×

Michezo

Kiungo Fundi Raia wa Nigeria Victor Akpan Atua Rasmi Simba, Asaini Miaka Miwili

KLABU ya  Simba imetangaza kukamilisha usajili  wa Kiungo Victor Patrick Akpan kutoka Coastal Union raia wa Nigeria kwa mkataba wa...

READ MORE

Beki wa Kushoto Kutoka Congo Atua Yanga, Apewa Mkataba wa Miaka Miwili

 MAPEMA jana asubuhi, Yanga SC ilimpokea beki wa kushoto raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala kwa ajili ya kujiunga...

READ MORE

Mkutano Mkuu Wamuidhinisha Injinia Hersi Kuwa Rais Mpya wa Yanga kwa Miaka Minne Ijayo

Mkutano mkuu wa klabu ya Yanga umeidhinisha aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Eng Hersi Said kuwa Rais mpya...

READ MORE

Yanga Ijayo Mtakoma Kiungo wa Newcastle Aaga Burundi Tayari Kutua Jangwani

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Newcastle ya England ambaye hivi sasa anaichezea Glentoran ya Ireland, Gael Bigirimana, tayari ameaga kwao...

READ MORE

Sepp Blatter na Michael Platini Wakutwa Hawana Hatia, ni Baada ya Kesi yao Kusikilizwa kwa Siku 11

  Sepp Baltter na Michael Platini wakizungumza jambo kwenye moja ya mikutano yao enzi za uongozi wao RAIS wa zamani...

READ MORE

Injinia Hersi Atamba Yanga Kuwa Timu ya Kwanza Tanzania Kutwaa Ubingwa Afrika

MGOMBEA wa Urais wa Yanga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo, Injinia Hersi Said, ametoa...

READ MORE

Aishi Manula Akanusha Kuongeza Mkataba Simba, Akiri Msimu Ulikuwa Mgumu-Video

MLINDA mlango wa Klabu ya soka ya Simba Aishi Manula amekanusha tetesi za kuongeza mkataba kwenye timu hiyo ambazo zimekuwa...

READ MORE

Phiri Apandisha Mzuka Simba, Amtaja Chama Aahidi Kurejesha Makali

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Moses Phiri, amesema kuwa anategemea kupata ushirikiano mzuri ndani ya Simba kutoka kwa kiungo Clatous Chama...

READ MORE

Morrison Ampunguza Winga Mkongo Kwenye Kikosi cha Yanga

UNAAMBIWA sasa ni wazi kuwa, usajili wa Bernard Morrison umefanya Yanga, kuingia makubaliano ya kuachana rasmi na winga wa kulia...

READ MORE

Chelsea Kutuma Ofa ya Kumnasa kinda wa Ureno Kutoka Sporting Lisbon

KLABU ya Chelsea inajiandaa kutuma ofay a kuinasa saini ya kinda wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Sporting Lisbon ya...

READ MORE

Man United Yakamilisha Dili la Malacia, Yahamishia Nguvu kwa De Jong wa Barcelona

KLABU ya Manchester United imekamilisha dili la kumsajili mlinzi kutoka klabu ya Feyenoord ya nchini Uholanzi Tyrell Malacia kwa ada...

READ MORE

Saleh Jembe Asisitiza Manara Akikutwa na Hatia Kanuni Ichukue Mkondo Wake

MCHAMBUZI wa Soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Msemaji wa Yanga Haji Manara anapaswa kupewa nafasi ya kusikilizwa lakini pia...

READ MORE

Manara Amuangukia Rais Karia Akili Kukosea Kama Binadamu, Aomba Yaishe

MSEMAJI wa Yanga Haji Manara amemuomba msamaha Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na tukio lililotokea Jijini Arusha katika Uwanja...

READ MORE

Injinia Hersi Anazungumza na Waandishi wa Habari Muda Huu, Anaelezea Malengo Yake Kama Rais-Video

MGOMBEA Urais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Ally Said amezungumza na wanahabari akielezea malengo na mikakati yake endapo atachaguliwa...

READ MORE

Massanza: Habibu Kyombo Aliomba Kuvunja Mkataba na Taratibu Zote Zilizingatiwa

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Singida Big Stars iliyo na maskani yake mkoani Singida Hussein Massanza amesema...

READ MORE

Mchezaji Ligi Kuu Uingereza Atiwa Nguvuni Kwa Tuhuma za Kubaka, Polisi Watoa Tamko

MCHEZAJI mmoja wa Ligi Kuu ya Uingereza ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kiusalama ametiwa nguvuni na maafisa wa...

READ MORE

Barcelona Yakamilisha Usajili wa Christensen pamoja na Kessie, Wote walikuwa Wachezaji Huru

KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania imekamilisha usajili wa wachezaji Andreas Christensen beki wa kati aliyemaliza mkataba wake akiwa na...

READ MORE

Man City Yatangaza Usajili wa Kalvin Phillips kwa Mkataba wa Miaka sita

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City imetangaza kukamilisha dili la kumsaini kiungo mkabaji wa klabu ya...

READ MORE

Azam Yamtambulisha Sopu kama Usajili Mpya, Simba na Yanga Zatajwa Kuambulia Manyoya

KLABU ya Azam imemtambulisha kiungo mshambuliaji Abdul Seleman Sopu kama mchezaji wao mpya akitokea Coastal Union ya Tanga. Sopu ambaye...

READ MORE

Fiston Mayele Amkaribisha Morrison Yanga, Amuweka Viwango vya Ulaya

STRAIKA wa Klabu ya Yanga ambaye ni raia wa Congo DR, Fiston Kalala Mayele amemkaribisha aliyekuwa staa wa Simba Sc,...

READ MORE

Eriksen Akubali Kujiunga na Manchester United, Asubiri Kufanyiwa Vipimo vya Afya

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Brentford ya nchini Uingereza Christian Eriksen amekubali kujiunga na miamba ya soka nchini Uingereza klabu...

READ MORE

Dembele Kukosa Vipimo vya Afya, Maandalizi ya Msimu Mpya na Barcelona

WINGA wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania raia wa Ufaransa Ousmane Dembele anaripotiwa kukosa maandalizi ya msimu pamoja na...

READ MORE

Yanga Wana Jambo Zito, Wanazungumza na Wanahabari Muda Huu-Video

VIONGOZI wa Klabu ya Yanga wamezungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya klabu hiyo ya Jangwani 

READ MORE

GSM Awapa Mastaa Yanga Bonasi 700 Mil Baada ya Kubeba Kombe la Shirikisho

IMEFAHAMIKA kuwa wachezaji wa Yanga wanatarajiwa kupewa Sh 700Mil kutoka kwa mdhamini wao GSM kama bonasi baada ya juzi kubeba...

READ MORE

Simba Kumrudisha Luis Miquissone Baada ya Kupata Wakati Mgumu Al Ahly

  KLABU ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone...

READ MORE

Beki Raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Apewa Mil 144 Yanga, Asaini Miaka Miwili

  UNAAMBIWA Yanga SC ilimshusha kimyakimya beki raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala na kumpa mkataba wa miaka miwili,...

READ MORE

Ofisa wa Klabu ya Yanga, Haji Manara Kuitwa Kamati ya Maadili ya TFF, Akiuka Maadili

Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imefungua shauri mbele ya Kamati ya Maadili dhidi ya Ofisa wa...

READ MORE

Irene Uwoya Apigiwa Saluti Dubai Bata Anazokula ni Balaa, Afunguka Mazito

Irene Pancras Uwoya; ni staa mkali wa Bongo Movies ambaye amepigiwa saluti za kutosha na wakazi mbalimbali wa huko Dubai...

READ MORE

Yanga Yatwaa Ubingwa wa Shirikisho Kombe la ASFC kwa Mikwaju ya Penati

KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Shirikisho maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup ikiwa ni...

READ MORE

Teknolojia Mpya Kuwekwa Ndani ya Mpira Kubaini Offside, Kuanza Kutumika Rasmi Kombe la Dunia Qatar

SHIRIKISHO la Soka Duniani (FIFA) limetambulisha ujio wa teknolojia mpya itakayotambua matukio ya kuotea kwa wachezaji “Offside” itakayoanza kutumika kwenye...

READ MORE

Kocha wa Geita Fred Felix Minziro Afunguka Mpole Kutua Simba, Yanga

KOCHA Mkuu wa kikosi cha Geita Gold, Fred Felix Minziro, ameweka wazi kuwa ni kweli kuna uwezekano mkubwa wakampoteza straika...

READ MORE

Salah Ajipiga Kitanzi Liverpool, Aweka Rekodi ya Kuvuta Mkwanja Mrefu Anfield

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri Mohamed Salah ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu wa...

READ MORE

Azam FC Mambo ni Moto Yashusha Kifaa Kingine, Yapania Kuleta Mapinduzi Msimu Ujao

KLABU ya Azam FC imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Tape Edinho, kwa mkataba wa miaka mitatu....

READ MORE

Morrison Afunguka Kusaini Yanga Kwa Mara Ya Kwanza, Apiga Kijembe Simba -Video

 GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchezaji, Benard Morrison, kuhusiana na masuala mbalimbali yanayomuhusu ikiwemo sababu za kuondoka Simba...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yatoa Orodha ya Majina Katika Vipengele Watagombea Tuzo… Soma Hapa

Baada ya Safari ya Msimu wa Mashindano wa mwaka 21/22 bodi ya Ligi imetoa orodha ya majina katika vipengele mbalimbali...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Aanza na Yanga Apewa Masharti Mazito Kuyatimiza Msimu Ujao

  IMEFAHAMIKA kuwa, Kocha Mkuu mpya wa Simba SC, Zoran Manojlović, amepewa mkataba wa mwaka mmoja wenye masharti matatu anayotakiwa...

READ MORE

Simba Yatoa Tamko Sakata la Morrison ‘Ni Mchezaji Wetu Halali’, Mwenyekiti Acharuka

UONGOZI wa Klabu ya Simba SC umeendelea kusisitiza kuwa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison, bado ni mchezaji halali...

READ MORE

Klabu ya Totenham Hotspurs Imekamilisha Dili la Kumsaji Richarlison Kutoka Everton

KLABU ya soka ya Totenham Hotspurs imefanikiwa kukamilisha dili la kumsajili mshambuliaji wa Everton na timu ya Taifa ya Brazil...

READ MORE

Mayele Adaiwa Kuuzwa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, CEO wa Yanga Senzo Mbatha Akanusha

MWANDISHI Mkongwe Afrika, Nuhu Adams leo Julai 30, 2022 kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston...

READ MORE

Klabu ya Soka ya Yanga Imetwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Bila Kufungwa

HATIMAYE Klabu ya Yanga imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC bila kupoteza mchezo wowote baada ya kuibuka na...

READ MORE