×

Kimataifa

Wazungu Waliomtia Mtu Mweusi Kwenye Jeneza Akiwa Hai Washtakiwa

Theo Martins Jackson Mtu mweusi nchini Afrika Kusini ambaye alidaiwa kulazimishwa kuingia katika jeneza na wakulima wawili weupe kwa kupita...

READ MORE

Rais Buhari Atakiwa na Wanahabari Kujiuzulu

RAIS Muhammadu Buhari wa Nigeria ametakiwa kuachia nafasi hiyo na kundi la upinzani la vyombo vya habari linalojulikana kama Wailing...

READ MORE

Trump Ashtukiza Mgahawani, New York

Rais mteule wa Marekani Donald Trump aliwashangaza wateja, na wanahabari wanaofuatilia safari zake, baada ya kujitokeza kwa kushtukiza katika mgahawa...

READ MORE

Huu Ndiyo Mjengo Atakapohamia Rais Obama Baada ya Trump Kuapishwa

JANUARI 2017, Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama ataondoka kwenye Ikulu ya nchi hiyo, White House na kuelekea...

READ MORE

Baada ya Miaka 56 Akiwa Amecheza Filamu 200, Jackie Chan Anyakuwa Tuzo ya Oscar

MWIGIZAJI maarufu duniani wa michezo ya Kung-Fu, Karete na vichekesho, Jackie Chan ameshinda Tuzo ya Oscar ikiwa ni miaka 56...

READ MORE

Rais Kabila Atangaza Kutowania Urais wa Congo DR, Aprili 2018

Rais wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo Joseph Kabila, amewahakikishia raia wake kwamba ataheshimu katiba ya nchi na kwamba hatawania...

READ MORE

Trump na Putin Zimeiva, Sasa Kupiga Kazi kwa Ushirikiano

Ikulu ya Urusi imesema kwamba rais Vladimir Putin amezungumza kwa njia ya simu na rais mteule wa Marekani Donald Trump,...

READ MORE

D’Banj Apewa Tuzo Bungeni Uingereza

MWANAMUZIKI Mnigeria ambaye amekuwa kinara wa kunyakuwa tuzo katika tasnia ya sanaa, D’Banj amepata tuzo ya Entertainment Icon Award 2016...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Congo DR Ajiuzulu na Balaza Lake

DRC: Waziri Wkuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Augustin Matata Ponyo, amejiuzulu na kutoa fursa ya kuteuliwa mrithi wake...

READ MORE

Wazazi Wamcharanga Vibaya Mtoto Wao Mchanga Usoni!

NIGERIA: KATIKA hali isiyo ya kawaida, wazazi wa mtoto mmoja mchanga wamecharanga usoni mtoto huyo kwa kutumia kitu chenye ncha...

READ MORE

Donald Trump Kuwarejesha Wahamiaji Milioni 3 Kwao

Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump asema wahamiaji haramu kati ya milioni mbili ama tatu watasafirishwa kutoka Marekani baada ya...

READ MORE

Trump Akataa Kulipwa Mshahara wa Urais, Afanya uteuzi wa Awali wa Viongozi

MAREKANI: Rais mteule wa Marekani, bilionea Donald Trump amesema hatakubali kupokea mshahara wa urais pindi atakapokuwa madarakani.   Trump ameweka...

READ MORE

Clinton Aitupia Lawama FBI kwa Kushindwa Urais

Aliyekuwa mgombea urais nchini Marekani kupitia Chama cha Democratic, Hillary Clinton, amesema kushindwa kwake ghafla katika uchaguzi uliopita, kulichangiwa sana...

READ MORE

Facebook Yaonyesha Wafu Waliyo Hai

HALI isiyo ya kawaida, mtandao maarufu Duniani unaomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg wa Facebook umetoa ujumbe kimakosa unaoonyesha kuwa watu...

READ MORE

Kambi Kubwa ya Jeshi la Marekani Yashambuliwa, Wanne Wauawa

Bagram: Watu wanne wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya Wanamgambo wa Taliban kuishambulia Kambi Kubwa ya Jeshi la...

READ MORE

Chombo Kisichotambulika Chaanguka Kutoka Angani

Kifaa kikubwa chenye urefu wa mita 4.5 (futi 15) na upana wa mita 1.2 ambacho hakijatambulika kimeanguka kutoka angani Kaskazini...

READ MORE

Mabingwa wa NBA Wakiongozwa na LeBron James Walivyoenda Kumuaga Obama Ikulu

MAREKANI: Staa wa kikapu nchini Marekani katika Ligi ya NBA, LeBron James ameiongoza timu yake ya Cleveland Cavaliers kutembelea ikulu...

READ MORE

Miss Uganda Mwaka 1972 Afariki Dunia

KAMPALA, UGANDA: Aliyewahi kuwa Miss Uganda, Charlotte Ssali, amefariki dunia leo asubuhi akiwa katika Hospitali ya Mulago alikokuwa akitibiwa. Ripoti...

READ MORE

Mwanamuziki Aliyeimba Hallelujah Leonard Cohen Afariki Dunia

Mwimbaji na mtunzi mwenye sifa tele nchini Canada, Leonard Cohen, amefariki akiwa na umri wa miaka 82. Alizaliwa huko Montreal...

READ MORE

Obama: ‘Ninamuunga Mkono’ Donald Trump, Nitashirikiana Naye

MAREKANI: Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa ni ”heshima” kubwa kukutana na rais Barrack Obama katika mazungumzo ya...

READ MORE

Anti-Trump Waanzisha Vurugu na Kuandamana Kupinga Matokeo

MAREKANI: Watu watano wamejeruhiwa kwa risasi huku watu 30 wakitiwa mbaroni na vikosi vya usalama kufuatia maandamano ya zaidi ya...

READ MORE

Rais Obama Amualika Donald Trump Ikulu Leo

Rais Barack Obama wa Marekani  amempongeza Rais Mteule wa taifa hilo, Donald Trump na kumualika Ikulu kujadiliana juu makabidhiano ya...

READ MORE

Utabiri wa TB Joshua Wapondwa, Ni Kuhusu Ushindi wa Clinton

Utabiri uliofanywa na muhubiri maarufu wa Nigeria, TB Joshua kwmba Hillary Clinton atashinda uchaguuzi wa urais nchini Marekani umeondolewa katika...

READ MORE

Baadhi ya Sababu Zilizomfanya Donald Trump Kushinda

MAREKANI: ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Republican nchini Marekani, amefanikiwa kushinda nafasi hiyo dhidi ya mgombea wa Chama cha...

READ MORE

Trump ni nani?

MAREKANI: Ni mtoto wa nne wa mmiliki raslimali za majengo jijini New York, Fred Trump.  Licha ya utajiri wa familia...

READ MORE

Trump Ashinda Urais wa Marekani, Clinton Akubali Matokeo

MAREKANI: Mgombea Urais wa Chama cha Republican, Donald Trump ameshinda kiti hicho. Trumpa ambaye mpaka sasa ana kura 288 huku...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Marekani Yayumbisha Masoko ya Hisa Asia

Masoko ya hisa ya Asia yameyumba baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi wa Marekani kuonyesha ushindi wa Donald Trump...

READ MORE

Live Matokeo ya Uchaguzi wa Urais Marekani: Donald Trump 288, Clinton 218

Mgombea wa Republican, Trump ameshinda urai wa Marekani ambapo mpaka sasa naongoza kwa kura 288, Clinton kura 218 za wajumbe...

READ MORE

Updates: Matukio Yote Muhimu ya Uchaguzi wa Marekani Unavyoendelea

Wapiga kura katika Jimbo la Virginia. MAREKANI: Wamarekani zaidi ya milioni 200 leo Novemba 8, 2016 wanapiga kura kuamua atakayekuwa...

READ MORE

Facebook Yafikisha Watumiaji Bilioni 1.8

Tajiri namba sita duniani, Mark Zuckerberg. Wafanyakazi wa kampuni ya Facebook inc wakielekezana jambo. Wafanyakazi wakiendelea na kazi. Ubao wa...

READ MORE

Etihad Yazindua Safari za Johnnesburg kwa Ndege ya Kisasa Boeing 787 Dreamliner

Ndege ya Shirika la Etihad ya Boeing 787-9 ikiwasili kwenye uwanja wa ndege wa O.R Tambo jijini Johnnesburg. Shirika la...

READ MORE

Wezi Watokomea na Mashine ya ATM Ikiwa na Pesa

NAIROBI: Polisi jijini Nairobi nchini Kenya wamemkamata mlinzi wa Benki ya Equity kuhusiana na tukio la wizi lililotokea Jumamosi iliyopita...

READ MORE

Marekani Imesimama, Clinton Vs Trump Kura Kupigwa Leo

MAREKANI: WAGOMBEA Urais wa Marekani, Bi. Hillary Clinton (Democratic) na Donald Trump (Trump) wamefanya mikutano ya mwisho ya kumalizia kampeni...

READ MORE

TB Joshua Atabiri Clinton Kushinda Urais wa Marekani Leo

Muhubiri maarufu nchini Nigeria, TB Joshua (pichani) amesema ametabiri kuwa mgombea kutoka chama cha Democtratic nchini Marekani, Hillary Clinton atamshinda...

READ MORE

Tishio la Usalama Lamuondoa Trump Jukwaani

Mgombea wa urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amelazimika kuondolewa jukwaani kwa muda na walinzi wake baada...

READ MORE

Wawili Wauawa Baada ya Msafara wa Majeshi Kushambuliwa Somalia

WATU wawili wameuawa baada ya mlipuaji wa kujitoa muhanga kushambulia msafara wa majeshi karibu na bunge la Somalia mjini Mogadishu....

READ MORE

Sita Wafariki Dunia Wakidaiwa Kula Ugali wa Muhogo!

HABARI za kusikitrisha ni kwamba, watu sita akiwemo mama wa familia, watoto wake watatu wa kiume na majirani zake waiwili...

READ MORE

Pichaz: Japan Yazindua Treni Inayokimbia kwa Kasi Zaidi Duniani

TOKYO: Serikali ya Japan imezindua gari moshi (maglev) ambalo linakimbia kwa kasi zaidi kuliko garimoshi yoyote duniani. Garimoshi hilo lina...

READ MORE

Kanisa la Watu Weusi Lachomwa Moto Marekani, Laandikwa “Mpigie Kura Trump”

MAREKANI: WATU wasiofahamika wamevamia katika Kanisa linalotumiwa na watu weusi kwenye Jimbo la Mississippi nchini MarekanI kisha kuliteketeza kwa moto...

READ MORE

Alizaliwa na Miguu Minne, Lakini Anaendesha Bodaboda!

Arun Kumar (22), anatokea eneo la Uttar Pradesh, nchini India ana miguu mingine ya ziada miwili ambayo imeota kwenye makalio...

READ MORE