The House of Favourite Newspapers

Cheki Ndege Ya Uswisi Ilivyotua Kwa Mara Ya Kwanza Ardhi Ya Tanzania-Video

0

Ndege ya Shirika la Ndege la Uswisi Edelweiss, Airbus A340, imetua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kuzindua safari ya moja kwa moja kutoka Uswisi kuja Tanzania. Imekuja na abiria 260, wengi wao wakiwa ni watalii.

 

Ndege hii ina jumla ya viti 314, kati yake 27 ni Business class, 76 ni Economy Max na 211 ni Economy. Ndege Itakuwa na ruti 2 kwa wiki kutoka Uswisi hadi KIA kwenda Zanzibar, na kurudi Uswisi moja kwa moja.

Leave A Reply