
Browsing Category
Michezo
Mashabiki Wapagawa! Meridianbet Yaweka Odds Kali Michuano ya Afrika
Barani Afrika, joto la mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 limepanda hadi kiwango cha juu, huku mashabiki wakifuatilia kwa makini kila dakika ya mchezo. Katika viwanja vya Kundi A, E na I, timu za taifa zinajitupa uwanjani kwa ari na…
Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Zazidi Kutoa Pesa Meridianbet
Je unajua kuwa Jumamosi ya leo unaweza ukajipatia maokoto ya maana kwenye mechi mbalimbali zinazoendelea za kufuzu Kombe la Dunia? Ureno, Uhispania. Italia na wengine wengi leo wanaingia uwanjani. Suka jamvi lako la uhakika na…
TFF Yatangaza Orodha ya Awali ya Wagombea Uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB)
Dar es Salaam, Oktoba 10, 2025 — Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Uchaguzi, limetangaza orodha ya awali ya wagombea waliorejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Bodi ya Ligi Kuu…
Mechi Moto za UEFA Europa League Kurudi Leo Hii
Mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanajiandaa kwa jioni ya kusisimua wakati UEFA Europa League itakaporudi kwa msimu mpya wa mechi kali. Timu kadhaa maarufu zitashuka dimbani kuanzia leo jioni, zikitafuta ushindi…
TFF Yaruhusu Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Kutumika Kwa Michezo ya Ligi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo mkoani Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanyiwa marekebisho yaliyokidhi viwango vya kikanuni na kisheria vya mpira wa miguu.…
Meridianbet Yakaribisha Wabashiri Kufuzu Kombe la Dunia
Mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia barani Ulaya yameingia katika raundi mpya, huku timu kadhaa zikitarajiwa kupambana usiku huu katika mechi za makundi C, G, H na L. Hali ya hewa ya soka imechachamaa, na kwa mashabiki wa kubashiri,…
Ronaldo Avunja Rekodi, Awa Mchezaji wa Kwanza Bilionea Duniani
Mshambuliaji nyota wa Ureno na klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ametajwa kuwa mchezaji wa kwanza wa soka kufikia hadhi ya bilionea, kwa mujibu wa ripoti mpya ya chombo cha masuala ya fedha, Bloomberg.
Ripoti ya “Bloomberg…
TFF: Mwongozo wa Kupima Jinsia Kuanza Rasmi Msimu wa 2026/27
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi likibainisha kuwa mwongozo wa kupima na kuthibitisha jinsia za wachezaji wa kike utaanza kutumika rasmi kuanzia msimu wa 2026/27.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, TFF imesema kuwa…
Kocha Edna Lema: Hatuiogopi JKT Queens, Tumejiandaa Vizuri
Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema (Morinho) leo Oktoba 8, 2025 amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens, akisisitiza kuwa wanaiheshimu timu hiyo lakini hawaogopi.…
FIFA Yamteua Wallace Karia Kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Soka la Ufukweni Duniani
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Soka la Ufukweni ya FIFA kwa kipindi cha miaka minne, hadi mwaka 2029.
Uteuzi huu unamweka Karia…
FIFA Yamteua Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said, Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu Duniani
Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said, ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu vya Wanaume Duniani kwa kipindi cha miaka minne, kuanzia mwaka 2025 hadi 2029.
Taarifa hiyo…
Jiunge na Meridianbet Leo na Upate Bonasi ya Hadi 150% na Mizunguko ya Bure!
Meridianbet imekuja na ofa kabambe kwa wale wote wanaojiunga kwa mara ya kwanza. Kama wewe hujawahi kuwa na akaunti ya Meridianbet, huu ndio wakati wa kuanza safari yako ya michezo ya kubashiri na kasino ya mtandaoni kwa faida kubwa.…
Leo, Kila Sekunde ni Fursa: Timu za Taifa Zinapigana na Meridianbet Imetia Moto
Leo ni siku ya moto barani Afrika, viwanja vinatikisa, mashabiki wanapiga kelele, na timu za taifa zinapigana kufa na kupona kutafuta tiketi ya Kombe la Dunia 2026. Hii si mechi ya kirafiki, hii ni vita ya heshima, fahari ya taifa, na…
Meridianbet Yapima Nguvu za Vigogo EPL: Arsenal, Liverpool Wapewa Kipaumbele
Pesa nje nje ndani ya Meridianbet siku ya leo. Leo hii unaweza ukabashiri timu ambazo zina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu pale nchini Uingereza. Meridianbet imetoa Odds kubwa kwa timu hizo hivyo tengeneza jamvi…
Simba Kutumia Meja Isahmuyo kwa mechi za nyumbani
SIMBA SC huenda wakautumia Uwanja wa Meja General Isahmuyo kwa mechi za nyumbani katika Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika.
Hii inatokana na Uwanja wa Mkapa ambao Simba SC ilikuwa inautumia kwa mechi za…
TFF Yamsimamisha Mchezaji wa Yanga Princess Kupisha Uchunguzi wa Jinsia
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha kwa muda mchezaji wa klabu ya Yanga Queens, Princess Jeanine Mukandiyisenga, raia wa Rwanda, kupisha uchunguzi wa kina kuhusu jinsia yake.
Hatua hii imekuja baada ya sintofahamu kuibuka…
Saleh Jembe: Kwa Takwimu, Kocha wa Yanga Hafai Kufukuzwa – Video
Mchambuzi mkongwe wa michezo nchini, Saleh Jembe, ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa kwa mujibu wa takwimu alizonazo kuhusu mwenendo wa timu ya Young Africans (Yanga SC), kocha wa timu hiyo hana sababu ya kufukuzwa kazi.
Jembe…
Ahmad Ali awe Kocha Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu
Kocha mkuu wa klabu ya JKT Tanzania, Ahmad Ali amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa mwaka 2025/2026 akiwashinda Romain Folz wa Young Africans na Miguel Gamondi wa Singida Black Stars…
Diarra Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu NBC
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2026. Hii ni baada ya kuiongoza Yanga SC kwenye michezo miwili muhimu, ikiwa ni…
Chelsea Yazima Ndoto za Liverpool Kurejea Kileleni, Estêvão Aandika Historia
Kinda chipukizi Estêvão ameibuka shujaa wa Chelsea baada ya kufunga bao la dakika za majeruhi lililoipa The Blues ushindi wa mabao 2–1 dhidi ya mabingwa watetezi, Liverpool, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa usiku huu…
Kocha Mpya Simba Atua Dar, Atoa Neno la Kwanza – Video
Msikilize Meneja Mkuu mpya wa Klabu ya Simba Dimitar Pantev baada ya kutuaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam.
Msigwa: Acheni Upotoshaji, Mkapa Hautafungwa – Utapumzishwa Mechi za Ligi Tu
MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa kwa kipindi cha…
Dodoma Jiji Yapigwa Faini Milioni 15 kwa Kukosa Kocha Mwenye Sifa
Klabu ya Dodoma Jiji FC imepigwa faini ya jumla ya Shilingi milioni 15 za Kitanzania na Bodi ya Ligi Kuu baada ya kushiriki michezo mitatu bila kuwa na kocha mkuu mwenye sifa stahiki.
Kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara,…
Simba Yamtambulisha Dimitri Pantev, Sintofahamu Yatawala Nani Kocha Mkuu
Klabu ya Simba Sc imemtambulisha kocha Dimitri Pantev kama meneja wa timu hiyo huku vyanzo vikieleza kocha mkuu wa Wekundu hao wa Msimbazi atakuwa Selemani Matola kwenye makaratasi ingawa Pandev atakuwa kiongozi na mtendaji mbele ya…
Wikiendi ya Soka Barani Ulaya: Mechi Kali na Fursa za Kubashiri Kupitia Meridianbet
Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye tamasha la mechi kali, ushindani wa hali ya juu, na fursa tele za ushindi kupitia Meridianbet. Ligi kuu barani Ulaya zinarejea kwa kasi, na kila pambano linakuja na ladha yake.…
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuikabili Zambia
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Zambia.
Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan,…
Ibrahim Bacca Afungiwa Mechi 5 Baada ya Rafu Mbaya
Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemchukulia hatua kali mchezaji wa Young Africans, Ibrahim Abdullah, baada ya kumpiga rafu mbaya mchezaji wa Mbeya City, Ibrahim Ame, kitendo kilichotajwa kuwa cha kuhatarisha…
FIFA Yazindua Mpira Mpya “Trionda” kwa Kombe la Dunia 2026
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limezindua rasmi mpira wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026 unaojulikana kama “Trionda”, mpira wenye teknolojia ya kisasa itakayosaidia wachezaji, washabiki na VAR (Video Assistant Referee).
Jina…
Leo Ni Siku ya Mashujaa: Odds Kali na Burudani za Michezo
Mambo yanazidi kushika kasi barani Ulaya. Na leo mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka kwa ligi tano maarufu. Mechi hizi ni kubwa na zimesheheni mvuto na burudani ya kipekee kwa wapenda soka wote. Vilevile,…
Yahya Zayd Aongeza Mkataba Mpya Azam FC Mpaka 2027
Klabu ya Azam FC imeweka wazi kuwa imefanikiwa kumsainisha kiungo wake mahiri, Yahya Zayd, mkataba mpya wa miaka miwili.
Kwa mujibu wa taarifa ya klabu, nyongeza hiyo itamfanya Zayd kuendelea kuwatumikia Wanalambalamba hadi mwaka…
UEFA Europa League Yazindua Msimu Mpya: Mechi Kali Zinarindima Leo
Mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanajiandaa kwa jioni ya kusisimua wakati UEFA Europa League itakaporudi kwa msimu mpya wa mechi kali. Timu kadhaa maarufu zitashuka dimbani kuanzia leo jioni, zikitafuta ushindi wa mapema…
Yanga Warejea Dar Baada Ya Kulazimishwa Sare Na Mbeya City
Kikosi cha Yanga SC kimewasili jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, Septemba 30, 2025, ambapo walitoka suluhu ya bila kufungana na wenyeji Mbeya City.
Mchezo huo…
Usiku wa Mabingwa, Burudani Ya Soka na Furaha Ya Ushindi
Ulaya inang’aa leo kwa mwanga wa soka la kiwango cha juu, UEFA Champions League imerudi tena, na kila dakika uwanjani ni fursa ya kubadilisha bashiri kuwa ushindi. Mashabiki wa Meridianbet wanajua: huu si usiku wa kawaida, ni usiku wa…
Barcelona vs PSG: Usiku wa Kulipiza Kisasi!!
Ni usiku wa moto barani Ulaya. Mabingwa watetezi PSG wanatua Camp Nou, uwanja ambao Barcelona hawajapoteza mechi ya UCL msimu uliopita.
Barca wakiwa na Lewandowski na kijana hatari Lamine Yamal wanaamini leo ni siku ya kulipiza…
FIFA Yaiadhibu Afrika Kusini kwa Kumchezesha Mchezaji Asiye na Sifa
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imetoa adhabu kwa Chama cha Soka cha Afrika Kusini (SAFA) baada ya kubainika kumchezesha Teboho Mokoena, mchezaji asiye na sifa za kushiriki, katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia…
Usiku wa Moto UEFA Champions League – Vigogo Ulaya Kupambana Raundi ya Pili
Usiku wa leo, mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanatarajia burudani ya hali ya juu katika raundi ya pili ya hatua ya ligi ya UEFA Champions League. Timu 18 zinashuka dimbani kutafuta alama muhimu kuelekea hatua ya mtoano.…
Simba wapo kwenye hatari, Ahoua hajitumi ipasavyo – Saleh
Mchambuzi mahiri wa soka nchini, @Salehjembefacts, amesema kwamba mchezaji wa kimataifa wa Simba, Jean Charles Ahoua anaiangusha klabu yake na kama akiendelea hivi, anapaswa kuanzia benchi.
Saleh amesema alishawahi kumzungumzia mchezaji…
Mwamuzi Wa Tanzania Kuongoza Michezo Ya Kombe La Dunia!
Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, kati ya Cape Verde na Eswatini!
Mchezo huu unatarajiwa Oktoba 13, nchini Cape Verde, na ushindi…
Mechi Kubwa Leo: EPL, La Liga na Serie A Zikukaribisha Ushindi
Jumatatu hii mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu kutoka viwanja mbalimbali vya EPL, La Liga na Serie A. Mechi nne zimepangwa kuchezwa, kila moja ikiwa na uzito wake kwa msimamo wa ligi na morali ya timu husika.…
Mechi za EPL, La Liga na Serie A Kukupa Mkwanja Wa Meridianbet
Mashabiki na wapenzi wa soka kote duniani wanatarajia kupata burudani murua kushuhudia, miamba ya soka barani Ulaya wakipambana kusaka pointi muhimu. Na kwa wapenda kubashiri basi wanafurahi uwepo wa odds kubwa na machaguo mengi pale…