×

Kitaifa

Updates: Hukumu ya Sugu Mahakani Mbeya

Mahakama ya Hakimu Makazi Mbeya leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kumkashifu Rais Dkt. Jonh Magufuli inayowakabili Mbunge wa Mbeya...

READ MORE

Ajali Mbaya ya Basi la Abiria Yatokea Kimara

Basi la abiria (Daladala) linayofanya safari zake kati ya Mbezi na Makumbusho jijini Dar es Salaam limepinduka leo Jumatatu, Februari...

READ MORE

Hatima ya Sugu Kortini ni Leo Feb 26

HATIMAYE ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,...

READ MORE

JAQUELINE WOLPER AFANYA KUFURU ‘BABY SHOWER’ YA GIGY MONEY!

  MSANII wa Bongo Muvi, Jaqueline Wolper, usiku wa kuamkia leo alifanya kufuru ya aina yake baada ya kumtunza minoti...

READ MORE

WANAFUNZI MWENYEHERI ANUARITE WAPEWA MBINU ZA KUJIAJIRI

  WANAFUNZI  wa Shule ya Sekondari ya Mwenyeheri Anuarite iliyopo Kimara jijini Dar es Salaam, wamezipongeza mbinu mbalimbali za ziada...

READ MORE

‘BABY SHOWER’ YA GIGI MONEY USIPIME!

SHEREHE ya maandalizi ya kumpokea mtoto wa msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambayo hujulikana kama’baby shower’ ilikuwa...

READ MORE

JPM Arejea Nchini Kutoka Uganda

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amerejea nchini leo, Feb 14, akitokea nchini Uganda alipokuwa...

READ MORE

Polisi Yakiri Kuwashikilia Waliojeruhiwa Kwenye Maandamano ya Chadema

JESHI la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Muliro Jumanne limethibitisha kuwashikilia watuhumiwa watatu wenye majeraha ya...

READ MORE

Kisa Kuwalima Barua Chadema… Tundu Lissu Amvaa Jaji Mtungi

MBUNGE wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kumtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi ajitafakari,...

READ MORE

Polisi Yafunguka Kisa cha Diwani Chadema Kukatwa Mapanga

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urich Matei amefunguka na kusema kuwa kifo cha Diwani wa Kata ya Nawala tarafa...

READ MORE

Hapa Ndipo Alipolala Akwilina Akwilini- Video

MWILI wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini umepumzishwa jana Ijumaa nyumbani kwa wazazi wake...

READ MORE

Ajali ya Basi Yaua Kagera

BASI la abiria Kampuni ya Fikoshi Investment linayofanya safari zake kati ya Kaisho, Bukoba na jijini Mwanza limepata ajali katika...

READ MORE

SANCHI AFUNGUKIA VAZI LAKE TATA LA HOSPITALI

MWANAMITINDO maarufu ndani na nje ya Bongo, Jane Ramoy ‘Sanchi’ ambaye kila kukicha anatingisha kwenye mitandao ya kijamii kutokana na...

READ MORE

WATANO MAHAKAMANI MAUAJI YA WAYNE LOTTER

    WATU watano akiwemo Ofisa wa Benki ya NBC wamepandishwa  kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na...

READ MORE

Picha za Mazishi: Pumzika kwa Amani Akwilina

MWILI wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini umezikwa nyumbani kwa wazazi wake kijiji cha...

READ MORE

KESI YA TIDO MHANDO YAAHIRISHWA HADI FEBRUARI 28

  MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi ya kuisababisha serikali hasara ya Sh, milioni 887 inayomkabili...

READ MORE

Mnyika Awatahadharisha CHADEMA Mauaji ya Kutisha- Video

KAIMU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amewatahadharisha viongozi wa chama hicho na wananchi kuhusu...

READ MORE

Ibada ya Kuaga Mwili wa Akwilina Kanisa la Mt. Theresia, Rombo

Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini tayari umeshawasili katika Kanisa la Mtakatifu Theresia...

READ MORE

POLISI KUZUIA MIKUTANO YA SIASA, MAANDAMANO NI SAWA?

Tungependa Watanzania wote waeleweshwe kuhusu jambo hili. Tumekuwekea mjadala maalum kuhusu polisi kuzuia mikutano ya kisiasa na maanadamo hapa nchini....

READ MORE

Mwili wa Akwilina Wawasili Kwao Rombo – Video

Wanafunzi ambao alikuwa akisoma nao marehemu Chuo cha NIT wakiwa msibani hapo. Wa kwanza kushoto ni mshauri wa wanafunzi, Paulina ...

READ MORE

GHANA: Mtanzania Ahukumiwa Jela kwa Madawa ya Kulevya

MWANAMKE raia wa Tanzania, Basaida Zena Jafary amehukumiwa miaka mitano jela baada ya kukamatwa akiwa na mzigo wa madawa ya...

READ MORE

Mwandishi wa Uhuru Ajeruhiwa Ajali ya Malori na Gari Dogo

AJALI mbaya imetokea neo la Tabata TOT jijini Dar es Salaam,usiku  wa kuamkia leo baada ya gari dogo lenye namba...

READ MORE

Breaking News: Diwani Chadema Auawa Usiku Morogoro

Diwani wa Kata ya Namawala wilayani Kilombero, Godfrey Luena (CHADEMA) ameuawa usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake kwa kukatwakatwa kwa...

READ MORE

JPM: Mtanisamehe, Mimi Siyo Mwanasiasa Mzuri!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa yeye si mwanasiasa mzuri ndiyo...

READ MORE

Halotel yafikisha 10% ya wateja wote wa simu nchini

    KAMPUNI ya Halotel Tanzania imetangaza kuendelea kupata mafanikio na kuongezeka kwa kasi ya ukuaji katika kipindi cha robo...

READ MORE

Hapa Ndipo Atakapozikwa Akwilina

KUFUATIA kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), Akwilina Akwilini ambaye mwili wake umeagwa leo katika...

READ MORE

Wanafunzi NIT Wapoteza Fahamu Baada ya Kuona Jeneza la Akwilina- Video

MAJONZI, VILIO na simanzi vimetawala wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini...

READ MORE

Kuagwa Kwa Akwilina Majonzi, Vilio Vyatawala – Pichaz na Video

  Mwili wa marehemu Akwilina Akwilini umeagwa leo Feb 22, 2018 katika viwanja vya Chuo cha NIT kabla ya kusafirishwa...

READ MORE

Ibada ya Kuaga Mwili wa Akwilina Chuo cha NIT

MWILI wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), Akwilina Akwilini umefanyiwa ibada ya kuagwa katika chuo hicho...

READ MORE

Vilio na Simanzi Mwili wa Akwilina Ukichukuliwa Muhimbili

VILIO na simanzi vimetawala wakati wa kuchukua mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini aliyeuawa...

READ MORE

Live Updates Kutoka Muhimbili: Kuagwa kwa Mwili wa Akwilina

NDUGU, jamaa, marafiki na Watanzania wengine wamejitokeza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuuchukua mwili wa aliyekuwa mwanafunzi...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Ampongeza Mumewe kwa Kuongeza Mke wa Pili

  KALI YA MWAKA! Hili linaweza kuwa ni jambo la kushangaza kutokana na ugumu wa asilimia kubwa ya wanawake kushindwa...

READ MORE

Wakati Kifo cha Akwilina Kikitikisa, Mfanyabiashara Auawa Nje ya NIT

  WAKATI kifo cha denti wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini kilichotokea baada ya kupigwa risasi kwenye...

READ MORE

MWENYEKITI, MWANASHERIA MISUNGWI WAKAMATWA

  JESHI la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana  na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imemkamata Mwenyekiti...

READ MORE

CHADEMA YAONYA KUHUSU WALIOSHIKWA KWENYE MAANDAMANO

  MBUNGE  wa Jimbo la Kibamba na Kaimu Katibu Mkuu  wa Chama cha  Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika,  amesema...

READ MORE

Mtanzania Akamatwa na Dhahabu ya Bilioni 2, Nairobi

MWANAMME mmoja anayedaiwa kuwa ni raia wa Tanzania amekamatwa na maofisa wa forodha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

TAHARUKI! Daraja la Mongo la Ndege Lagawanyika – Video

TAHARUKI na usumbufu wa miundombinu umewakumba wakazi wa Mongo la Ndege, Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam baada daraja...

READ MORE

JPM Aenda Ziarani Uganda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameondoka nchini leo kuelekea Uganda kushiriki Mkutano wa siku...

READ MORE

Kauli ya Tume ya Haki za Binadamu Kuhusu Kifo cha Akwilina

Tume ya Haki za Binadamu nchini kupitia Jukwaa la Wakurugenzi wa Asasi za Kiraia (AZAK) imesema imesikitishwa na ilichokiita vitendo...

READ MORE