The House of Favourite Newspapers

Combination ya Dk Shika na Ebitoke Usiku wa 900 ITAPENDEZA (Video)

Ebitoke akifunguka wakati wa tukio hilo.

WAKAZI wote wa jiji la Dar es Salaam, wametakiwa kukaa tayari na kujiandaa kwa Tamasha kubwa litakalofanyika usiku wa Desemba 9, 2017, katika ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar Live, ambalo ni maalum kwa ajili ya Dkt Louis Shika, ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kupitia nyumba za Mfanyabiashara, Said Lugumi, alizotaka kuzinunua.

Dk Shika akifunguka.

Tamasha hilo la kipekee kwa Dkt Shika, litahusisha pia baadhi ya wasanii akiwemo Wachekeshaji, Ebitoke na Maufundi, pamoja na wasanii wa muziki wakiwemo, Linex, Prince Amigo na Bendi ya Twanga Pepeta.

Meneja wa Dk Shika, Catherine Kahabi akizungumza na wanahabari, kulia ni Meneja Burudani wa Dar Live.
Diof akifungukia event hiyo.

 

 

 

 

SHUHUDIA VIDEO DK SHIKA NA EBITOKE WAKIFUNGUKA

Comments are closed.