Chelsea Yaitungua Brentford

Usiku wa kuamkia leo Desemba 23, Chelsea imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la ligi EFL Carabao Cup kwa kuizaba Brentford 2-0.

Bao la mkwaju wa penati la dakika za jioni uliopachikwa na Jorginho lilimaliza ndoto za Brentford na kuihakikishia tiketi ya nusu fainali Chelsea.

Sasa matajiri hao wa London wataanzia nyumbani kwenye nusu fainali dhidi ya Tottenham Hotspur inayofundishwa na mwalimu wa zamani wa timu hiyo Antonio Conte katika vita nyingine ya London.3473
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment