×

Kitaifa

Mbunge Ridhiwani Kikwete Atembelea Ujenzi Bwawa la Maji, Wananchi Kuondokana na Kero ya Maji

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete ametembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Bwawa Kubwa la Maji litakalogharimu Shilingi...

READ MORE

EWURA Yasitisha Bei za Gesi Kupanda

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu...

READ MORE

Tanzia: Padre Raymond Saba Afariki Dunia

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Raymond Saba ,amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano,...

READ MORE

Bunge Lathibitisha: Wabunge Wote Wanakatwa Kodi

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa wanakatwa kodi...

READ MORE

Rais Mwinyi Amlilia Waziri Kwwandikwa

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo kufutia kifo cha...

READ MORE

Mmiliki wa Shule za Alpha Afariki Dunia

JUMUIYA ya Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (University of Dar es Salaam Academic Staff Assembly) – UDASA...

READ MORE

Gwajima: Nilishasema Sichanjwi

Mbunge wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dkt. Josephat Gwajima amekanusha taarifa zinasombaa mitandaoni...

READ MORE

Wanandoa Waliozaliwa Siku Moja, Wafa na Kuzikwa Siku Moja

MIONGONI mwa stori zinazo make headlines mkoani Kilimanjaro ni kuhusu kile kinachoonekana kuwa maajabu ya Mungu yaliyoambatana na simanzi na...

READ MORE

Mfanyabiashara Ndama Ahukumiwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu mfanyabiashara maarufu nchini, Ndama Shabani ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’ na mwenzake Yusuph Yusuph kulipa...

READ MORE

Rais Samia Amlilia Waziri Kwandikwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa familia,Jeshi, Bunge na Wananchi wa Jimbo...

READ MORE

Nmb Yashinda Tuzo Mbili za Kimataifa za Umahiri

Benki ya NMB imeshinda tuzo mbili za kimataifa ‘kwa mpigo,’ za Benki Bora Tanzania na Benki Bora ya Huduma kwa...

READ MORE

Inasikitisha! Mume Aliyemchinja Mkewe Mbele ya Watoto – Video

MAPENZI Yameendelea kuwa chanzo kikubwa cha mauaji kwa siku za hivi karibuni, na hili limejirudia tena jijini Dar es salaam...

READ MORE

Tanzia: Waziri Kwandikwa Afariki Dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Elias...

READ MORE

Alichokisema Rais Samia Mbele ya Kagame – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa...

READ MORE

Mbeya: Makada wa Chadema Wadaiwa Kukamatwa na Polisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya kimedai kuwa makada wake watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi akiwemo...

READ MORE

Wataalamu Waeleza Sababu za Watoto Kutoshambuliwa na Corona

WATAALAM wa tiba za binadamu wamesema kuwa kufa na kuzaliwa kwa cell mara kwa mara kwa watoto ndio sababu inayopelekea...

READ MORE

IGP Sirro: Mbowe Sio Malaika, Ukiandamana Utakung’utwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Simon Sirro amewataka wafuasi wa Chadema kuacha kuishinikiza mahakama ili Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Msigwa: Hitaji la Watanzania Sio Katiba, Wapinzani Wasubiri – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wapinzani wanatakiwa kuwa na subira kuhusu suala la kukutana na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Msigwa Afunguka Hasara ATCL: Hakuna Faida Kwenye Tiketi – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ilionesha Shirika...

READ MORE

Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea – Video

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa...

READ MORE

Msigwa Kuhusu Tozo: Huwezi Kwenda Mbinguni Bila Kufa – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefananua matumizi ya tozo maalum ya miamala ya simu kwa kutaja maeneo matatu muhimu...

READ MORE

Waziri Biteko Atoa Siku 60 Leseni Zisizofanya Kazi Kufutwa

    Waziri wa Madini Doto Biteko, ametoa siku 60 za kufuta leseni za uchimbaji wa madini zilizohodhiwa na wawekezaji...

READ MORE

Waziri Jafo: NMB Mnaitendea Haki Tanzania na Watu Wake

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, ameitaja Benki ya NMB kuwa...

READ MORE

NMB Yaendelea Kuongoza Kwa Faida Katika Sekta ya Kibenki Nchini

  Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB, imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka 2021. Faida...

READ MORE

Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu Kupokea Kifuta Jasho Cha Mil 90

Jumla ya Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu 90 katika eneo la kijiji cha Tumuli wataanza kupokea kifuta jasho kuanzia tarehe 2...

READ MORE

Wanufaika Mikopo Elimu ya Juu Wameongezeka kutoka 125,126 Mwaka 2015 Hadi 132,392 Mwaka 2020: Kipanga

  Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga (Mb) amesema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Sekta...

READ MORE

Naibu Waziri Awaomba Wadau Kusaidia Watoto Wenye Mahitaji Maalum

Serikali imesisitiza kwamba itaendelea kufanya jitahada mbali mbali katika kuwajumuisha watu wenye ulemavu katika nyanja zote za uchumi na kutoa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ndege Mpya ya Bombardier (Picha +Video)

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Julai 30, 2021 amepokea ndege mpya aina ya Bombardier Dash 8-Q400,  katika Uwanja...

READ MORE

Serikali Yakanusha Kulazimisha Watumishi Kuchanjwa

SERIKALI imesema haijatoa maelekezo ya kuwalazimisha watumishi wa umma kupokea chanjo ya Corona kama ambavyo imezushwa na wahalifu kupitia mitandao...

READ MORE

Waziri Ummy Atoa Siku 7 Uchunguzi Vifo vya Wanafunzi 3 Mpwapwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametoa siku 7 kwa...

READ MORE

CCM Yafanya Uteuzi Huu Mkubwa

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...

READ MORE

IGP Sirro Awataka Wananchi Msidanganywe Kuhusu Chanjo

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi na Watanzania kwa ujumla wasidanganywe na watu wa chache...

READ MORE

LHRC Yazindua Ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara Ya Mwaka 2020/21

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezinduwa Ripoti ya Haki za Binadamu na biashara nchini ya mwaka...

READ MORE

Ajiteka, Ajichoma Ili Atumiwe Milioni 3

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia kijana mmoja Dickson Peter Mungulu kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kuwa...

READ MORE

Adaiwa Kumuua Mkewe Kisa Kunyimwa Tendo la Ndoa

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Fausta Silayo (22), mkazi wa kijiji cha Samanga wilayani Rombo mkoa wa Kilimanjaro ameuawa kwa...

READ MORE

RC Makalla: Chanjo ya Corona Ni Salama

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Wananchi kuhakikisha wanapokea Chanjo ya Corona...

READ MORE

Vituo 15 Vitakavyotumika Kutoa Chanjo Dar

Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua chanjo ya COVID19 jana Julai 28, 2021 kwa yeye na viongozi wengine kuchomwa,...

READ MORE

Koboko Avamia Sekondari ya Magufuli

WALIMU katika Shule ya Sekondari ya Dk. John Pombe Magufuli, wilayani Kaliua mkoani Tabora wamelazimika kuikimbia nyumba ya kuishi iliyopo...

READ MORE