UONGOZI wa Mtibwa Sugar leo Agosti 28 umetangaza benchi lake la ufundi kwa ajili ya msimu wa 2020/2021 unaotarajiwa kuanza...
READ MOREKILA kitu kinatokea kwa sababu ndivyo ambavyo imekuwa kwa wachezaji wengi wa Bongo kupata madili ya kusaini kwenye timu mpya...
READ MOREWACHEZAJI wapya waliosajiliwa kutoka nje ya Tanzania kuichezea Yanga msimu huu, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda na Carlinhos leo Agosti 28,...
READ MORESTAA mpya wa Yanga, Muangola, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo ‘Carlinhos’, jana Alhamisi alionja joto ya jiwe baada ya...
READ MOREKAMATI ya uchaguzi ya shirikisho la soka Ivory Coast (FIF) imemuengua mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa...
READ MOREKiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba amekutwa na virusi vya corona, kwa mujibu wa kocha Mfaransa Didier Deschamps....
READ MOREKLABU ya Yanga ya Dar es Slaaam imemtangaza Zlatko Krmpotić raia wa Serbia mwenye umri wa miaka 62 kuwa kocha...
READ MOREALIYEWAHI kuwa kipa wa Azam FC, Vladimir Niyonkuru raia wa Burundi aliwasili rasmi nchini Tanzania, juzi mchana tayari kwa kuanza...
READ MOREUONGOZI wa Klabu ya Yanga umewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi Agosti 30, Uwanja wa Mkapa kwenye kikele...
READ MOREYANGA ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Petro Atletico De Luanda ya Angola raia wa...
READ MOREKUELEKEA mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck ameweka wazi kwamba ana wakati mgumu wa kuwapanga wachezaji wake katika nafasi ya ushambuliaji...
READ MOREUONGOZI wa Namungo FC, umeweka wazi kuwa ndani ya wiki hii wamepanga kuwafanyia sapraizi mashabiki wake waliopo Arusha kwa kutambulisha...
READ MOREVYOMBO vikubwa vya habari nchini Hispania vimeripoti kwamba baba mzazi wa Lionel Messi, mzee Jorge Messi, amewasili katika jiji la...
READ MOREUELEKEA mchezo wa Ngao ya Jamii utakaozikutanisha Simba na Namungo utakaopigwa Agosti 30, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri...
READ MORECARLOS Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo maarufu kwa jina la Carlinhos, ndani ya Yanga amekabidhiwa jezi namba 11 iliyokuwa ikivaliwa...
READ MOREKLABU ya Yanga imebadilisha uamuzi wa kuendelea na kocha Cedric Kaze ambaye alitarajiwa kuwasili nchini kuungana na miamba hiyo ya...
READ MORELEGENDARI wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi ambaye ameingia katika gumzo mitandaoni na vyombo...
READ MORETunaongelea farasi halisi? Hapana, lakini ni nzuri kuliko farasi halisi! Katika Kasino ya Mtandaoni ya Meridian bet utaupata mchezo huu...
READ MOREKIMENUKA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya maelfu ya mashabiki ya Barcelona kuacha vitanda vyao usiku kuamkia na kuingia...
READ MORESTAA wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ amemlipa aliyekuwa bosi wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya juzi Jumatatu kuachia...
READ MOREKOCHA wa Yanga, Cedric Kaze ana wakati mgumu wa kuangalia mfumo utakaofaa kama atahitaji kumtumia kiungo mshambuliaji mpya, Carlos Stenio...
READ MOREUongozi wa Klabu ya Yanga Umetangaza kumpiga chini kocha aliyekuwa akitarajiwa kutua nchini kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho cha...
READ MOREMshambuliaji mpya wa Namungo FC, Shiza Kichuya anasema bado ana matumaini ya kurejea kwenye kiwango cha juu kama ilivyokuwa zamani....
READ MOREBeki wa zamani wa Yanga, Juma Abdul amesema kwa sasa anafikiria zaidi kucheza soka la kulipwa na kuna dili...
READ MOREMiamba ya soka la Italia, Inter Milan inatajwa kuwa miongoni mwa timu kutoka nchini humo ambazo zinapigania saini ya mshambuliaji...
READ MORESTRAIKARomelu Lukaku, ameandika waraka kwa mashabiki wa timu yake ya Inter Milan akisisitiza kuwa atarejea kwa kishindo baada ya bao...
READ MOREKIUNGO mpya wa Yanga, Carlos Stenio Fernandez Guimaraes ‘Carlinhos’ baada ya kutua jana rasmi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
READ MOREKlopp anajiandaa kuvaana na Arsenal kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kupigwa Jumapili hii katika dimba la Wembley, saa...
READ MORETAARIFA za kuachwa kwa mastaa wa soka wa timu ya Barcelona ya Hispania zimetolewa na vyombo vya habari nchini humo ...
READ MOREKLABU ya Yanga imesema haiwezi kutoa kibali cha kazi cha winga Bernard Morrison kwani ni mchezaji wao hivyo wanaishangaa Wizara...
READ MOREKLABU kongwe za Simba na Yanga, zimelazimika kulilipa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kiasi cha shilingi milioni 36 kwa pamoja...
READ MOREMECHI ya Ngao ya Jamii baina ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba SC na washindi wa pili...
READ MORELIGI Kuu Bara inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 6, huku msimu huu tukizishuhudia jumla ya timu 18 zikipambana kuwania ubingwa...
READ MOREKLABU ya PSG imepeleka ombi la kumtaka beki wa Arsenal, Hector Bellerin baada ya beki wao Thomas Meunier kuondoka bure...
READ MOREMARA baada ya kufungua akaunti yake ya mabao katika klabu yake mpya, kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Bernard Morrison, amefunguka...
READ MOREMCHEZAJI wa soka wa Brazil, Ronaldinho, ameachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani nchini Paraguay baada ya kufungwa kwa kumiliki paspoti...
READ MOREUONGOZI wa Klabu ya Yanga umejitapa kufanya vyema msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kufuatia kukamilisha usajili wa nyota kadhaa...
READ MOREMWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema wapinzani wao Yanga na Azam nao wamefanya usajili mzuri,...
READ MOREBEKI wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amempigia saluti beki mpya wa timu hiyo, Mkenya, Joash Onyango kwa kusema...
READ MORE