×

Kitaifa

Wanafunzi Chuo cha Ualimu Wajikuta Mikononi mwa Polisi

WANAFUNZI zaidi ya 400 wa Chuo cha Ualimu Moshi zamani Mong’are kilichopo Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wamefunga barabara na...

READ MORE

Breaking: Kesi Kuvuliwa Ubunge, Maombi ya Lissu Yatupwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar  es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kupinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Rc Makonda Amkabidhi Kaseja Milioni 10 Alizomwaahidi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo September 09 amemkabidhi Mlinda Mlango wa Timu ya Taifa...

READ MORE

Wakili Ndege Kukamatwa ‘Sauzi’: Mlipeni Mkulima Fedha Zake – Video

MBUNGE   jimbo la Ulanga, mkoani Morogoro,  Goodluck Mlinga, ametoa pendekezo akimwomba Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuwaalika bungeni mawakili na...

READ MORE

Mwili wa Mugabe Kuwasili Jumatano, Kuzikwa Jumapili

MWILI wa rais mstaafu wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe unatarajiwa kuwasili nchini humo Jumatano, Septemba 11, mwaka huu na mazishi...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laipiga Katavi – Video

TETEMEKO kubwa la ardhi limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 9:30 (usiku wa kuamkia leo) mkoani Katavi na...

READ MORE

Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Afunga Mashindano ya Mchezo wa Golf

    MNADHIMU Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Mohamed Yacoub amefunga rasmi Mashindano ya Mchezo wa Golf ya Mkuu wa...

READ MORE

‘Speakers Conference’ Yatikisa Dar – Pichaz

HATIMAYE ule mkutano wa kihistoria na wa aina yake uliopewa jina la Speakers Conference umefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa...

READ MORE

Magufuli Atangaza Siku 3 Maombolezo ya Mugabe

Rais Dkt John Magufuli ametangaza siku 3 za maombolezo ya kitaifa kuanzia Septemba 6 kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa...

READ MORE

Kisa Nyumba Bibi Miaka 85, Wajukuu Pachimbika

BIBI mmoja aliyefahamika kwa jina la Fatuma Kirobo (85) amejikuta katika wakati mgumu baada ya wajukuu zake Maua Mwalami (28),...

READ MORE

Dunia Haina Huruma… Anayepumulia Mashine Afanyiwa Kitu Mbaya

DAR ES SALAAM: DUNIA Haina Huruma! Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku alipata kuimba wimbo huo, ambao unasadifu...

READ MORE

Madai Mazito… Mjeshi Amuua Msanii Kinyama

DAR ES SALAAM: DAMU, majeraha na jasho vilionekana mwilini mwa Elius Mathew (28) msanii wa maigizo na mkazi wa Kwalulenge,...

READ MORE

Sakata Kulipia Maiti Latikisa Bunge, Waziri Asimama – Video

SERIKALI imetakiwa kupitisha utaratibu ambao hautawabana watu kuchukua miili ya ndugu zao waliofariki wakati wa matibabu katika hospitali zake. Wito...

READ MORE

Kambi Yaundwa Kuwasaidia Kidato cha Nne Wenye Ufaulu Hafifu

MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amezindua rasmi kambi ya kitaaluma ya siku 60 kwa wanafunzi wa kidato...

READ MORE

Mradi wa VectorWorks wafikia tamati, kiwango cha Malaria Chapungua

  MRATIBU wa Malaria kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (TAMISEMI), Stella Kajange, amesema ugonjwa...

READ MORE

Breaking News: Mugabe Afariki Dunia

RAIS  mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe,  amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95. Rais Mugabe alikuwa nchini Singapore akipatiwa...

READ MORE

BENKI YA KCB YADHAMINI LIGI KUU YA SOKA TANZANIA BARA 2019/20

Benki ya KCB Tanzania imengia mkataba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ili kuwa mdhamini mwenza wa Ligi...

READ MORE

Waitara Ajibu Mapigo ya Mnyika Bungeni – Video

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), MWITA WAITARA amesema Kanuni za uchaguzi...

READ MORE

Tanesco Yamsaidia Kijana Anayeishi kwa Msada wa Mashine ya Oxygen

KIJANA anayeishi kwa msaada wa mashine ya Oxygen ili kumuwezesha kupumua, Bw. Hamad Awadhi amelishukuru Shirika la Umeme Nchini TANESCO...

READ MORE

RPC Muroto Anasa Makahaba, Bastola… “Wameangukia Pua” – Video

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Giles Muroto, amesema Jeshi hilo mkoani humo limefanikiwa kukamata bunduki aina ya bastola aina...

READ MORE

Air Tanzania Yasitisha Safari za Kwenda Afrika Kusini

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe amesema Serikali imesitisha kwa muda huduma ya usafiri wa ndege zake nchini...

READ MORE

Ujenzi wa Bomba la Mafuta Uganda-Tanzania Wasitishwa

UJENZI wa mradi wa bomba kubwa la kusafirishia mafuta kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Bandari ya Tanga nchini Tanzania umesitishwa...

READ MORE

WAFANYABIASHARA KIGOMA WAIOMBA NMB KUONGEZA WIGO WA MATAWI

    BAADHI ya wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameziomba taasisi mbalimbali za kifedha kuongeza vituo vya kutolea huduma za kibenki...

READ MORE

Ndege Iliyozuiliwa Sauzi Yatua Dar, Rubani Asimulia – Video

NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya Airbus A220-300 iliyokuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini, iliwasili katika Uwanja...

READ MORE

Hatimaye Ndege Iliyozuiliwa Sauzi Yakabidhiwa Tanzania

NDEGE  ya Air Tanzania Airbus A220-300 iliyokuwa ikishikiliwa Afrika Kusini imekabidhiwa kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Damas...

READ MORE

Nape Aitaka Serikali Itimize Ahadi – Video

MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, pamoja na kuishukuru serikali kwa kuahidi kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa...

READ MORE

Lissu Asogeza Mbele Tarehe Kurejea

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema hatarejea Tanzania Septemba 7, 2019,  kama ilivyopangwa badala yake atasubiri ruhusa...

READ MORE

Polisi: ‘Mchawi’ Aliyedondoka Juu ya Paa ni Kiki ya Mchungaji

JESHI la Polisi mkoani Iringa, limesema kuwa limebaini tukio lililotokea la ‘mchawi’ kudondoka juu ya paa la nyumba ya mchungaji...

READ MORE

Rais Museveni Kuwasili Nchini Kesho

RAIS  wa Uganda, Yoweri Museveni, anatajiwa kuwasili kesho nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia Septemba 5 hadi...

READ MORE

JPM: Nimewasamehe Makamba na Ngeleja – Video

  RAIS John Magufuli amesema amewasamehe wabunge January Makamba wa Bumbuli na William Ngeleja wa Sengerema kwa kile alichosema walimtukana...

READ MORE

Rais Magufuli Akutana na Wahandisi na Wadau wa Ujenzi – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Sept. 4, 2019 amekutana na wahandisi na wadau wa sekta ya ujenzi katika Ukumbi wa...

READ MORE

Bi Samia Amuwakilisha Rais JPM Kuaga Mwili wa Kaduma – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana Septemba 3, 2019, amemuwakilisha Rais wa...

READ MORE

Ndugai Atangaza Utaratibu Mpya wa Kidigitali Bungeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema Bunge lina mpango wa kuacha kutumia mfumo wa sasa wa makaratasi Bungeni,...

READ MORE

Polisi Yanasa Matapeli wa Magari Wakimuibia Mama Benki – Video

WATU watatu wanaodaiwa kuwa ni matapeli wa magari wamenaswa na Jeshi la Polisi maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es...

READ MORE

Bunge Lazimia Kumpongeza JPM Uenyekiti wa SADC – Video

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Sept.3,2019 limefanya azimio la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Mmoja wa Mapacha Waliotenganishwa Afariki Muhimbili – Video

MMOJA wa pacha waliotenganishwa nchini Saudi Arabia, Anisia Benatus amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne, kutokana na maambukizi pamoja...

READ MORE

Taharuki! Radi Ilivyoua Ng’ombe 22 – Pichaz

  NG’OMBE wapatao 22 wenye thamani ya Tsh.Million 12 wamekufa baada ya kupigwa na radi katika Kijiji cha Kaziramihunda, Wilaya...

READ MORE

Zaidi ya Mil 100 Zatengwa Kuibua Vipaji vya Michezo Same

    Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi wilayani Same Mkoani Kilimanjaro Dkt. Mathayo David Mathayo ametenga zaidi ya shilingi...

READ MORE