The House of Favourite Newspapers

‘Daktari’ Achezea Kipigo Baada ya Kubambwa LIVE Akipokea Rushwa (VIDEO)

0

Global TV Online inakuletea wakali wa mchezo wa maigizo ya kuchekesha (Komedi) wanoitwa BAKORA SHOW ambapo kisa cha leo kinamhsusu ‘Daktari’ aliyenaswa LIVE Akipokea rushwa kutoka kwa mgonjwa aliyefika kutibiwa hospitalini hapo.

Baada ya tukio la kunaswa, Mr. Bakora alimtembezea fimbo za kutosha ‘daktari’ huyo ili liwe fundisho kwa wengine madaktari wenye tabia kama hizo.

===

Usipitwe na Matukio, Download na Install ==> Global Publishers App

Shuhudia mwenyewe video hii.

Leave A Reply