The House of Favourite Newspapers

Charles Hillary: Samata Hawezi Kuanza Kwenye Mchezo Huu

0

Usajili wa Samatta bado ni gumzo Tanzania na hata nje ya mipaka ya Bara la Afrika kwani amevunja mwiko kwa Watanzania kutocheza Ligi Kuu ya Uingereza.

Mtangazaji nguli nchini Tanzania, Charles Hillary amepata wasaa wakuzungumzia usajili wa Samatta Aston Villa na kutoa mtazamo wake wa juu ya mechi ambazo anahisi Samatta hatacheza.

Leave A Reply