×

Kitaifa

Afisa Biashara wa Halmashauri ya Dodoma asimamishwa kazi

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  OFISI YA RAIS Anuani ya Simu “TAMISEMI” DODOMA Simu Na: (026) 2322848, 2321607, 2322853, 2322420,...

READ MORE

Ibaada ya Kumuombea Rais Magufuli yafanyika London, Uingereza

Picha maalumu ya rais Magufuli (chini) ni sehemu ya wanakwaya. Askofu mkuu wa kanisa la CCBC, Dk. Sarpong kutoka Ghana...

READ MORE

Niyonzima afanya vikao vizito usiku

Kiungo mchezeshaji, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima. Hans Mloli Dar es Salaam SAKATA la Yanga kuvunja mkataba wa kiungo wake mchezeshaji, Mnyarwanda,...

READ MORE

Rekodi ya Kamusoko iliyomtoa Haruna Niyonzima

Kiungo wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko. Mohammed Mdose, Dar es Salaam MABAO ya kiungo wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko, yamekuwa...

READ MORE

Kerr: Mleteni tu Kopunovic sina hofu

Kocha mkuu wa Simba, Dylan Kerr. Said Ally na Omary Mdose KOCHA mkuu wa Simba, Dylan Kerr, licha ya kuwepo...

READ MORE

Serikali yaandaa mkakati kukomesha migogoro ya ardhi

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ukuzaji wa Viumbe Majini, Kajitanus Osewe, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk....

READ MORE

Shilole angusha pati ya kufunga mwaka

  Shilole (katikati) akiwa amezungukwa na baadhi ya marafiki zake. Shilole akicheza muziki huku baunsa wake akimshuhudia. Baadhi ya warembo...

READ MORE

Ufisadi mwingine waibuliwa bandarini Dar

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa Serikali imepoteza jumla ya Sh. bilioni 48.47 baada ya makontena 11,884...

READ MORE

CUF watoa tamko Zanzibar

Kaimu Mkurugenzi wa habari, uenezi na mawasiliano kwa umma Ismail Jussa. Kufuatia taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada...

READ MORE

Jeshi la Polisi lafumuliwa

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu. Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu amelifumua Jeshi la Polisi nchini kwa...

READ MORE

`Sangoma’ anaswa na maini ya swala, ngozi ya simba

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba...

READ MORE

Man Utd, Chelsea hakuna mbabe

 Nemanja Matic baada ya kukosa bao la wazi kipindi cha pili. Mchezaji kiungo wa  Manchester United, Ander Herreram akimuangalia kipa...

READ MORE

Arsenal yaongoza Ligi, yaichapa Bournemouth

Mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil,  akifunga bao la pili katika dakika ya  63 dhidi ya Bournemouth Uwanja wa Emirates, London....

READ MORE

Ummy azidi kukemea uuzwaji holela wa matunda

Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu akisoma taarifa yake. Mwalimu akionesha msisitizo wa jambo alipokuwa...

READ MORE

Picha sita za Ijumaa Sexiest Girl 2015

Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa katika mapozi tofauti na ameibuka mshindi wa tuzo ya Ijumaa Sexiest...

READ MORE

Kova kuweka ulinzi mzito mkesha wa mwaka mpya

          Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova.

READ MORE

Breaking News: Wachimbaji wafukiwa na kifusi, Chunya-Mbeya

Hali ya taharuki kwenye eneo la tukioTinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa. Taarifa zilizotufikia hivi punde: Wachimbaji...

READ MORE

Nape akanusha kukataza kuvaa mavazi ya kubana

Waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo Nape Nnauye. Waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo Nape Nnauye, amekanusha taarifa...

READ MORE

Mawaziri sita waapishwa Ikulu, Dar!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na...

READ MORE

Muhongo achoshwa na umeme wa bei ya juu unaonunuliwa Uganda

 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella kabla ya kuanza...

READ MORE

Odama: Hakuna wa kuniondolea heshima yangu

Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Imelda mtema Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema kuwa tangu alipoingia...

READ MORE

Amanda atumika kwa utapeli

Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’. Mwandishi wetu Kaa chonjo! Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta kwenye...

READ MORE

Wachimbaji wadogo wa Tanzanite wapinga kufungiwa migodi yao

Mwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani...

READ MORE

Diamond aweka historia tena Dar Live

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leoDiamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.Akicheza...

READ MORE

Diamond Funga Mwaka Concert…. Acha Kabisa! 

Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akifanya yake usiku huu Dar Live. Mashabiki wakifurahia. Diamond akiendelea...

READ MORE

Wakali Dancers wafunika Krismasi Dar Live

Kundi linalobamba Afrika Mashariki kwa miondoko ya kucheza, Wakali Dancers wakikamua jukwaani Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa...

READ MORE

Msaga Sumu afunga mwaka Dar Live kwa kishindo

Bingwa wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu akifanya yake Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar...

READ MORE

Yanga mastraika 8, Mtaua bendi aisee!

Wachezaji wa Yanga wakishangilia. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam YANGA imeizidi kete Simba katika utitiri wa washambuliaji baada ya usajili...

READ MORE

Afisa wa Intelijensia wa TANAPA Aliuawa na Mfanyakazi Wake wa Ndani

Jeshi la Polisi Mkoani hapa (Arusha) limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Ismail Swalehe Sang’wa (20) ambaye ni mwenyeji wa kijiji...

READ MORE

Serikali yapiga marufuku matangazo yanayohusu Tiba asili

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Waziri Wa Afya Hamis Kigwangala....

READ MORE

Davina aanika ‘mazagazaga’…

Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’. Imelda mtema Staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ hivi karibuni alianika ‘mazagazaga’...

READ MORE

Aliyepongeza majambazi yaliyovamia Polisi Stakishari… ahukumiwa jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Bruno Kimaryo, kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza...

READ MORE

Kamanda Mpinga akwamisha ulanguzi tiketi Ubungo

Kamanda Mpinga akiwa ndani ya basi la kuelekea mkoani Tanga akizungumza na baadhi ya abiria juu ya viwango vya nauli...

READ MORE

Polisi Wauana kwa Risasi Mwanza Wakiwa Lindoni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, SACP Justus Kamugisha.   ASKARI Polisi wa Kituo cha Polisi Nyamagana jijini Mwanza, Konstebo...

READ MORE

Denti Chuo Kikuu auawa kwa risasi!

Marehemu Mafwiri Mfungo, enzi za uhai wake. Stori: Gabriel Ng’osha, Dar na Gregory Nyankaira, Mara VILIO na majonzi vilitawala nyumbani...

READ MORE

Rais Magufuli ateua Mawaziri wanne wizara zilizokuwa zimebaki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John...

READ MORE

Samwel Sitta Atangaza Kustaafu Siasa

Samuel Sita Kwa mara ya kwanza tangu Kamati Kuu ya CCM ilipomuengua kwenye kinyang’anyiro cha uspika, Samuel Sita ambaye alikuwa...

READ MORE