×

Kitaifa

Kifo cha Utata! Mtoto Azikwa, Afukuliwa, Jirani Asimulia – Video

GLOBAL TV imeendelea kufuatilia tukio la mtoto wa miaka (9) aliyefariki dunia na baadaye mwili wake kufukuliwa, baada ya mama...

READ MORE

Ukiacha Pombe Mezani Ukaenda Kujisaidia Umekwisha

JESHI la Polisi Mkoa wa Njombe limekamata magari matano ya wizi yaliyoibiwa katika sehemu mbalimbali hapa nchini, huku watu wawili...

READ MORE

Live: Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Karume Day

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Suluhu Samia ameungana na viongozi wengine pamoja na wananchi mbalimbali katika maadhimisho...

READ MORE

Aggrey Mwanri Alivyogeukia Uchungaji – Video

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri kwa sasa amekuwa mwinjilisti katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Hatujaagizwa Kufungulia Magazeti

Magazeti Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Maelezo, Dkt. Hassan Abbasi...

READ MORE

Waliochanjwa Corona tu Ndio Wataruhusiwa Kuhiji Mecca

Mamlaka za nchini Saudi Arabia zimesema watu waliopata chanjo ya corona peke yake ndio wataruhusiwa kufanya ibada ya Hija mwaka...

READ MORE

Shigongo Achimba Visima vya Maji Buchosa

  IKIWA ni mkakati kuhakikisha tatizo la maji linamalizika katika maeneo mbalimbali ya Jimbo la Buchosa, Mbunge wa Jimbo hilo...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Walimu 6,000 Waajiriwe – Videio

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amewataka Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za...

READ MORE

Rais Samia: Ukinizingua, Tutazinguana! – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaagiza watendaji wa serikali kujituma kufanya kazi akisisitiza...

READ MORE

Rais Samia Ataka Waliofunga Biashara Warejeshwe – Video

  Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kuangalia namna bora ya kuwarudisha wafanyabiashara...

READ MORE

Samia Atoa Maagizo Sakata la Vifurushi vya Intaneti – Video

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushughulikia sakata la kupanda kwa...

READ MORE

Serikali Yakiri Kukosa Fedha Ujenzi Barabara ya Morogoro – Tanga

Serikali ya Tanzania imekiri kukosa bajeti ya ujenzi wa kiwango cha lami barabara ya Kilindi-Iyogwe hadi Gairo yenye urefu wa...

READ MORE

Bango la Wananchi Kuondoka na Mkurugenzi, DC – Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema viongozi wa kitaifa wakikutana na mabango katika ziara zao, atawaondoa kazini mkurugenzi wa...

READ MORE

Rais Samia: Vyombo vya Habari Mlivyovifungia, Vifungulieni – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuvifungulia...

READ MORE

Rais Samia Kuunda Tume ya Covid-19 – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amesema anatarajia kuunda kamati ya wataalamu ambayo itamshauri kuhusu...

READ MORE

Live: Rais Samia Akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu na Wakurugenzi

  RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 06, anawaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu wao pamoja na wakurugenzi aliowateua hivi karibuni juzi...

READ MORE

DC Muro Anasa Mtandao wa Wizi wa Mifugo

MTANDAO wa wizi wa mifugo umenaswa wilayani Arumeru baada ya vijana wawili ambao wanatajwa kuongoza mtandao huo kutiwa mbaroni.  ...

READ MORE

Baraza la Ulamaa Lateua Masheikh 19 wa Mikoa

Baraza Kuu la Ulamaa la Baraza la Waislam Tanzania (Bakwata) chini ya mwenyekiti wake, Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir...

READ MORE

Dkt. Mpango Awafariji Watoto, Wazee, Wenye Mahitaji Maalum

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amelishukuru Shirika la Teresia wa Mtoto...

READ MORE

Nabii Joshua: Mungu Ameweka Kusudi Jema kwa Rais Samia

WATANZANIA wametakiwa kumuunga mkono, kumtia moyo na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuwa...

READ MORE

Rais Magufuli Alivyoagiza Mkurugenzi TPDC Arejeshwe Kazini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli (wakati huo) aliagiza Dkt. James Mataragio arejeshwe katika nafasi yake...

READ MORE

Kamanda Mambosasa Awaita Wanaume Wanaonyanyaswa Kijinsia

KAMANDA wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amewataka wanaume wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia...

READ MORE

Bernard Tapie: Mmiliki wa Adidas Avamiwa

Mfanyabiashara nguli aliyekuwa na kashfa na mmiliki wa zamani wa Adidas Bernard Tapie na mkewe washambuliwa baada ya kuvamiwa katika...

READ MORE

Tanzia: Paroko Mbiku UDSM Afariki Dunia

Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo.   Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha...

READ MORE

Maporomoko ya Matope Yaua Watu 50

Flores Mashariki mwa Indonesia ni miiongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa zaidi na mafuriko hayo Watu wapatao 50 wamefariki kufuatia mafuriko na...

READ MORE

Samia Atengua Uteuzi Mkurugenzi TPDC Kabla ya Kumwapisha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametengua uteuzi wa Thobias Mwesiga Richard kuwa Mkurugenzi mpya wa Shirika la Maendeleo...

READ MORE

Muhimbili Wamjibu Kigwangalla ‘Hatuondoi Nyungu’

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema haitaondoa huduma ya kujifukiza Hospitalini hapo kama ilivyoshauriwa na Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi...

READ MORE

Dotto James Ang’olewa Wizara ya Fedha, Msigwa Ahamishwa Ikulu

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumapili Aprili 4, 2021 amefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa wizara, naibu makatibu wakuu...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 5, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 4, 2021. Usipitwe na Matukio, Install App...

READ MORE

Kigwangalla Ataka ‘Nyungu’ ya Muhimbili Ivunjwe

  Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate...

READ MORE

Mwigulu: Mlioficha Pesa Nyumbani Ziwekeni Benki, Zitaliwa na Panya

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara wanaoficha fedha majumbani kuacha kufanya hivyo na badala yake wahifadhi...

READ MORE

Wanafunzi Wanne UDOM Wafariki Ajalini

Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu Dodoma (Udom) wamefariki dunia katika ajali ya basi la kampuni ya Machame iliyotokea Machi 30,...

READ MORE

Ofisa Chanjo Hanang’ Anusurika Kwenda Jela kwa Kughushi

MRATIBU chanjo wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Mkojera Philemon Mkojera amenusurika kwenda jela miezi 12 baada ya...

READ MORE

Serikali Yasitisha Bei Mpya za Vifurushi vya Intaneti

SERIKALI YASITISHA BEI MPYA ZA MATUMIZI YA VIFURUSHI VYA INTANETI zilizoanza kutumika leo Aprili 2, 2021 na mitandao yote ya...

READ MORE

Gwajima Amshukuru Rais Samia Kuimulika Sekta ya Maendeleo ya Jamii

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Hayati JPM na Maajabu ya Namba 5

TAIFA la Tanzania bado lipo kwenye maombelezo ya siku 21 kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais, Hayati John Pombe Joseph Magufuli....

READ MORE

Polisi Yatoa Ufafanuzi Sikukuu ya Pasaka

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema halijazuia ibada za sikukuu ya Pasaka na kwamba walichozuia ni mikusanyiko, sherehe na makongamano...

READ MORE

Mahakama Yavunja Ndoa Baada ya Wanandoa Kutoshiriki Tendo kwa Miaka 21

Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya mwimbaji wa nyimbo za injili, Rebecca Magaba na Zabron Maselege baada ya wanandoa...

READ MORE

Messi wa Misri Ashangaza

Mchoraji mmoja kutoka Misri amepata mashabiki wengi katika taifa hilo la Afrika Kaskazini hasa wapenzi wa soka wanaovutiwa na mchezo...

READ MORE