×

Kitaifa

‘Mpemba wa Magufuli’ na Wenzake Watakiwa Kupelekwa Mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka washtakiwa katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili mfanyabiashara, Yusufu Ali maarufu ‘Mpemba wa Magufuli’...

READ MORE

Serikali Yaanza Rasmi Kuuza Mafuta

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amezindua rasmi biashara ya kuuza na kusambaza mafuta nchini kwa kufungua kituo cha kwanza...

READ MORE

Spika Pelosi Amlima Barua Nzito Trump

SPIKA wa Bunge la Marekani maarufu kama ‘Congress’, Nancy Pelosi amemlima barua nzito Rais Donald Trump kwa kutaka atoe maelezo...

READ MORE

‘Tanzania Mmevunja Rekodi ya Kunawa Mikono’ – Video

UGONJWA wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona umeanza kupungua mashambulizi yake nchini Ukraine na watu wameanza kuruhusiwa kutovaa ...

READ MORE

Benki ya NMB Kulipa Gawio la Sh. Bil 48 Mwaka 2019 

  Mkutano Mkuu wa 20 wa Wanahisa wa Benki ya NMB (AGM) umepitisha azimio la kulipa gawio la shilingi Bilioni...

READ MORE

CHADEMA Yajitosa Kinyang’anyiro cha Urais Zanzibar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa upande wa Zanzibar kimetangaza kushiriki kugombea nafasi ya urais wa Zanziabar katika uchaguzi...

READ MORE

Mhagama Apongeza Mafanikio Ya Ujenzi Kiwanda Cha Bidhaa za Ngozi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametoa...

READ MORE

RC Gaguti Atoa Siku 7 Kurejeshwa Kwa Sh. Mil 224

  Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Generali, Marco Gaguti ametoa siku 7 kwa watumishi wa halmashauri ya wilaya Biharamulo waliokusanya...

READ MORE

Makonda: Mwizi Akikamatwa Apigwe Kipigo Kizito

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda, amemwelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,  Lazaro...

READ MORE

Bosi MSD Ashtakiwa kwa Kutakatisha Fedha

  WALIOKUWA vigogo wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini  jana wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar...

READ MORE

Mwanri Kuwashughulikia ‘Machinga’ Wasio na Vitambulisho

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri,  ametoa onyo kwa wajasiriamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho kufuatia hatua zitakazochukuliwa na serikali wakati...

READ MORE

Wakili Anayepinga Mwambe Kuendelea Ubunge Akwaa Kisiki

WAKILI Paul Kaunda anayepinga kauli ya Spika wa Bunge Job Ndugai kumtambua Cecil Mwambe kuwa bado ni mbunge, amegonga mwamba...

READ MORE

Magufuli Aahidi Kutowangusha Walimu – Video

RAIS John Magufuli amesema Serikali yake itaendelea kushirikiana na walimu kuhakikisha sekta ya elimu inasonga mbele na kwamba madai yao...

READ MORE

JPM Amshangaa Ndugai Kuvaa Barakoa Bungeni – Video

RAIS John Magufuli ameleza kushangazwa kwake na spika wa Bunge, Job Ndugai, kuvaa barakoa bungeni tena akiwa ameketi kwenye kiti...

READ MORE

Trump Ashtakiwa kwa Kushambuliwa Waandamanaji

MAKUNDI ya kutetea haki za binadamu nchini Marekani yamewasilisha kesi dhidi ya Rais Donald Trump baada ya vikosi vya usalama...

READ MORE

Waziri Madini aimwagia sifa GGML kuwekeza kimkakati Geita

Waziri wa Madini, Dotto Biteko ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji wa Madini ya dhahabu – Geita (GGML) kwa kuwa mdau wa...

READ MORE

Msigwa Azungumzia Urais, Kumuachia Jimbo Steve Nyerere

MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, baada ya kueleza kuwa anayo nia...

READ MORE

Mghwira Aagiza Video za ‘Fumanizi’ Ziondolewe Mtandaoni

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira ameagiza kuondolewa mtandaoni video zenye viashiria vya udhalilishaji kwenye mahojiano ya wanandoa...

READ MORE

JPM: Hatukuwa na Ebola, wala hawara yake Ebola – Video

  RAIS John Magufuli  ameeleza namna alivyomfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Tanzania (NIMR), Dkt....

READ MORE

Msigwa, Watangaza Kuwania Urais 2020

Mbunge wa jimbo la Iringa Mjinikupitia chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Peter Msigwa pamoja na Muheshimiwa Tundu Lissu wametangazwa...

READ MORE

Benki ya NMB Yasaidia Vifaa vya Ujenzi Kituo cha Afya Tunduma

  Benki ya NMB  imekabidhi vifaa vyenye thamani ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afyacha...

READ MORE

Baraza la Madiwani Ngorongoro Laazimia Kutokuwaondoa Wananchi Kwenye Hifadhi

  Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha limemuomba Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala...

READ MORE

Kinana Amwangukia Magufuli – Video

Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi, Abdulrahaman Kinana amemuomba radhi Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Dkt. John Pombe...

READ MORE

IGP Sirro Atoa Maelekezo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Wakuu wa Polisi wa Wilaya OCDs kuhakikisha wanasimamia mikutano wakati...

READ MORE

Simanzi! Aongoza Mazishi Ya aliyekuwa Mpigapicha wa Waziri Mkuu

  MKUU wa Wilaya ya Mwanga, Bw. Tom Apson ameongoza mazishi ya aliyekuwa Mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Chris Mfinanga...

READ MORE

Mashtaka 9 Waliyofunguliwa Mahakamani Vigogo 4 wa NEMC

Vigogo wanne wa Baraza la Taifa la Hifachi na usimamizi   (NEMC),  wamefikishwa katika Mahakaka ya Hakimu Mkazi Kisutu na wakiiabiliwa...

READ MORE

Mkurugenzi Kinondoni Apongezwa Kwa Kupata Hati Safi Miaka 5 Mfululizo

    Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitano mfululizo katika  hoja za ukaguzi...

READ MORE

NBC Yapongeza Juhudi za Koplo Wa Jeshi la Polisi Kwa Kuhimiza Kuvaa Barakoa

Benki ya NBC leo imetambua juhudi mahususi za Jeshi la Polisi Tanzania na maofisa wake katika kipindi chote cha mlipuko...

READ MORE

Miaka 25 ya Chadema Karatu Bila Maendeleo, CCM Yajipanga Kuking’oa

  Wakati nchi ikielekea katika uchaguzi mkuu mwezi Octoba mwaka huu wanachama wa Chama cha mapinduzi wilayani Karatu wameaswa kuongeza...

READ MORE

Benki ya NMB yaadhimisha Wiki ya Maziwa

Wafanyakazi wa Benki ya NMB matawi la Clock Tower, Kenyatta, Bank House na Madaraka wameungana na wananchi wengine kuadhimisha Wiki...

READ MORE

Wateja Wa Halopesa Kupata Zaidi Ya Sh. Bil 1, Gawio Kwa Mara Ya Kwanza

  Katika muendelezo wa kutoa huduma bora za kifedha nchini. Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel kupitia huduma zake...

READ MORE

Naibu Waziri Elimu  Avitaka Vyuo  Kuzingatia Maelekezo Ya Kujikinga Na Corona Bila Kuwatia Hofu Wanafunzi

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amevitaka Vyuo vya Elimu ya Juu na vya...

READ MORE

Rais JPM Aungana na Wajeda Kuchanganya Zege Ikulu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa, Mei 29, 2020, amekagua maendeleo ya ujenzi...

READ MORE

Mateso Juu ya Mateso!

NI mateso juu ya mateso! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusoma habari ya mama huyu ambaye amekatwa miguu yote na...

READ MORE

Kisa Mtoto wa Mondi… Mwijaku Kumlipa Tanasha Mamilioni ya Fedha

JANGA alilochuma mtangazaji ambaye pia ni mwigizaji wa Bongo Movies, Burton Mwamba ‘Mwijaku’ kwa kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii kuwa...

READ MORE

Mbunge Ataka Serikali Ianzishe Chuo cha WIZI – Video

BUNGE la Bajeti, mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu...

READ MORE

Rais Kenyatta Amuonya Mwanae kwa Kutoka Nje Usiku

  RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amefichua jinsi mtoto wake wa kiume alivyovunja marufuku ya kutotembea nje iliyowekwa nchini humo...

READ MORE

Aliyetelekezwa na Mimba Amuua, Kumzika Mtoto Wake

  MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Lucia Lukenya Mahizi (42) mkazi wa Kitongoji cha Wizunza kijiji cha Seke Ididi kata...

READ MORE