×

Kitaifa

Tanzania Iko Tayari Kuilisha Dunia

Kwa mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula...

READ MORE

Bandari Ya Kilwa Masoko Yapongezwa Kwa Huduma Bora

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepongezwa kwa Huduma bora zinazotolewa na Bandari ya Kilwa Masoko. Pongezi hizo zimetolewa...

READ MORE

CBE Yaanzisha Shahada 10 za Uzamili

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wenye  kampuni na taasisi mbalimbali kupeleka wafanyakazi wake kupata mafunzo yatakayowawezesha kuboresha...

READ MORE

Nmb Yatenga Bil 200 Kuwakopesha Wafanyakazi Kwa Ajili Ya Kujiendeleza Kielimu

Benki ya NMB imetenga kiasi cha TZS bilioni 200 kwa ajili ya kuwakopesha wafanyakazi kupata elimu ya juu au wale...

READ MORE

DCB Elimu Mpango Mzima na Mama Samia Yazidi Kuchanja Mbuga

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge ameshiriki makabidhiano ya  msaada wa Madawati 30 kwa ajili ya Shule ya Msingi...

READ MORE

Makatibu Wakuu Wa SADC Wakutana Kinshasa

Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC) umefunguliwa leo tarehe...

READ MORE

Benki ya Nmb Yaupa Kipaumbele Uwekezaji Kwa Watu Wake

Kupitia programu ya Mwanamke Kiongozi (Female Future Programme) inayotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) – yenye lengo la kuwajengea...

READ MORE

Nmb Yashinda Tuzo Bora Nchini 2023, Ruth Zaipuna Achaguliwa Mkurugenzi Mtendaji Bora Kwa Miaka Miwili Mfululizo

  BENKI ya NMB imeandika historia nyingine baada ya kutwaa Tuzo ya Benki Bora Tanzania kwa mwaka 2023 wakati wa...

READ MORE

Halmashauri ya Jiji la Dar Yaishukuru DCB Kusaidia Sekta ya Elimu 

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (DCC) imeishukuru Benki ya Biashara ya DCB  katika kusaidia uboreshaji wa elimu kwa...

READ MORE

Mstahiki Meya Ubungo Azitaka Taasisi Kuiga Mfano wa DCB Uboreshaji wa Elimu

Mstahiki Meya wa Ubungo azitaka ya taasisi mbalimbali kuiga mfano wa  Benki ya DCB uboreshaji wa elimu nchini. Mstahiki Meya...

READ MORE

Yanga, Winga Bamako Mambo Safi Wafanya naye Kikao cha Siri

KWA mara ya pili Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amekutana na winga Real Bamako ya nchini Mali, Cheickna...

READ MORE

Unambiwajee Unapocheza Sloti Ya Aviator-Meridianbet Unapata Mizunguko 500 Ya Bure Kila Siku

Haijawahi kuwa kinyonge pale Meridianbet wanapoanzisha jambo lao, mwezi huu tena wamekuja na sloti ya Aviator, ndani ya Kasino ya...

READ MORE

Wanawake Mahakama Waungana na Wenzao Kusherehekea Siku Ya Wanawake Duniani

Watumishi wanawake wanaofanya kazi Mahakama ya Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 08 Machi, 2023 wameungana na Wanawake...

READ MORE

Nmb Yaibuka ya Kwanza Kusini Mwa Jangwa la Sahara kuorodhesha Hati Fungani ya kijinsia Soko la hisa Ulaya

Tukiwa tunaadhimisha siku ya wanawake duniani, NMB imeandika historia mpya kwa kuwa Benki ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara...

READ MORE

DCB Yaahidi Huduma Bora kwa Vikundi Vya Wajasiriamali Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogoro na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto wamekabidhi hundi...

READ MORE

Halotel Yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Kituo cha Watoto Yatima

Kwa kusaidia jamii ya Tanzania, Halotel Tanzania imekabidhi msaada kwa kituo cha watoto yatima mkoa wa Dar es Salaam kama...

READ MORE

Halotel Yaunga Mkono Kampeni Uchangiaji Damu Shuleni Kisutu

  Katika kuunga mkono juhudi za Serikali za kuokoa maisha ya wagonjwa wanahitaji damu, kampuni ya simu ya Halotel leo...

READ MORE

Mama Wa Taifa Rais Samia Abeba Mtoto Zaujia Swalehe Usa River Arusha

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amembeba mtoto Zaujia Swalehe (1) mara baada...

READ MORE

Rais Samia Avuta Umati Wa Watu Arusha

Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...

READ MORE

Wapinzani Siyo Maadui-Rais Samia

“Mtanzania yoyote, awe chama chochote cha siasa. Tunachotofautiana ni mawazo tu na fikra. Mimi sichukulii wapinzani kama maadui, nawachukulia kama...

READ MORE

RC Malima Ampongeza Mkurugenzi Kuongeza Mapato Buchosa

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adamu Malima amemwagia sifa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa  Mwita Waryoba   kwa kuisimamia vyema...

READ MORE

CRDB Yatwaa Tuzo ya Benki Bora Katika Utoaji Huduma Kwa Wajasiriamali

BENKI ya CRDB imetwaa tuzo ya Benki Bora inayohudumia wafanyabiashara wadogo na wa kati Tanzania inayotolewa na Jarida maarufu la...

READ MORE

Sera Nzuri za Rais Samia Kuhusu Uwekezaji Zachangia Ongezeko Kubwa La Waajiri Kujisajili WCF: Dk. Mduma

KUMEKUWA na ongezeko kubwa la waajiri kujisajili na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kipindi cha Serikali ya Awamu...

READ MORE

Washindi Wa NMB “MastabataKotekote” WakabidhiwaTiketi za Kwenda Dubai

  Mshindi wa droo ya “MastaBatakotekote”iliyokuwa ikiendeshwa  na Benki  ya NMb Ndugu,John Lubisha ameishukuru Benki hiyo kwa kuweka shindano hilo...

READ MORE

Parasport Club Yafikiwa Na Meridianbet Wapewa Vifaa vya Michezo

Meridianbet wamejaribu kugusa maisha ya watu kwa mara nyingine kama ambavyo wamekua wakifanya wakati huu Meridianbet wamefanikiwa kufika Parasport Club...

READ MORE

NMB Yapata Ufadhili Wa Bilioni 572 Kutoka Jumuiya Ya Ulaya

Benki ya NMB imepata mikopo miwili ya muda mrefu na dhamana ya kukopesha kutoka taasisi tatu za fedha za Jumuiya...

READ MORE

Chapride Gumzo Kila Kona -“Hii Imekuja Kuwa Mkombozi Wetu” Madereva – (Picha +Video)

Jana Jumamosi Februari 25,2023, timu ya masoko ya Chapride, kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao, imeendelea kutoa elimu...

READ MORE

NACTVET Yatoa Tuzo Kwa Wanaotoa Nafasi Kuendeleza Ujuzi

  BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTIVET) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE), wamewapa tuzo kampuni...

READ MORE

Walinda Amani Watatu wa Senegal wa kikosi cha UN nchini Mali Wauawa katika Mlipuko

Walinda amani watatu wa Senegal wa kikosi cha Umoja wa mataifa nchini Mali waliuawa Jumanne wakati msafara wao ulipokanyaga bomu...

READ MORE

Kocha wa Simba Robertinho Mtegoni, Apewa Mechi Tatu Simba

IMEELEZWA kuwa hatma ya Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ipo katika michezo miwili ya hatua ya Makundi...

READ MORE

CBE Yaja na Klabu za Ujasiriamali Mashuleni

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimepanga kuanzisha vilabu vya ujasiriamali kwa shule za sekondari mkoani Dar es Salaam...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi  Afungua Ubalozi Mdogo wa UAE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  amefungua Ubalozi mdogo wa Umoja wa Nchi ya...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Akutana na Askofu Mkuu wa Kanisa La Waadventista Wasabato Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  amekutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista...

READ MORE

CBE Yatamba Kuzalisha Wahitimu Walio Tayari Kwa Soko la Ajira

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya...

READ MORE

Mama Mariam Mwinyi Apongezwa Na UVCCM, Kujipanga Na Matembezi Ya Miaka 60 ya Mapinduzi ZNZ Mwakani

Mlezi wa Matembezi ya  UVCCM ya  Mapinduzi  ya Zanzibar,  Mke wa Rais Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora...

READ MORE

Benki Absa Yaboresha Mkopo wa Nyumba, Yaingia Makubaliano na NHC

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angeline Mabula amefika katika jengo la Morocco Square kuzindua Huduma ya...

READ MORE

Nabi Aivaa TP Mazembe Kivingine Leo Jumapili Uwanja wa Mkapa, Dar

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa watabadili mbinu kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe, huku akija kwa utofauti...

READ MORE

Exclusive Video: Inspector Haroun Afunguka Bifu Lake Na Juma Nature, Maisha Yake Hali, Muziki

 Msanii mkongwe, Haruna Kahema ‘Inspector Haroun’, mkali wa michano ambaye aliwahi kutamba na ngoma nyingi zikiwemo Pamba Nyepesi, Bye...

READ MORE