×

Kitaifa

Tanzia: Mama Mzazi wa P Funk Majani Afariki Dunia

PRODYUZA/mtayarishaji wa muziki,  Paul Matthysse ‘P Funk Majani’,  amefiwa na  mama yake mzazi Aunt Sheilah) kilichotokea Septemba 8, 2020, nje...

READ MORE

Askofu Kilaini Amsamehe Padri Aliyegombea Ubunge

ASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini amesema kuwa, milango iko wazi ya kurudi kundini kwa Padri...

READ MORE

NEC: Majina ya Wagombea Waliorejeshwa, Waliokatwa!

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika ...

READ MORE

Magufuli Alivyokomesha Fukuza-Fukuza ya Wachimbaji

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt John  Magufuli, amesema kuwa katika kipindi...

READ MORE

Membe: Wanaodhani Nitajiondoa Urais Wanaota

MGOMBEA urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bernard Membe, ameweka wazi kuwa hatajiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Bolt Yazindua Huduma Mpya ya Usafiri Arusha, Mwanza, Dodoma

Kampuni inayoongoza kwa utoaji huduma ya usafiri barani Ulaya na Afrika (BOLT), imezindua huduma mpya, nafuu ya usafiri inayofahamika kwa...

READ MORE

NMB Yafanya Mapinduzi Makubwa ya Malipo Nchini

  Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya Mastercard imezindua matumizi ya kadi za kisasa zaidi za kieletroniki ambazo...

READ MORE

TMA Yatabiri Upungufu wa Mvua

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa ushauri wa mvua za vuli na kusema kuwa maeneo mengi nchini yatakuwa...

READ MORE

Maelfu Wafurika Kampeni za Mama Samia Kigamboni

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara ya kuomba kura kupitia Chama...

READ MORE

Marekani Yawataka Watanzania Kushiriki Uchaguzi

Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Dkt. Donald Wright amewataka Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba mwaka huu...

READ MORE

Kubenea Apandishwa Kizimbani, Arudishwa Rumande

Mbunge wa Jimbo la Ubungo aliyemaliza muda wake Saed Kubenea amepandishwa kizimbani mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya...

READ MORE

Lipumba: Nitakuwa Rais wa Kwanza Kupata Tuzo

LEO Septemba 7, 2020, Chama cha Wananchi CUF kimezindua rasmi kampeni zake katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara, ambapo mgombea...

READ MORE

Waliomuua Khashoggi Waondolewa Adhabu ya Kifo

  MAHAKAMA nchini Saudi Arabia imeondoa hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya watu watano waliopatikana na hatia ya mauaji ya...

READ MORE

Polisi Manyara Yakamata Bangi na Mitambo ya Gongo.

Polisi mkoani Manyara wameripoti kuwatia mikononi watuhumiwa 6 wa madawa ya kulevya aina ya Bangi misokoto 36 na wengine 11...

READ MORE

Wezi Wavunja Mahakama, Waiba Sukari…

POLISI mkoani Njombe imewakamata watu  wawili kwa tuhuma za kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na  kuiba vitu mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Shigongo: Nitakuwa Mbunge wa Taifa

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza, Eric Shigongo amesema akishinda hatakuwa mbunge wa jimbo hilo pekee bali atakuwa...

READ MORE

Magufuli Ampigia Laivu Injinia Mfugale, Afanya Maamuzi Magumu Buchosa – Video

RAIS MAGUFULI amempigia simu LIVE, Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Patrick Aron Nipilima Mfugale na kumtaka kuanza kuijenga Barabara ya...

READ MORE

Magufuli: Shigongo Ameanza Kunisumbua, Nampa Lami – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),  John Magufuli, ameahidi kujenga barabara ya kutoka...

READ MORE

JPM Aeleza Kitwanga Alivyomsumbua Ujenzi wa Barabara -Video

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),  John  Magufuli, amekumbuka jinsi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga, alivyomsumbua...

READ MORE

Balozi wa Heshima wa Visiwa Vya Shelisheli Atembelea Ofisi za OSHA

  Balozi wa Heshima wa Seychelles nchini, Bi. Maryvonne Pool, ameipongeza Tanzania kwa hatua kubwa iliyofikiwa katika usimamizi wa sheria...

READ MORE

Takukuru Songwe Yaokoa Nyumba ya Mama Mjane

Taasisi ya Kuzuia na Kudhibiti Rushwa mkoani Songwe, (Takukuru) imefanikiwa kumrejesha Mama mjane hati yake ya nyumba iliowekwa rehani kwa...

READ MORE

Wakinukisha Baada ya Kuporwa Fedha na Sungusungu

KAIMU Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Carolius Misungwi,  ameagiza kusimamishwa kwa shughuli za Sungusungu katika kata ya Mfinga iliyopo bonde...

READ MORE

Magufuli Avua Kofia Hadharani, Amvisha Mondi – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli ameshindwa kujizuia...

READ MORE

Mbaroni Akituhumiwa Kuchoma Moto Basi Lake

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321...

READ MORE

Breaking: Moto Wateketeza Maduka Sinza-Mapambano

MADUKA  matatu yaliyopo maeneo ya Sinza-Mapambano jijini Dar es Salaam karibu na Ofisi za  Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) yameteketea...

READ MORE

Tanzia: Rais wa Ngumi za Kulipwa Tanzania Afariki

RAIS wa Oganaizesheni ya Ngumi za Kulipwa nchini Tanzania (TPBO), Yassin Abdallah ‘Ustadhi’, amefariki dunia asubuhi ya leo, Septemba 7,...

READ MORE

Kubenea Akamatwa kwa Tuhuma za Utakatishaji Fedha

ALIYEKUWA Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mpaka wa Tanzania na Kenya, Namanga, akidaiwa kuvuka...

READ MORE

Shonza Awataka Tunduma Kumchagua Silinde

Mteuliwa wa Ubunge viti maalumu Mkoa wa Songwe, Juliana Shonza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

Shigongo: Kura za Magufuli Zitavunja Rekodi Oktoba 28 – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James,  amewaomba Watanzania wote kujitokeza siku ya...

READ MORE

Zaidi ya Wanariadha 3,000 Kushiriki Mbio za NMB Bima Marathon!

  Benki ya NMB inatarajia kukusanya zaidi ya Sh. milioni 100 kwa ajili ya matibabu ya watoto wenye saratani katika...

READ MORE

Si Nyingine ni Infinix Zero 8 Kinara wa Kampuni Mbioni Kutambulishwa

Kampuni ya simu ya Infinix mbioni kuzindua Infinix ZERO 8, inasadikika kwa mwaka huu wa 2020 Infinix ZERO 8 ndio...

READ MORE

Rungwe Aahidi Kujenga Daraja Dar Hadi Zanzibar

MGOMBEA urais kupitia chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe, amesema akipata ridhaa ya kuongoza nchi katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Mwili wa Agnes Almasy wa ITV Waagwa Dar – Video

MWILI wa aliyekuwa mwandishi wa habari na mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy aliyefariki dunia gafla juzi umeagwa katika Kanisa la...

READ MORE

Samia Suluhu Alivyofanya Kampeni Dar, Ataja Miradi Itakayotekelezwa 2020,25

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akizungumza  wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika Tabata...

READ MORE

Afariki Akiongeza Makalio

Daktari mmoja nchini Marekani, Donna Francis ameshtakiwa mara baada ya kusababisha kifo cha mwanamke wa miaka 34 aliyekuwa anamfanyia upasuaji...

READ MORE

Vifurushi 21 Msaada wa Jack Ma Havikufika Kenya

Naibu wa Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, Chris Obure amefichua kuwa vifurushi 21 vilivyokuwa na vifaa vya matibabu vilivyotolewa na...

READ MORE

TBC na Chadema Wamaliza Mgogoro Wao -Video

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) jana Ijumaa Septemba 4, 2020 limefanikiwa kumaliza mgogoro uliokuwapo kati ya Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Agnes Almasy wa ITV Kuagwa Leo

ALIYEKUWA mwandishi na mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy, anatarajiwa kuagwa leo Septemba 5, 2020, jijini Dar es Salaam na baadaye...

READ MORE