×

Kitaifa

Benki ya NMB Yahamia Saba Saba

  Kwa mara nyingine tena, Benki ya NMB inashiriki maonesho ya Saba Saba ambayo mwaka huu yameanza rasmi tarehe 01/07/2020...

READ MORE

PSSSF kutoa Huduma Za Kiofisi Maonesho 44 Ya Biashara Sabasaba

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesema katika msimu huu wa maonesho ya 44 ya biashara...

READ MORE

JPM Arudisha Fomu za Urais, Apata Wadhamini Kibao -Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais John  Magufuli, ambaye ni mgombea urais kupitia chama hicho amerudisha fomu...

READ MORE

MANARA Amtemea Nyongo Msemaji Azam “Eti UBINGWA wa OVYO”

Msemaji wa Mabingwa wa soka Tanzania, Simba Sports Club, Haji S Manara amemtolea nyongo msemaji wa Club ya Azam baada...

READ MORE

Wanahisa Benki ya CRDB kupata ongezeko

Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 17 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo...

READ MORE

Wanahisa Wa DCB Wapata Gawio

  WANAHISA wa BENKI ya Biashara ya DCB wana kila sababu ya kuwa na matumaini na benki yao baada ya...

READ MORE

Mkuu Kitengo Tehama Global Group Auacha Ukapera

  MKUU wa kitengo cha Tehama cha Kampuni ya Global Publishers, Edwin Lindege, ameuacha ukapera baada ya kufunga pingu za...

READ MORE

Kinondoni Yapongezwa Kwa Kujenga Uwanja Wa Mpira wa Kisasa

Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi...

READ MORE

Serikali Itashughulikia Changamoto za Watanzania Wote Bila ya Ubaguzi-Majaliwa                                                             

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itaendelea kushughulikia...

READ MORE

DC Mpya Wa Arusha Afungua Mafunzo Ya Madaktari Yanayoratibiwa na WCF

MKUU mpya wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi amewaambia madaktari na watoa huduma ya afya wanaoshiriki mafunzo ya...

READ MORE

Wanahisa 7,000 Wa DCB kuweka historia Jumamosi

  Takriban wanahisa 7,000 wa Benki ya DCB wanatarajiwa kufanya Mkutano Mkuu wa Mwaka Jumamosi ya Juni 27 mwaka huu...

READ MORE

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Waisaidia Hospitali ya Ocean Road

  Benki ya NMB wakati wote inaamini katika kugusa na kubadili maisha ya wanajamii, ushiriki wa Wafanyakazi  katika programu za...

READ MORE

Majaliwa: Watu Wote Watakaojihusisha na Vitendo Vya Rushwa Wakamatwe

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe...

READ MORE

Siku za Msomaji wa Championi Kuibuka na Ndinga sasa Zinahesabika

Ofisa Masoko wa Global, Songolo Bilal (katikati) akiwaelekeza namna ya kujaza kuponi za kushiriki bahati nasibu ya shinda gari. Zikiwa...

READ MORE

NMB Yatoa Mkopo wa Shilingi Bilioni 3 kwa Wakulima wa Muhogo Handeni

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi ( wa pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya...

READ MORE

DC Chongol Ataji Miradi Iliyotekelezwa Kwa Kipindi Cha Miaka Mitano ya JPM

  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa kwa kipindi cha miaka mitano ya Rais Dkt. John...

READ MORE

STAMICO Yasaini Kandarasi Mafunzo kwa Wachimbaji Wadogo

KATIKA kuwajengea uwezo wachimbaji wadogo wa madini, Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini na kukabidhi mkataba wa makubaliano ya...

READ MORE

Mwanyika Aachiwa Baada Kumalizana na DPP

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imewaachia huru aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea North Mara, Exploration na...

READ MORE

Zaidi Ya Bil 800 Zatumika Kukarabati Miundombinu Chuo Cha Ualimu Bustani

  Zaidi ya sh milioni 800 zimetumika kukarabati Chuo cha Ualimu Bustani kilichopo Halmashauri ya Mji Kondoa mkoani Dodoma.  ...

READ MORE

Huduma ya M-Pesa ya Vodacom Sasa Ulimwengu Mzima

  Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini kupitia huduma ya kifedha ya Vodacom M-Pesa  imetangaza kuongezeka kwa mfuko...

READ MORE

PM Majaliwa Aomboleza Kifo cha Rais Nkurunziza

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2020 ametia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Dkt. Hussein Mwinyi Achukua Fomu ya Urais

Mbunge wa Jimbo la Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi amechukua fomu ya...

READ MORE

Bosi Amzalisha Denti, Atoweka!

  MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Hassani Katundu, ambaye ametajwa kama bosi kwenye miradi yake, anadaiwa kumpa mimba na kumzalisha...

READ MORE

Prof. Ndalichako Atangaza Ratiba za Mitihani, Masomo

  BAADA ya Rais  John Magufuli jana kutangaza kufungua shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na...

READ MORE

DC Chongolo Awaahidi Neema Wakazi wa Nakasangwe

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, jana (Jumanne) aliwaahidi wakazi wa Nakasangwe Kata ya Wazo Hill, Dar es Salaam,...

READ MORE

Gari ya TANAPA Yadaiwa Kugonga na Kuua Watatu Babati

WATU watatu wamekufa katika ajali ya barabarani iliyotokea katika kata ya Mamire wilayani Babati mkoani Manyara.   Akitoa taarifa jana...

READ MORE

Breaking: Magufuli Achukua Fomu Kuwania Urais 2020 – Video

RAIS  John Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asubuhi leo Jumatano ya Juni, 17, 2020, amechukua fomu...

READ MORE

Katika Kudhimisha Mtoto Wa Afrika, Itel Yawakumbuka Watoto

Kampuni ya simu za mkononi ya Itel imetembelea kituo cha watoto yatima cha  CHakuwama kilichopo Sinza Mori jijini Dar es...

READ MORE

JPM: Shule Zote Zifunguliwe Juni 29, Aruhusu Harusi – Video

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameagiza shule zote nchini humo zifunguliwe tarehe 29 Juni 2020 baada ya kuwepo kwa...

READ MORE

Mbowe Atangaza Kuwania Urais 2020

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe jana Juni 15, 2020, ameandika barua ya kutia nia kugombea...

READ MORE

Waziri Mkuu: Wagonjwa wa Corona Wamebaki 66 – Video

Bunge la Tanzania limepitisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/21. Jumla ya kura zilizopigwa ni 371, Kura...

READ MORE

Wabunge Watatu Chadema Watimkia CCM

Wabunge watatu wa Viti Maalum (CHADEMA), Dkt. Immaculate Semesi Sware (Kilimanjaro ), Anna Gidarya (Manyara ) na Latifa Chande (Lindi)...

READ MORE

Waitara Athibitisha Kulazwa Dodoma, Afungukia Corona

NAIBU Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara, amesema kuwa ni kweli anaumwa na amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma na...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Kutaka Kumuozesha Mwanae wa Miaka 12

JESHI la Polisi mkoani Arusha, limefanikiwa kuzima jaribio la mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 12,aliyetaka kuozeshwa...

READ MORE

Mbunge ‘Bwege’ Atangaza Kuhamia ACT Wazalendo

  Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege ametangaza kukihama Chama Cha Wananchi Cuf...

READ MORE

‘Kiduku’ Atishia Kuibomoa Ofisi ya Korea Kusini

KOREA Kusini imefanya mkutano wa usalama wa dharura na kuihimiza Korea Kaskazini kuzingatia makubaliano ya maridhiano, saa kadhaa baada ya...

READ MORE

TABORA: Mbunge wa CUF Atimkia CCM – Video

Mbunge wa Viti Maalum (CUF) mkoa wa Tabora, Rehema Juma Migila amejiunga na CCM akidai kuridhishwa na utekelezaji wa ilani...

READ MORE