×

Kitaifa

Mrembo Atikisa Mitandaoni Bongo! Wema, Sanchi Kazi Wanayo!

Mrembo Sasha Kassim IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI DAR ES SALAAM: Mrembo aliyedai mwenyewe kuwa yeye ndiye mvaa taji la Miss...

READ MORE

EFM Yanyakua Tuzo 4 kwa Mpigo

Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Efm, Dennis Ssebo akipokea tuzo kwa niaba ya Efm. EFM redio imejinyakulia tuzo NNE usiku wa kuamkia leo katika...

READ MORE

Hivyo ndivyo wauza mihogo barabarani wanavyojiuza!

  WAANDISHI WETU | RISASI, Dar es Salaam KUFUATIA madai kuwa, baadhi ya wasichana wanaofanya biashara ya kuuza mihogo, karanga...

READ MORE

Wakulima Wadogo Kunufaika na Mikopo Kutoka Benki ya Maendeleo

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Francis Assenga (kulia) akizungumza na wanahabari. Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Hazina na Utafutaji Fedha, Albert Ngusam....

READ MORE

Wema Sepetu Aibuka Upya Instagram

MREMBO asiyeishiwa matukio kila kukicha Bongo, Wema Isaac Sepetu hatimaye ameibuka kwa mara nyingine Instagram baada ya kuitelekeza akaunti yake kwa...

READ MORE

(+Audio): Mtangazaji wa Runinga Anusurika Kuporwa Gari, Atoa Somo!

STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI MTANGAZAJI wa Kipindi cha Style and Profile kinachorushwa kupitia Televisheni ya Channel 10, Zeiny Aklan...

READ MORE

Kuwa wa Kwanza Kujiunga na Magazeti Ya Global Facebook Hapa

  Tumeanzisha kurasa  (Page) za magazeti yetu pendwa katika Facebook na baadaye tutahamia Instagram na Tweeter ili kuongeza wigo wa...

READ MORE

Wakazi wa Jiji la Dar Waichangamkia Shinda Nyumba

Meneja Masoko wa Global Publisher, Jimmy Haroub (mwenye kofia nyekundu), akitoa maelekezo ya kujaza kuponi kwa wasomaji wa Msasani, jijini...

READ MORE

Rais Magufuli Amjibu DC Aliyeomba Kujiuzulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjibu Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora aliyeomba kujiuzulu wadhifa huo. Katika...

READ MORE

Madereva Wakanusha Taarifa za Mgomo

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (TADWA), Shabani Mdemu (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Msemaji wa Ofisi ya...

READ MORE

Sirro Awanasa Vinara wa Kufoji Kadi za Chanjo Homa ya Manjano!

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa saba ambao ni vinara wa...

READ MORE

Freeman Mbowe Atembelea Shamba Lake Lililopigwa Marufuku na Serikali

Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni Mbunge wa  Hai, Freeman Mbowe ametembelea shamba lake la kilimo cha kisasa cha mboga...

READ MORE

Baada ya Harmorapa, Sasa Aibuka Chiburapa Dar

…Diamond Platnumz. MWEZI Januari mwaka huu katika mitandao ya kijamii aliibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura...

READ MORE

Kilichotokea Watu 14 Akiwamo Mchina Kufukiwa na Kifusi Mgodini Geita

GEITA: Watu 14 akiwemo Mchina, wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa katika mgodi wa dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining...

READ MORE

Tawi la Mpira pesa wapigana makonde

WANACHAMA wa Klabu ya Simba, Tawi la Mpira Pesa la Magomeni jijini Dar leo walifikia hatua ya kukunjana mashati na...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Ajiuzulu Mwenyewe

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Uyui Bw.Gabriel Mnyele akizungumza na wanahabari na makada wa CCM baada ya kutangaza kujiuzulu wadhifa...

READ MORE

Pichaz: Balozi Seif Iddi atembelea ghorofa lililoporomoka jana

Balozi Seif wa Pili kutoka Kushoto akimuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uhifadhi na Utunzaji wa Mji Mkongwe wa Zanzibar...

READ MORE

Simbachawene Ataka Wamachinga Wapishe Miundombinu ya Mwendo Kasi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), George Simbachawene,  leo amekazia tena agizo alilolitoa jana la kutaka Wamachinga kuondoka kwenye...

READ MORE

Mmiliki Mwenza wa Jamii Media Aunganishwa Kwenye Kesi, Apandishwa Kizimbani

DAR ES SALAAM: Mmiliki mwenza wa kampuni ya Jamii Media, Mike Mushi amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu na...

READ MORE

‘Shinda Nyumba’ Yatinga Kivule Dar Kwa Kishindo

MSIMU wa pili wa bahati nasibu ya Shinda Nyumba iliyozinduliwa hivi karibuni na Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti...

READ MORE

Mwinyi Kuongoza Matembezi Wiki ya Sheria Dar

Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma (kulia) akizungumza na wanahabari.  Kushoto ni Jaji Kiongozi wa Mahakam Kuu...

READ MORE

Ambaka Mama`ke Hadi Kifo

Marehemu  Fatuma Mohammed Matutu enzi uhai wake. Na Boniface Ngumije | AMANI, DAR ES SALAAM Dunia imekwisha! Hiyo ndiyo lugha...

READ MORE

Kijana miaka 18 ageuka ‘katoto’ ghafla!

Kijana Kennedy Josia Nkini. STORI: Na Mwandishi Wetu| AMANI KILIMANJARO: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushangaza,  wananchi wa Kijiji...

READ MORE

Mshindi wa Kampeni ya Tecno Kamambele Atangazwa

Kampuni inayoongoza kwa kutengeneza na kuuza simu bora barani Afrika, Tecno Mobile imemtangaza mshindi wa kampeni ya Kamambele kuwa ni...

READ MORE

Shilole, Nuh Wadakwa Gesti Wapelekewa Kituo cha Polisi

…Shilole Na Mashaka Balthazar | AMANI, Mwanza SHINYANGA: Wasanii wa Bongo Fleva waliowahi kuwa wapenzi kisha kumwagana, Zuwena Mohamed ‘Shilole’...

READ MORE

Marafiki Walinikimbia Baada ya Kukaa Kimya Kwenye Muziki

Linex Sunday Mjeda MSANII wa Bongo Fleva kutoka Voice Of Africa (VOA), Linex Sunday Mjedaa, wiki hii ametupa karata yake...

READ MORE

Jengo la Makazi ya Askari wa FFU Lateketea kwa Moto Mjini Moshi

MOSHI: Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika, umeteketeza jengo la ghorofa mbili la makazi ya Askari wa Kikosi cha...

READ MORE

Droo ya Kwanza Kutingisha Feb 8, Zawadi Kibao Kutolewa

Mr. Uwazi akiwaelekeza wasomaji Gazeti la Uwazi namna ya kushiriki Shinda Nyumba, juzi Jumanne maeneo ya Goba jijini Dar. BAHATI...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Alivyoendesha Basi la Mwendokasi

Rais Magufuli Aendesha Basi la Mwendokasi Mwenyewe

READ MORE

Ukweli Mwanaume Kujinyonga Kisa Mapenzi

    Fredrick Richard enzi za uhai wake. Waandishi: Gabriel Ng’osha, Boniphace Ngumije| RISASI MCHANGANYIKO, TANGA: Jumapili mchana, picha za kijana...

READ MORE

Kubenea Afutiwa Mashitaka ya Uchochezi Mahakamani Kisutu

  Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (katikati), akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo.  Pembeni mwake ni baadhi ya...

READ MORE

Wakongwe Hawa wa Bongo Fleva Wamerudi Tena

Pichani ni mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva. KATIKA maisha kuna wakati binadamu anakuwa chini na wakati mwingine juu, unaweza...

READ MORE

Simbachawene, DC Ilala: Wamachinga Waondoke Haraka Kwenye Barabara za Mwendokasi

DAR ES SALAAM: Wakizungumza kuhusu utekelezwaji na uboreshwaji wa Mradi wa Mabasi Yendayo Haraka jijini Dar mara baada ya uzinduzi...

READ MORE

Tanzia: Pam D Afiwa na Baba Yake

  Shedrack Nyato enzi za uhai wake. Staa wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amefiwa na baba yake, Shedrack...

READ MORE

JPM Aendesha Basi la Mwendokasi, Awaagiza Simbachawene na Mbarawa Kufikia Jioni Wampe Ripoti ya Makusanyo ya Mradi

        Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono pamoja na Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Sabby: Siwezi kutoka na Bella

“Sabby Angel” MSANII wa filamu na Muziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na...

READ MORE

UVCCM Yatabiri Anguko la Vyama vya Upinzani

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umesema kutokana na kushamili...

READ MORE

Maimartha Atoa Fundisho Kwa Wanaojitapa Kuhusu Wapenzi Wao

  Maimartha Jesse. MTANGAZAJI na Mshereheshaji wa vipindi vya Televisheni Bongo Maimartha Jesse jana ameandika ujumbe mwenye fundisho kwa watu...

READ MORE

Video: Mauaji mengine yatokea Mkuranga, wauaji wachoma moto maiti

Mauaji mengine yatokea Mkuranga, wauaji wachoma moto maiti Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

READ MORE