Browsing Category
Mikasa
Shuga Sukari sehemu ya 9
“Sandra alikuwa toto haswaa, mweupe, mrefu kiasi, kibonge wa nguvu, mzuri wa sura, macho muda wote kama amekula kungu na nyuma amefungasha wowowo
utasema wako wawili. Mtaani kwao walikuwa wakimuita kwa jina la Bonge, hata mimi siku za…
Ukweli Kuhusu Pauline Zongo uko Hivi
NAMFAHAMU Pauline Zongo tangu enzi za East Coast Team akiwa kama First Lady wa kundi hilo akiwa na wasanii wengine kama AY, Crazy GK, MwanaFA, Abbas, Snare na wengine mwishoni mwa mwaka 1999 na mwanzoni mwa miaka ya 2000.
…
Mapinduzi, Mustapha Wampasua Kichwa Nabi
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema anapenda kuona wachezaji wake wote wakiwa uwanjani, lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake inakuwa ngumu kuwatumia wote.
Miongoni mwa wachezaji ambao kwa sasa wapo…
CRYOGENIC PRESEVARTION: Teknolojia ya kuwahifadhi Wafu kisha Kuwafufua
Dunia inakwenda kwa kasi sana, wanasayansi wanaumiza vichwa kila kukicha ili kupambana na hofu kuu ya binadamu, kifo. Ipo wazi kwamba pamoja na ujanja wake wote, binadamu bado hajafanikiwa kupata dawa ya kifo.
Yaani utafanya mambo yako…
Crown ya Kiduku, Dullah Mbabe Hadharani
RASMI Kampuni ya Jan International kupitia Mkurugenzi wake, Jan Mohamed Kishki leo Agosti 6, 2021 imeandikishana saini na Azam Tv mikataba ya gari mpya aina ya Toyota Crown kwa ajili ya mshindi wa pambano kati ya Twaha Kiduku na Dullah…
Beki Yanga: Nabi Atawanyoosha Simba
BEKI anayeimbwa sana kwa sasa ndani ya Yanga tangu alipoanza kupewa nafasi ya kucheza, Dickson Job, amesema kuwa kuna mambo yameanza tangu kuja kwa kocha Nasreedin Nabi na huenda wakashinda dhidi ya Simba kirahisi.
Job alisema kama…
Familia Yatupiwa Vyombo Nje, Mama Asimulia kwa Uchungu
Bibi mwenye ulemavu wa kusikia na miguu, Baya Said Simba yupo katika wakati mgumu kufuatia madai kwamba nyumba aliyoachiwa na baba yake imeuzwa yeye akiwemo ndani hivyo kumfanya ashindwe kujua pakwenda kuishi.
KMC Watamba Kuwachapa Simba leo
KUELEKEA mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakaopigwa leo, kikosi cha Wana Kinondoni, KMC kimejinasibu kuwa wanaimudu Simba na wataibuka na ushindi kwenye mchezo huo.
Mchezo huu utakuwa wa kwanza kwa timu hizo…
Simba Kutuma Mashushushu Nigeria Wiki Ijayo
UONGOZI wa Klabu ya Simba upo katika mchakato wa kuwatuma watangulizi kwa ajili ya kuwachunguza wapinzani wao nchini Nigeria, Plateau FC wanaotarajia kukutana nao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba inatarajia…
MTOTO WA MIAKA 10 AJITAHIRI KWA KISU
Mvulana wa miaka 10 mkazi wa kijiji cha Itare nchini Kenya amejitahiri kwa kutumia kisu baada ya wazazi wake kushindwa kulipia gharama ya Ksh 1000/- ya kupewa huduma hiyo hospitali. Mtoto huyo wa darasa la pili ameeleza chombo cha…
Madai ya Kuazima Vyombo… Mama Asuta Mtaa Mzima – Video
USWAHILINI kuna vituko! Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Mama Shamira Mkazi wa Jeti Lumo Mtaa wa Masizi jijini Dar es Salaam, amewashushia kichambo cha kuwasuta watu mtaa mzima.
Kisa cha kufanya hivyo kwa mujibu wa…
Kimenuka! Kigogo, Diwani CCM Watoleana Siri za Chumbani
UKISIKIA kimenuka; jua hali ya hewa imechafuka na kweli ndivyo ilivyo kwa kigogo mmoja na diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao ni mume na mke kuamua kutoleana siri za chumbani; Uwazi linakupakulia uhondo kamili. …
Balaa la Mchepuko Mke Afunga Mtaa, Azua Timbwili, Adai Talaka!
DAR: Balaa la mchepuko linapokuzukia kwenye ndoa yako, weee! Lisikie hivyohivyo, usiombe likutokee kama kijana Hamza Imam lilivyomtia aibu mtaani. Hamza, mkazi wa Madafu Tandika jijini Dar es Salaam, Jumatatu wiki iliyopita haikuwa…
Aanika Siri za Chumbani za Mume wa Mtu… Asutwa!
PWANIVituko haviishi duniani! Mkazi wa Vikindu mkoani Pwani anayetajwa kwa jina moja la Shamila ametamani ardhi ipasuke aingie baada ya kuvamiwa na shoga’ke aitwae Khadija Mnanji akiwa na kundi la wasutaji na kuanza kumsuta huku…
Denti Apewa Mimba na Bab’ake Mzazi
HIVI dunia inakwenda wapi? Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mkenyenge wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, (jina linahifadhiwa), amemtaja baba yake mzazi aitwaye Kidumali kuwa amemgeuza mkewe na kumpa ujauzito uliosababisha…
AZIMIA AKIMUOMBA PENZI MUME WA MTU!
NANI kasema wanawake hawawezi kuwatongoza wanaume? Mjini Morogoro mwanamke mmoja (jina halikupatikana) amejikuta akizimia wakati akimuomba penzi mume wa mtu.
Tukio hilo la aina yake limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita…
Funga Mtaa, Mke Atumia Mdundiko Kumtoa Mumewe Kwa Mchepuko Wake
DAR ES SALAAM: MAISHA ya uswahilini raha sana jamani! Mambo yalikuwa burudani kwenye sherehe iliyofunga Mtaa wa Bi. Ndege uliopo maeneo ya Hananasif, Kinondoni jijini Dar iliyoandaliwa na mwanamke aitwaye Mama Abdul ikiwa ni staili…
Inauma Sana! Baba Akatwa Ulimi, Ateseka
HAKIKA hujafa, hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari hii ya baba aliyefahamika kwa jina la Salim Mohammed mkazi wa Tuangoma jijini Dar kujikuta akikatwa ulimi wake baada ya kubainika kuwa ana tatizo la kansa eneo hilo na…
Mateso100% Binti adai KULAZWA KWENYE BANDA LA KUKU
PWANI: Mateso asilimia 100! Ndivyo walivyozungumza majirani wakati wakielezea tukio la binti anayedawa kulazwa kwenye banda la kuku, Amani linakushushia tukio zima! Mwanadada Salma Ally, mkazi wa Kibaha-Kwa Mathias mkoani Pwani…
Waliokufa ajali ya moto Moro… UTATA WAIBUKA!
WAKATI tume iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ikisubiriwa kutoa majibu ya kuwepo au kutokuwepo kwa uzembe kwa mamlaka husika za serikali juu ya ajali ya moto iliyoua watu 89 mpaka sasa mkoani Morogoro, utata umeibuka,…
Mtoto Ajinyonga Akisonga Ugali
MTOTO aliyejulikana kwa jina la Maria Saidi Mtengwa (16) mkazi wa Salasala jijini Dar amekatisha uhai wake kwa kujinyonga kikatili wakati akiandaa chakula cha mchana huku chanzo kikiwa hakijulikani.
Tukio hilo lilitokea…
ANASWA WIZI WA MTOTO MCHANGA
AIBU! Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Mkazi wa Urambo mkoani Tabora amenaswa kwa wizi wa mtoto mchanga. Tujiunge na mama Akizungumza na Risasi Mchanganyiko kwa majonzi, mama wa mtoto, Salome Sindigu alisema…
MADAI MAZITO MUME ACHOMA NYUMBA KUPOZA HASIRA!
MWANAUME mmoja aliyefamika kwa jina la ‘Mlawa’ mkazi wa Kizani, Gezaulole jijini Dar amedaiwa kuchoma nyumba yake na kupoza hasira alizokuwa nazo. Kwa mujibu wa mashuhuda, jamaa huyo anadaiwa kufanya tukio hilo kutokana na kuwa na…
UBAKAJI WATIKISA DAR WANAWAKE WACHARUKIA POLISI, WASEMA: TUMECHOKA!
TUMECHOKA! Ndivyo walivyosikika kundi kubwa la wanawake ambao wameandamana kupinga tukio lililowatikisa la ubakaji wa binti wa miaka 16 anayedaiwa kubakwa na mjomba wake, UWAZI lilikuwepo. Wanawake hao walifunga Mtaa wa Bwawani…
MSHTUKO MUME ADAI MADAKTARI KUUA MKEWE NA MTOTO
MSHTUKO! Chrispine Mtuta, mkazi wa Mbezi- Kwembe jijini Dar, ameibuka na tuhuma nzito za kushtua kwamba, madaktari wamechangia kifo cha mkewe, Paulina Patrick. Paulina alikata roho Julai 24, mwaka huu katika Hospitali ya…. (jina…
MADAKTARI WAKWAA SKENDO
HUJAFA hujaumbika ni msemo wa Kiswahili wenye tafsiri ya maisha ya kiumbe na maumbile yake halisi aliyoumbwa na Mwenyezi Mungu na baadaye kuishi duniani kwa kadiri Mungu alivyomkadiria maisha yake. Unaweza kuzaliwa ukiwa na viungo…
VIDEO-BIBI AFANYIWA UTAPELI, AMLILIA RAIS MAGUFULI!
DAR ES SALAAM: Ni stori ya kusikitisha ambayo inamhusu bibi aitwaye Mwanahawa Mshamu Ngomari ambaye anadai kutapeliwa nyumba yake iliyopo Kawe Ukwamani jijini Dar huku kijana aliyefahamika kwa jina la Felix Urio akitajwa kuhusika na…
MAMA AMWAGIWA PETROLI, ACHOMWA MOTO HADI KUFA
MaMa mmoja ajulikanaye kwa majina ya Lucia Keraka mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Kijiji cha Kerende wilayani Tarime, Mkoa wa Mara amefariki dunia baada ya kumwagiwa petroli kisha kulipuliwa kwa moto na mwanamke mwenzake. Mauaji hayo…
MWANAKWAYA AMUUA MWANAKWAYA MWENZAKE
KABLA tukio la kusikitisha la Naomi Marijani, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, kudaiwa kuuawa na mumewe kisha mwili wake kuchomwa moto halijapoa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limetoa tuhuma mpya kwamba mwanakwaya mmoja, mkazi…
FAGIO KALI CCM
HALI ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ kinachounda serikali si shwari kutokana na kuwepo kwa madai kuwa, kuna baadhi ya makada wa chama hicho wanamhujumu mwenyekiti wao ambaye ni Rais Dkt. John Magufuli kuelekea uchaguzi mkuu…
SABABU WANAWAKE KUUAWA ZAANIKWA
MATUKIO ya wanandoa kuuana yanaendelea kukithiri nchini na kuleta tishio jipya hasa kwa wanawake ambao kwa kiasi kikubwa ni waathirika wa matukio haya ya kinyama. Risasi Jumamosi hivi karibuni limechimba kwa undani na kuibuka na sababu…
SANGOMA MASHAROBARO WATIKISA
DAR ES SALAAM: VIJANA watano waliotajwa kuwa ni waganga wa kienyeji ‘sangoma’ tena masharobaro wameutikisa mji wa Morogoro baada ya kudaiwa kutoa mapembe (majini au uchawi) kwenye nyumba za watu, Amani lina habari nzima. Mkazi mmoja wa…
MAUZA UZA PAKA WA AJABU ATIKISA NYUMBANI KWA MSANII
UKISIKIA neno mauzauza maana yake ni hali ya ovyoovyo isiyotambulikana; hii ndiyo imedaiwa kuletwa na paka wa ajabu nyumbani kwa msanii wa Bongo Muvi, Jully Tax. Kumtambua Jully Tax ambaye kwa sasa maskani yake ni Mbezi Beach jijini…
MAMA ALALA NA NYOKA SIKU 14
MAMA mmoja aliyefahamika kwa jina la Asha Mohammed mkazi wa Boko Chama jijini Dar amejikuta katika mateso mazito kufuatia kupooza miguu na masikio yake kutosikia ambapo katika harakati za kutibiwa alijikuta akilazwa na nyoka chumbani…
FREEMASON, UCHAWI VYATEKA MAKANISA BONGO
DAR ES SALAAM: SIKU za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na maandiko yaliyopo kwenye Biblia takatifu kwani kwa sasa hali ni mbaya makanisani, Amani limedokezwa.
Madai mazito ni…
MSANII APIGWA MIMBA YATOKA
DAR ES SALAAM: MAMBO mengine yanatafakarisha! Hivi inawezekanaje umkataze mtu atukane halafu ageuke mbogo na baadaye kukushushia kipigo hadi ujauzito uharibike? Amani limepokea kisa hiki na linakupakulia.
Msanii wa filamu…
Mume Aliyeimkata Mikono Mkewe, Fundisho kwa Wanaume!
KAMA kuna habari iliyojaa mafunzo kwa wanaume ni hii ya Jackline Mwende ambaye alikatwa mikono yake na mumewe na habari yake kuandikwa na vyombo mbalimbali vya habari likiwemo Gazeti la National la Kenya baada ya mahojiano akiwa…
SIMANZI NZITO MGODINI
NI simanzi nzito! Wachimbaji wawili wa dhahabu katika Kijiji cha Izumbi, Sangamba Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo katika Mgodi wa Mwembe wilayani Chunya, Mbeya.
Tukio…