TIMBWILI! Hicho ndicho kimetokea baada ya mwanamke Tausi Juma kuibua sekeseke na mumewe, Ally Hamis Makapila, wote wakazi wa mjini...
READ MORENI mkosi juu ya balaa! Mama mjamzito aliyetambulika kwa jina la Nuru Abdallah, mkazi wa Magomeni jijini Dar, amekinukisha...
READ MOREKIFO cha ghafla cha mwanamitindo au Video Queen wa Bongo Fleva, Agness Gerald almaarufu Masogange, kimeibua mshtuko mkubwa. Jana, jioni,...
READ MOREKUELEKEA kifo cha mwanadada aliyekuwa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kufariki dunia jana jioni, baadhi ya ndugu jamaa...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es Salam, Paul Makonda anatarajia kuanza Oparesheni maalum wa kupima tezi dume kwa lazima nyumba...
READ MOREMwili wa Mtanzania, Leyla Mtumwa, aliyeuawa Uingereza wiki chache zilizopita, umeachiwa huru leo na kukabidhiwa kwa ndugu zake ili kuusafirisha...
READ MOREMsanii aliyekuwa akipamba video za muziki (video queen), Agnes Gerald ‘Masogange’ enzi za uhai wake. BAADA ya wadau wa sanaa...
READ MOREMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza rasmi zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums),...
READ MOREKIONGOZI wa Chama cha Wasanii Nchini, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ametoa taarifa rasmi ya chama hicho yenye mapendekezo kwa familia...
READ MOREKUFUATIA kifo cha ghafla cha Msanii wa filamu za Kibongo na video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ katika Kituo cha...
READ MOREMwili wa Msanii wa filamu za Kibongo na video queen maarufu, Agness Gerald Masogange ukitolewa katika Kituo cha Huduma za...
READ MORETanzania inatarajia kuungana na nchi zingine duniani kwenye kuadhimisha siku ya Malaria Duniani ambayo ufanyika April 25 kila mwaka. ...
READ MOREVideo queen maarufu nchini, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefariki dunia hivi punde (leo Aprili 20, 2018) katika Kituo cha Huduma za...
READ MOREMKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, amefunga rasmi jalada la kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha...
READ MOREChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanya mkutano na waandishi wa habari na kuudai kwamba ukiachilia mbali kiwango za zaidi...
READ MOREAmenaswa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja kukutwa chumbani kwa mume...
READ MORERais Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa katika ripoti ambayo alipokea kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
READ MOREKATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Vincent Mashinji na viongozi wenzake ameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi...
READ MORENaibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema hakuna fedha taslimu kiasi cha shilingi trilioni 1.51 iliyopotea au...
READ MOREVikao vya Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeendelea Mjini Dodoma ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi Ujenzi...
READ MOREARUSHA: Binti mwenye umri wa miaka 14 (jina tunalihifadhi), mkazi wa Njiro Kwa Msola Katika Halmashauri ya Jiji la Arusha,...
READ MOREMbunge wa Ulanga Gudluck Mlinga ameitaka Wizara ya Katiba na Sheria kutoa ufafanuzi wa kisheria kuhusiana na zoezi linaloendeshwa na...
READ MORESTAA wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba‘ amefunguka na kusema kwamba, yeye alinusa tu na akajikuta amempenda binti mrembo Amina...
READ MOREKUWA wa kwanza kupata habari zote za michezo wakati wowote zinapotokea, Tuma SPORTS kwenda 15599 utapata habari za kitaifa na...
READ MOREMWANAMUZIKI nguli wa dansi, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na watoto wake ambao ni Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ na Francis...
READ MOREMbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Msukuma, amemuomba Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, kupeleka bungeni muswada kubadilisha...
READ MOREWAKATI kasheshe la wanaume kutelekeza wanawake na watoto waliozaa nao likiendelea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...
READ MOREWATOTO wawili wanaogua maradhi tofauti wapo katika mateso makubwa na wanahitaji msaada wa wasamaria wema ili waweze kupona. Mtoto Mudasili...
READ MORERais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Idris Suleiman Kikula Mwenyekiti wa Tume ya Madini kuanzia Aprili 17, 2018.
READ MOREKATIBU wa Itikadi na uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amewashutumu baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa...
READ MOREMbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe amedai serikali kuwa inapanaga kutekeleza miradi mikubwa ili hali haina pesa ya...
READ MORESERIKALI imesema hakuna haja ya kubadilisha sheria ya uzazi iliyopo kwa sasa, sababu inampa fursa mwanamke kupumzika kutozaa mara kwa...
READ MOREMWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha amestaafu baada ya kumaliza muda wake wa majukumu ya tume...
READ MOREINATISHA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kifaranga cha kuku kudaiwa kutumika kama ramli chonganishi iliyosababisha mauaji ya wanawake watatu waliokutwa wametelekezwa...
READ MOREMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, akiwemo Katibu Mkuu, Vincent...
READ MOREWAKATI kizaazaa cha wanawake waliotelekezewa watoto na wanaume waliozaa nao kikiendelea kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
READ MOREHUDUMA ya M-Pawa inayotolewa na Benki ya Biashara ya Afrika (CBA) imetoa mikopo yenye thamani ya Sh10 bilioni kwa wateja...
READ MORE