maarufu wa mpira wa kikapu kwenye Ligi ya NBA ya Marekani, Kobe Bryant (41), amefariki katika ajali ya helikopta...
READ MOREMAMIA ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, wakidai vikosi vya Marekani viondoke Iraq. Kiongozi mwenye ushawishi wa...
READ MOREWatu 14 wafariki katika tetemeko la ardhi katika eneo la Mashariki mwa Uturuki. Tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa...
READ MORESERIKALI ya Ufaransa imetangaza visa vya maambukizi ya virusi vya corona vilivyoanzia nchini China ambapo watu watatu wamethibitishwa kuambukizwa virusi...
READ MOREBILIONEA wa Japan Yusaku Maezawa anamtafuta mwanamke atakayekuwa “mpenzi wa maisha” ili aongozane naye kutalii anga za mbali hadi mwezini....
READ MORETHERESIA MUMBI ni mama wa mtoto wa kiume mwenye miaka saba, yeye ana miaka 34 , kazi yake ni utingo...
READ MOREBUNGE la Burundi limepitisha sheria inatakayompa rais kitita cha Tsh. bilioni 1.15 atakapostaafu huku sheria hiyo ikiruhusu rais akistaafu atachukuliwa...
READ MORESHIRIKA la Ndege la Afrika Kusini (South African Airways) limesitisha jumla ya safari zake 38 za ndani na nje ya...
READ MORENCHI ya Kenya imetangaza kuwa raia wote wanaoingia nchini humo kutoka nchini China watapimwa virusi vya Corona. Kenya imechukua hatua...
READ MOREKIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, ametajwa katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness kuwa kiongozi aliyekamatwa na...
READ MORERipoti mpya ya kila mwaka ya kielelezo cha demokrasia iliyochapishwa na Kitengo cha Ujasusi wa Kiuchumi EIU imesema kiwango cha...
READ MORESHUGHULI zilisimama kwa muda katika Mahakama Kuu mjini Mbale nchini Uganda baada ya mtuhumiwa kuanguka na kufariki dunia. Simon...
READ MOREWATU saba wameuawa kwa mlipuko wa bomu aina ya kombora dogo (grenade) walipokuwa kwenye sherehe ya harusi huko Khartoum, Sudan....
READ MOREKatibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa mataifa yenye uwezo mkubwa duniani yamejitolea kuhakikisha kuwa kuna suluhu...
READ MOREMAMA mmoja kutoka California Marekani, Jeanine Delsky (43), amefunga safari mpaka nchini Nigeria nyumbani kwa wazazi wa kijana Sulaiman Babayero...
READ MOREMWANAMME mmoja, Nhlanhla Dlamini, mwenye umri wa miaka 34, amekuwa mtu wa kwanza kushtakiwa kwa madai ya ubakaji kwa kufanya...
READ MOREIMAM aliyemuoa mwanamme mwenzake akidhani ni mwanamke amefutwa kazi na Baraza Kuu la Waislamu Uganda. Huku mjadala kuhusu kama kweli...
READ MOREJeshi la Sudan linayashikilia makao makuu ya kikosi cha usalama wa taifa cha nchi hiyo ambacho awali kilikuwa kitiifu kwa...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema mazungumzo zaidi yanahitajika kuhusiana na gharama za usalama wa Mwanamfalme wa Uingereza, Harry...
READ MOREKiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedict, wa 16 amepinga pendekezo la mrithi wake, Papa Francis, kuwaruhusu wanaume waliooa...
READ MORERAIS mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi, mwenye umri wa miaka 95, yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu...
READ MOREWATU watatu wameuawa baada ya wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab kuvamia mji wa Garisa kaskazini mwa Kenya katika mpaka...
READ MOREKAMPUNI ya Samsung kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasio asilia ambao watakuwa wanafanana na binadamu...
READ MOREWAFANYABIASHARA ya kuuza majeneza karibu na maeneo ya hospitali wamepewa hadi Machi kuondoa bidhaa zao karibu na hospitali moja iliyopo...
READ MOREWASHUKIWA wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui. Wawili hao wanazuiliwa huku...
READ MOREBunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika...
READ MOREMahakama yaamuru mtandao maarufu wa kuonyesha filamu, Netflix kufuta filamu inayoonyesha Yesu kama mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja. ...
READ MOREKIONGOZI wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amesihi Marekani na Iran wakae kwenye meza ya majadiliano ili wapate suluhu ya...
READ MOREMAREKANI imesema iko tayari kujadiliana na Iran bila masharti baada uhasama uliozuka baina ya nchi hizo kufuatia mauaji ya jenerali...
READ MOREMLIPUKO katika mji wa Fotokol mpakani mwa Cameroon na Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa na kujeruhi wengine 30. ...
READ MORESHIRIKA la Ndege la Ufaransa (Air France) jana limemshusha kwenye ndege Mwanasheria Miguna Miguna aliyekuwa akielekea Nairobi likidai ni kwa...
READ MOREIRAN imerusha makombora zaidi ya kumi ikilenga majengo ya Marekani yaliyopo kaskazini mwa Iraq ikiwemo kambi ya jeshi ya Ain...
READ MORENDEGE ya Ukraine iliyokuwa imebeba watu 180 na wafanyakazi wake, imeanguka karibu na mji mkuu wa Iran, Tehran, dakika tatu...
READ MOREJanuari 3, 2020, tukio lisilo la kawaida lilitokea nchini Iraq, likimhusisha kiongozi wa ngazi za juu wa jeshi la Iran!...
READ MOREWAKILI wa Upinzani nchini Kenya, Miguna Miguna ameshindwa kurejea nchini humo baada ya kuzuiliwa kupanda ndege na Mamlaka ya nchini...
READ MOREMAELFU ya waombolezaji wamekusanyika mitaani nchini Iran ili kuomboleza kifo cha Jenerali Qasem Soleimani aliyeuawa na Jeshi la Marekani katika...
READ MOREMCHUNGAJI mmoja nchini Kenya amemuua mkewe, Ann Mghoi, kwa kumchoma visu, kisha na yeye kujiua. Mchungaji huyo aliyefahamika kwa jina...
READ MOREWATU watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la...
READ MORE