Browsing Category
Siasa
Baraza la Vyama vya Siasa Lilivyoshauriana Namna ya Kuongeza Ushiriki wa Wanawake
BARAZA la Vyama vya siasa nchini kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia (TGNP) na WiLDAF Tanzania wameendesha mashauriano ya kuleta namna bora ya kuongeza ushiriki wa wanawake katika ngazi za maamuzi na…
Breaking: Zungu Apitishwa Kuwania Unaibu Spika
#BreakingNews: Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempitisha Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu kuwa mgombea wa nafasi ya Naibu Spika wa Bunge, jijini Dodoma, leo Jumanne Februari 8, 2022.
Zungu amepitishwa na wabunge wote wa CCM…
CCM Yazindua Kadi Mpya za Kielektroniki
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kadi mpya za wanachama za kielektroniki zenye taarifa na kumbukumbu muhimu za mwanachama zitakazowatambulisha na kuwawezesha kupata huduma za kifedha.
Uzinduzi wa kadi hizo umefanyika…
Watakaomrithi Dkt. Tulia, Dirisha Limefuguliwa Rasmi
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefungua pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya naibu spika wa Bunge katika uchaguzi utakaofanyika Bungeni jijini Dodoma 11 Februari 2022.
Dkt. Tulia: Bunge ‘Halitamezwa’ na Serikali
ALIYEKUWA Naibu Spika Dk Tulia Ackson na mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kiti cha Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema Mhimili wa Bunge umepewa majukumu kikatiba kuisimamia na kuishauri serikali…
Warithi wa Ndugai Wafikia 51
NAFASI iliyoachwa wazi ya Uspika wa Bunge la Tanzania na Job Ndugai, imeendelea kushindaniwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wamefikia 51.
Ndugai aliyeongoza muhimili huo wa Bunge kuanzia Novemba 2015,…
Steve Nyerere Amvaa Mwijuaku Kisa Uspika
MSANII Maarufu wa vichekesho nchini, Steven Mengere 'Steve Nyerere' ameamua kuvunja ukimya na kuwalipua baadhi ya watu waliochukua fomu kuwania u-spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akidai kuwa baadhi yao hawana sifa za…
Mfahamu Binti Mdogo Aliyechukua Fomu ya Uspika
Mkazi wa Temeke, Ester Makazi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania.
Ester mwenye miaka 32 amechukua fomu hiyo jana Alhamisi Januari 13, 2022 katika ofisi ndogo…
Wana-CCM Tisa Wajitosa Uspika
Wanachama tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu za kuwania nafasi ya uspika wa Bunge kupitia chama hicho, kumrithi Job Ndugai aliyejiuzulu wiki iliyopita.
Akizungumza jana kwa niaba ya Katibu wa Itikadi na…
Mbatia Kwenda Mahakamani Kupinga Ndugai Kujiuzulu
Chama Cha NCCR-Mageuzi kimesema kinakusudia kwenda mahakamani kupinga iwapo kutakuwa na mchakato wowote wa kumpata Spika mpya wa Bunge la Tanzania ili kulinda uhai wa Katiba ya nchi.
Chama hicho kimesema wanachukua uamuzi…
Katiba Inasemaje Kuhusu Kiti cha Spika Kikiwa Wazi
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amejiuzulu nafasi hiyo kuanzia jana Januari 6, 2022 kwa hiari yake mwenyewe kwa kulinda maslahi ya Taifa, serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania (84)…
Lema Lissu Waamua Kurejea Nchini
MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema Kamati Kuu ya Chama chake imeadhimia yeye pamoja na mwanasiasa Godbless Lema kurejea nchini ili kushiriki shughuli za kisiasa na ujenzi wa taifa.
Akizungumza kwa njia ya…
CCM Wamkomalia Ndugai
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameendelea kukaliwa ‘koo’ na chama chake baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Singida kusema, hakitakubali kuona mtu yoyote anapingana na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli hiyo…
Polepole Awataja ‘Wahuni’ Wote
Mbunge wa kuteuliwa na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole amekubali kuwajibika kuhusiana na swala la wahuni serikalini akisema serikali ilikosea kuweka viongozi wanaoweza kujinasibu kuwa wao ni wahuni.
…
Polepole, Gwajima, Silaa Waitwa CCM
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Desemba 17, 2021 imepokea na kujadili Mienendo ya Wabunge wake Jerry Slaa Humprey Polepole Josephat Gwajima! Imeazimia Kuwaita na Kuwaskiliza!
Halmashauri Kuu ya CCM Kukutana Desemba 18
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), inatarajiwa kukutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan katika makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa…
NCCR Yaungana na Chadema Kususia Mkutano
VYAMA vya NCCR-Mageuzi na Chadema vimeungana kususia mkutano ulioitishwa na Baraza la Vyama vya Siasa. Mkutano huo wenye la lengo la kuondoa mvutano kati ya vyama vya siasa na jeshi la polisi utafanyika Desemba 16 na 17, Dodoma huku…
CCM: Hatuko Tayari Kuwa Waongo
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema ni lazima Chama kishikane mashati na serikali ili kutimiza kila kilichoahidi wananchi katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020-2025.
Chongolo ametoa kauli hiyo…
CHADEMA Yasusia Uchaguzi Ngorongoro
TAARIFA KWA UMMA
Katibu Mkuu John Mnyika ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu rasmi kuwa Chadema hakitashiriki uchaguzi wa marudio wa ubunge kwenye Jimbo la Ngorongoro na kata saba na badala yake amesisitiza…
CCM Yafumua Makatibu Nchi Nzima, Yapanga Upya
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika kuendelea kufanya mageuzi ya kiuongozi na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya wakati, mwenendo wa mabadiliko ya siasa za dunia na madhumuni ya Chama chetu katika kuwatumikia wananchi kikamilifu.
…
Polepole: Sina Mpango na Ubunge
MBUNGE wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole ameweka wazi kwamba hana mpango wa kuwania nafasi ya ubunge wa jimbo ifikapo 2025 kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakimhoji kwa kile alichoeleza kuwa ni kazi ambayo hana utume nayo…
CCM Yateua Mgombea Ubunge wa Ngorongoro, Umeya Shinyanga
Taarifa kutoka Chama Cha Mapinduzi. Yateua mgombea Ubunge wa Ngorongoro pamoja na wagombea Umeya wa Shinyanga.
CCM Yaipongeza ACT Wazalendo – Video
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekipongeza Chama cha ACT Wazalendo kwa kuibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha Ubunge katika Jimbo la Konde Visiwani Pemba na kukibwaga CCM.
Hayo9 yamesemwa leo Jumanne, Oktoba 12, 2021 na…
Askofu Gwajima, Wenzake Waachwe, Mawaziri Wajiuzulu
Wabunge watatu wa CCM, Jerry Silaa (Ukonga), Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Humprey Polepole (mbunge wa kuteuliwa), Septemba 3, 2021 walifika mbele ya kamati ya maadili ya wabunge ya CCM na kuhojiwa ikiwa ni kuitikia agizo la Bunge.…
Kauli ya Ndugulile Baada ya Kutumbuliwa
ALIYEKUWA Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile, amemshukuru Rais Samia kwa kumpa nafasi ya kuhudumu ndani ya serikali yake kwa kipindi cha takribani miezi sita.
Dkt. Ndugulile ameandika…
Msajili Aishauri CHADEMA Kuweka Picha ya Rais
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeishauri CHADEMA kuweka picha ya Rais katika ofisi za viongozi wa chama hicho kwa sababu hiyo ni taasisi ya umma.
Ushauri huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 10, 2021 na Msajili Msaidizi…
Othman Aanika Sababu Mbunge CCM Kujiuzulu
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amepasua jibu la uchaguzi wa marudio wa Konde na sababu zilizomfanya mgombea wa CCM kujiuzulu ubunge baada ya kutangazwa mshindi. Uchaguzi wa Konde ulifanyika Julai 18 baada ya…
Sakata la Chanjo! CCM Yamuonya Polepole
KATIBU Mkuu wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Laban Kihongosi amesema wanasikitishwa na matendo yanayofanywa na Mbunge Humprey Polepole kuhusu suala la chanjo, kwani Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya…
CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Konde
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Konde visiwani Zanzibar, baada ya mgombea wake Sheha Faki kujipatia kura 1,796 na kuwashinda wagombea wenzake 11.
Matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika jana…
Dk. Diallo Aomba Radhi Kauli Yake Tata
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, Dk. Anthony Diallo ameomba radhi ‘kiaina’ baada ya kauli yake kuzua mjadala ndani na nje ya chama chake.
Dk. Diallo amesema, ametafasiriwa vibaya na baadhi ya watu…
Mbunge Hussein Nassor: Siombi Radhi
MBUNGE wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani Msongozi amesimama na kuomba mwongozo kuhusu ishu iliyotokea jana Juni 1, 2021 ya Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge na Spika kwa madai kuwa amevaa nguo…
Sakata la Mbunge Condester Kufukuzwa Bungeni, Wabunge Wacharuka
Sakata la Mbunge wa Tunduru, Condester Michael Sichalwe (CCM) kutolewa bungeni kipindi cha asubuhi kutokana na kuvaa mavazi yasiyoendana na maadili baada ya Mbunge wa Nyang'awele, kuomba mwongozo kwa Spika jambo lililopekea Mbunge huyo…
Kwa Mara ya Kwanza Dkt. Bashiru Atema Nyongo Bungeni
DAKTARI Bashiru Ally, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, jana tarehe 25 Mei 2021, amesimama bungeni kwa mara ya kwanza na kutumia jukwaa hilo kuzungumzia masuala mbalimbali yaliyojitokeza nchini, tangu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati…
Chongolo Akutana na Mzee Msekwa
KATIBU Mkuu Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba na kumuahidi kukitumikia, kukisimamia na kukiimarisha zaidi Chama Cha Mapinduzi.…
Mnyika: Bawacha Haijaundwa Kupeleka Wabunge wa Viti Maalum
Katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika amelitaka Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha) kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwa ustawi wa chama hicho na Taifa.
Mnyika ameeleza hayo jana Jumanne Mei 18, 2021 katika…
CCM Kumpeleka Zitto Mahakamani
BAADA ya kiongozi ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kudai kuvamiwa na gari tatu za CCM, Katibu wa chama hicho tawala Mkoa wa Kigoma, Kajoro Vyohoroka amesema wanasubiria matokeo yatangazwe wafungue jalada mahakamani la kudhalilishwa na…
Dkt Samizi CCM Ashinda Uchaguzi Muhambwe
MGOMBEA wa CCM katika jimbo la Muhambwe, Dk Florence Samizi ametangazwa mshindi katika uchaguzi ulifanyika jana. Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa Muhambwe, Atashasta Nditiye kufariki Feberuari mwaka huu.
…
Dkt. Mpango, Nape, Nyalandu ‘Wavuruga’ Muhambwe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Philip Mpango awahakikishia watu wa Kibondo kupata uhakika wa maji safi na salama kwa kujenga tenki kubwa…
Gwajima: Nchi ni Lazima Iwe na Maono ya Miaka Mingi – Video
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi.
Amefafanua kuwepo kwa maono ya muda…
Chongolo Kumrithi Bashiru Ukatibu Mkuu wa CCM – Video
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amempendekeza Daniel Godfrey Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho.
Chongolo ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam,…