×

Kimataifa

Watu Wenye Mwonekano wa Kipekee Duniani

Kimi MWANAMITINDO Kimi wa Taiwan ni mmoja wa watu wenye taswira za kipekee ambaye anaweza kulifanya jicho la mtu yeyote...

READ MORE

RAPA AZALEA AZAMA PENZINI NA ‘FUTBOLA’ HOPKINS

RAPA wa Australia, Iggy Azalea, hivi sasa yuko katika penzi la nguvu na mcheza mpira (football) wa ligi ya NFA...

READ MORE

Nchi Zenye Watu Wanene Zaidi Duniani kwa Mwaka 2018

1 – Kuwait – Asilimia 42.8% ya watu wake ni wanene. Kwa mujibu wa orodha ya mwaka huu — 2018...

READ MORE

POGBA AWAAMBIA MAN U ANATAKA KWENDA BARCELONA

STAA wa soka Paul Pogba ameiambia timu yake ya  Manchester United  kwamba anataka kuondoka na kujiunga na Barcelona. Amewaambia wachezaji na maofisa wa...

READ MORE

AJENTI ATAKA POGBA AIACHE MAN U AHAMIE BARCELONA

AJENGI wa mcheza soka wa Manchester United, Mino Raiola, anafanya juhudi za kumwondoa mchezaji huyo katika timu hiyo ya Uingereza...

READ MORE

BLAC CHYNA AUMBUKA KISA KALIO

MWANAMITINDO maarufu kutoka Marekani, Angela Renee ‘Blac Chyna’, hivi karibuni ameumbuka wakati akishiriki mchezo wa ‘Zoom Challenge’ wa kujivuta kwa...

READ MORE

APPLE SASA YAMILIKI MATRILIONI YA FEDHA

  KAMPUNI  maarufu ya Marekani katika masuala ya teknolojia, Apple,  sasa inamiliki matrilioni ya fedha ambapo hisa zake, ilipofika Agosti 2...

READ MORE

KIBENDI CHA BEYONCE HAKUNA SIRI TENA !

MWANAMUZIKI Beyonce Knowles ‘Beyonce’ ambaye ni mke wa rapa maarufu duniani, Jay Z alikuwa akifanya ujauzito wake wa nne, kuwa...

READ MORE

LEBRON: TRUMP ANATUMIA MICHEZO KUIGAWA MAREKANI

                         LeBron MCHEZAJI wa mpira wa kikapu wa timu...

READ MORE

MASTAA WALIOKUMBANA NA MIFADHAIKO YA AKILI

PAMOJA na mafanikio waliyo nayo mastaa wengi, bado huwa wana matatizo na mifadhaiko ya kimawazo au kiakili.  Kwa vile watu...

READ MORE

‘SAUZI’ YAMWONDOLEA GRACE MUGABE HADHI YA KIDIPLOMASIA

Robert NA Grace Mugabe MAHAKAMA moja nchini Afrika Kusini imeutupilia uamuzi wa serikali nchini humo wa kumpa mke wa  aliyekuwa...

READ MORE

Wamarekani Matajiri Zaidi Walio Chini ya Miaka 25 kwa Mwaka 2018

Blue Ivy – Ana utajiri wa $1 Billion (Sh. trilioni. 2.28) Huyu ni mtoto wa wanamuziki Beyonce na Jay Z,...

READ MORE

Waigizaji 5 Wanaolipwa Mkwanja Mkubwa Zaidi Hollywood

1.Daniel Craig, $25 million (Sh. bil. 57) mwigizaji wa filamu za “James Bond 25” (2019)  2.Dwayne Johnson, $ 22 million (Sh....

READ MORE

Real Madrid Yapania Kuwanunua Willian, Courtois

  Willian. KLABU ya Hispania ya Real Madrid  imepania kuipa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Paundi mil. 100 (Sh. bil. 300)...

READ MORE

RONALDO ATUA TURIN KWA MAZOEZI NA JUVENTUS

Ronaldo alipotua Turin jana. MWANASOKA Cristiano Ronaldo  amewasili jijini Turin, Italia, kwa ajili ya mazoezi na timu yake mpya ya Juventus. Mchezaji...

READ MORE

BARACK, MICHELLE WATOKEA KWENYE SHOO YA BEYONCE, JAY-Z

JUMAMOSI iliyopita, aliyekuwa rais wa Marekani Barack na  Michelle Obama walihudhuria onyesho la wanamuziki Beyonce na mumewe Jay-Z huko  Landover, Maryland, nchini Marekani. Mwanzoni...

READ MORE

Yafahamu Mambo Yanayovutia Wanawake kwa Wanaume

                            Kimo kirefu.        ...

READ MORE

IJUE MIJI 3 YA AJABU CHINI YA BAHARI UNAYOPASWA KUITEMBELEA

Lion City – Qiandao Lake, China Mji huo ulifurikishwa maji kwa makusudi mwaka 1959 ili kujenga ziwa na kituo cha...

READ MORE

ZIFAHAMU AINA 10 ZA SAA ZA GHARAMA ZAIDI DUNIANI

SAA tunazovaa kwenye mikono hutusaidia kuelewa muda au wakati, lakini pia ni alama ya utajiri ambao unaweza kujivunia bila hata...

READ MORE

Jenner, Ronaldo, Beyoncé Waongoza kwa Mkwanja Instagram

STAA wa televisheni na mwanamitindo wa Marekani, ameongoza orodha ya mastaa wenye mkwanja mkali katika mtandao wa Instagram (Instagram Rich...

READ MORE

FAT JOE AWAOMBA MAYWEATHER-50 CENT KUPATANA

Fat Joe RAPA Mmarekani Fat Joe, amewaomba rapa 50 Cent na bondia  Floyd Mayweather kuacha bifu kati yao kwani ni “ndugu” na kwamba yeye hataki...

READ MORE

Ronaldo, Awazidi Neymar, Messi Katika Mkwanja wa Instagram 2018

MWANASOKA wa klabu ya Juventus Ronaldo, amewazidi mastaa wa soka wenzake Neymar na Mess katika mkwanja anaoweza kupata katika mtandao...

READ MORE

Mastaa Waliopata Umaarufu kwa Sehemu za Miili Yao

  Kivutio cha mwanamitindo na mwigizaji Cara Delevigne, ni nyusi zake. Mtangazaji wa televisheni, Kim Kardashian, kivutio chake ni makalio...

READ MORE

HUKUMU YA KIFO YA NAURA, RUTH NA SHERIA ZETU

RUTH Kamande na Naura Hussein wote wamehukumiwa na mahakama kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji ya wapenzi wao. Ruth...

READ MORE

Binti wa Miaka 15 Afungwa Kwa Kutoa Mimba Aliyobakwa na Kaka’ke

BINTI wa miaka 15 nchini Indonesia amefungwa miezi sita kwa kutoa mimba aliyoipata baada ya kubakwa mara nane na kaka...

READ MORE

Waziri wa Nishati Ahukumiwa Jela Miaka Minne kwa Rushwa

WAZIRI wa zamani wa Nishati wa Zimbabwe, Samuel Undenge,  amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia...

READ MORE

Mama Afungwa Jela kwa Kuruhusu Wanaume Kumbaka Mwanaye

MWANAMKE Azzie Watson (25) wa Independence, Kansas City, Marekani, ameshitakiwa kwa kuuruhusu wanaume kumbaka mtoto wake wa kike mwenye umri...

READ MORE

Miss wa Gereza Ahukumiwa Kifo – (Pichaz na Video)

MSHINDI wa taji la urembo katika gereza kuu la wanawake la Lang’ata (Miss Lang’ata Prison 2016) Jijini Nairobi amehukumiwa kifo...

READ MORE

Dada Amtaka Meghan Amkumbuke Baba Yao

      SAMANTHA ambaye ni dada wa kambo wa Meghan, mke wa mwanamfalme wa Uingereza, Prince Harry, amemtaka Meghan...

READ MORE

Beyonce Aficha Ujauzito Wake, Avaa T-Shirt Kubwa

  MWIMBAJI Beyonce jana alionekana akiwa amevaa kikaptura cha jeans na T-shirt kubwa na pana ambapo mashabiki waliomwoma jijini Nice,...

READ MORE

NCHI ZENYE WATU WANAOISHI UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI

JUKWAA la Uchumi Duniani (WEF) limetoa utafiti wa nchi ambazo watu wake wanaishi umri mkubwa zaidi.  Utafiti huo haukutia maanani...

READ MORE

Obama Azindua Kituo cha Michezo ya Vijana cha Dada’ke

  Obama akiwa na Auma (wa pili kulia) na vijana wa kituo hicho. ALIYEKUWA rais wa Marekani, Barack Obama,  Jumapili amezindua...

READ MORE

Mkutano wa Trump, Putin Watafuna Mamilioni!

  MKUTANO kati ya  Rais Trump wa Marekani na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, nchini Helsinki ‘umekula’ Dola 300,000 ambazo...

READ MORE

Mashabiki wa Soka Waipokea Timu ya Ufaransa Kifalme

MASHABIKI wa soka walijipanga katika mtaa mashuhuri jijini Paris uitwao Champs-Elysees jana na kuipokea kifalme timu ya soka ya nchi...

READ MORE

Mayweather, Jenner, Messi Waburudishaji Wenye Mkwanja Mkali Zaidi

JARIDA la Forbes la Marekani  limewaorodhesha bondia Floyd Mayweather na waburudishaji wengine 100 ambao wanaingiza mkwanja mkali zaidi duniani hadi...

READ MORE

Michelle, Sasha Obama Wapamba Shoo ya Beyonce, Jay-Z

  UHUSIANO wa wanamuziki nguli wa Marekani, Beyonce na Jay-Z,   na familia ya Obama unazidi kuimarika baada ya  Michelle na Sasha kujitokeza katika shoo ya nguli hao...

READ MORE

T.I. Amfanyia Mkewe Sapraiz ya Bethdei Yake

MKE wa rapa wa Marekani, T.I., aitwaye  Tameka ‘Tiny’ Harris,  amesherehekea bethidei yake ya 43 kwa kununuliwa gari ya bei mbaya na...

READ MORE

Prince William, Kate Watoa Picha ya Ubatizo wa Prince Louis

Duke na Duchess wa Cambridge Prince William na Kate Middleton wametoa picha rasmi ya ubatizo wa mtoto wao wa tatu, Prince Louis. Picha hizo...

READ MORE

Trump, Mkewe Wakutana na Malkia Elizabeth II

  RAIS wa Marekani Donald Trump na mkewe Melania Trump jana walikutana na Malkia wa Uingereza kwenye makazi ya Windsor...

READ MORE

Kombe la Dunia: Wanigeria 400 Wakwama Russia

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Russian liitwalo “Alternative” limefichua kwamba Wanigeria wapatao 400 waliokwenda kushuhudia Kombe la Dunia nchini Russia,...

READ MORE