×

Mikasa

Nilivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi -10

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA Akili yangu ilifanya kazi haraka na kujiuliza, ‘huyu panya anaishije kwenye shimo hilo refu? Je, inawezekana hutoka...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti Ili Nitajirike -20

ILIPOISHIA Nikasikia sauti ile ikiniambia niende ndani ya mochwari ile, maelekezo mengine angeniambia, nikafanya hivyo na kuanza kuingia humo ambapo...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-29

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly na rafiki ya Ipyana walipowasili Posta na kwenda moja kwa moja kwenye...

READ MORE

Jini Mauti-25

Ilipoishia wiki iliyopita Kifo cha Hemedi kilinitisha mno achilia mbali kuniumiza, nikawa najiuliza kwa nini hakunielewa nilipomkataza na kumweleza angefariki...

READ MORE

Huyu Naye…fuata Maelekezo -10

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:   “Mama mimi sina uhusiano wowote na mume wako, wala sina mawazo hayo,” nilianza kujinasua mwenyewe ili...

READ MORE

Sitasahau Nilivyokumbana na Jini Mwanaume-4

ILIPOISHIA WIKIENDA  “Ndiyo. Nilikuwa bafuni wakati unanipigia,” nikatoa uongo.  “Nilifikiri umesahau.”  “Hapana, sikusahau. Nilikuwa nikupigie nikitoka bafuni.”  Mzungu akanyamaza kimya...

READ MORE

Usipige Bwana…Tuma Meseji!-6

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “Kwa ninavyomjua, yule hawezi kuamka tena mpaka asubuhi,” alisema Bony naye akienda chumbani, Aisha akamshika...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 15

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Tiaki,” nilimuita kwa sauti ya upole sana. “Naam.” “Ukiniambia ukweli mipango yetu itakwenda sawasawa kama unavyotaka wewe,...

READ MORE

Jini Mweusi-72

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila...

READ MORE

Kilichonitokea Baada ya Kubakwa na Kaka Yangu-37

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Dorcas aliposhangazwa sana na kitendo cha Barton kunywa maji mengi asubuhi baada ya kuamka...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-17

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Kaka Cheni bwana,” niliita kwa sauti ya chini sana lakini yenye kuashiria kumfokea. “Hivi wewe  husikii au?...

READ MORE

Huyu naye…fuata maelekezo -09

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI:  “Njoo!” nilimwita moyoni nikasema potelea mbali kama mama Rehema ndiye aliyenitumia meseji… “Basi nikukute tayaritayari, hakuna kupoteza...

READ MORE

Chongo! 26

ILIPOISHIA Mwani alikuwa kwenye korongo lililo umbali wa kutupa jiwe kutoka nyumbani kwao, eneo ambalo kwa zaidi ya miaka kumi...

READ MORE

Nilivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi – 9

ILIPOISHIA   Tuliamriwa  kusimama na kuanza safari na kuelekea kwenye shimo ambalo limeandaliwa kwa shughuli hiyo. Yule msichana aliyekuwa mjamzito...

READ MORE

Fedha za Majini Zilivyoniendesha Puta-3

ILIPOISHIA Nikamuacha atangulie mbele yangu. Njia tuliyokwenda ilikuwa ikielekea lilikokuwa shamba lake. Nikahisi tulikuwa tunakwenda shambani kwake. Lakini tulipolikaribia shamba...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Ili Nitajirike -7

ILIPOISHIA Mzee Hassani hakutaka kuzungumza tena, naye alikuwa kimya, macho yake yalikuwa mbele, hakuonekana kuwa na hofu hata kidogo, ila...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-27

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly akiwa na rafiki yake Ipyana wakielekea Posta kufanya kazi ya kuosha magari. Wakiwa...

READ MORE

Jini Mauti-25

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Karibu mrembo,” alinikaribisha na kutulia kitini.   Tukaanza kuongea, kila sentensi moja aliyoizungumza ilikuwa ni lazima kuniambia...

READ MORE

Sitasahau Nilivyokumbana na Jini Mwanaume-3

ILIPOISHIA IJUMAA: Yule mzungu alikuwa akiendelea kuogelea tu na mimi nikimfuatia nyuma. Ghafla nikaona tumetokea kwenye kisiwa kizuri kilichokuwa na...

READ MORE

Usipige Bwana…Tuma Meseji!-7

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Yaani hawa walitakiwa kuweka Bajaj kabisa, hata kwa mia mia. Ni mbali sana chooni,” alisema Neema...

READ MORE

Huyu Naye…fuata Maelekezo – 08

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Kwa kweli chumbani kulikuwa mbali sana, wote tulijikuta palepale sebuleni tukizama kwenye denda sasa huku nikimshukuru sana...

READ MORE

Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani-17

ILIPOISHIA:   Mara alitokea mwanaume mmoja aliyekuwa amevalia kaptula iliyovuka magoti, juu alikuwa kifua wazi na kuonesha michoro ya tatuu...

READ MORE

Mdogo wa Ngoma Agongwa, Afariki Dunia

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma. Wilbert Molandi na Said Ally MSHAMBULIAJI wa Yanga, Donald Ngoma anatarajiwa kuukosa mchezo wa kimataifa...

READ MORE

Sitasahau Nilivyokumbana na Jini Mwanaume-2

ILIPOISHIA WIKIENDA  Nilipomtajia namba yangu aliiandika kwenye simu yake kisha akanipigia hapo hapo.  Simu yangu ilipoita aliniambia:  “Namba yangu ndiyo hiyo,...

READ MORE

Nelly Muosha Magari wa Posta-27

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Doreen aliyekuwa kapagawishwa vya kutosha na Nelly kupitia kwenye simu na kujikuta akifikia kilele...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni…Ndiyo Nini Sasa?!-16

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mama aliacha fagio akaenda kwenye mlango wa kaka Cheni, akashika kitasa, ikaonekana mlango umefungwa… “We Cheni,” mama...

READ MORE

Uso kwa uso na mtoa roho!-9

ILIPOISHIA: Huku nikitetemeka, nilisogea mpaka pale yule mganga alipokuwa amelala, akiendelea kukoroma kwa nguvu, mimi nikamshika miguuni na baba akamshika...

READ MORE

Chongo!-25

Ilipoishia wiki iliyopita “Sasa dada Mwani tukusikilize ili utueleze jinsi gani huu mchezo unavyoweza kufanyika na kutuwezesha kufikia malengo bila...

READ MORE

Huyu naye…fuata maelekezo-7 

ILIPOISHIA GAZETI LA RISASI JUMAMOSI: Nilikwenda sebuleni na kuchuchumaa ili kuonesha adabu mbele ya wenye nyumba ambao ni mabosi wangu…...

READ MORE

Fedha za Majini Zilivyoniendesha Puta-2

ILIPOISHIA “Sasa sijajua bado, tukio lenyewe limetokea ghafla sana. Nahitaji kwanza kushauriana na mama yake. “Basi ngoja nimpe simu uzungumze...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Ili Nitajirike -6

ILIPOISHIA Kesho asubuhi ilipofika, Dickson akaniaga, akaniambia kwamba siku hiyo asingefanya kazi yoyote ile bali anaondoka kwa ajili ya kwenda...

READ MORE

Nilivyoteseka Kwenye Mianzi ya Kichawi – 9

ILIPOISHIA Kama vile hiyo haitoshi, nilimchukua ndege na kumuweka kwenye kopo na wote wakashuhudia nikilipondaponda lile kopo lakini nilipofunua kapu...

READ MORE

Sitasahau Nilivyokumbana na Jini Mwanaume

Nilichozoea kusikia ni kwamba kuna majini wanawake wanaojigeuza binadamu na kuwatongoza wanaume. Wengi wa majini hao hutaka kuishi na binadamu...

READ MORE

Usipige Bwana…Tuma Meseji!-5

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Walizungushana hapo, wakahamasishana, wakazama kwenye mahaba mazito huku Aisha akijiachia kwa umakini kwani muda mwingi alionekana...

READ MORE

Kuzimu Na Duniani-20

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Lakini ukiachana na hayo, lingine ni hayo maeneo ambayo yalitajwa kuwa ni hatari. Niliifikiria njia panda ya...

READ MORE

Usipige Bwana…Tuma Meseji!-4

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: Mabusu hayo yalimsisimua Aisha, akajikuta amemkodolea macho Bony huku akimwambia… “Shemeji sitaki huko.” “Hutaki nini..?”...

READ MORE

Jini Mweusi – 70

Hali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam, machangudoa wengi wanaanza kuuawa katika mazingira ya kutatanisha. Hakuna anayemjua muuaji, kila...

READ MORE

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-15

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mlango ulifunguliwa polepole nikajua sasa kaka Cheni anawawasili  si nikajiachia kwa raha zangu! Ili kudeka kwa kaka...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 13

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Ghafla nilimwona ananikumbatia halafu akanielekeza kulala kitandani, nikaelekea hapo polepole huku mapigo ya moyo yakinienda kwa kasi...

READ MORE

Uso kwa Uso na Mtoa Roho!-8

ILIPOISHIA: Akawa anazunguka huku na kule kama anayetafuta kitu fulani pale nje kwetu, ghafla nikaona mlango ukifunguliwa, baba akatoka kwa...

READ MORE