The House of Favourite Newspapers

Darasa atoboa siri ya kutusua zaidi kimuziki

0

darasaSTORI: BONIPHACE NGUMIJE

MWANAMUZIKI wa Hip Hop anayetamba kwa sasa na Wimbo wa Kama Utanipenda, Sharif Ramadhani ‘Darasa’ amefunguka kuwa, tatizo la yeye kupata kiki anapokuwa ametoa ‘hit song’ amelipatia ufumbuzi baada ya kuwa na timu nzuri ya kufanya nayo kazi.

Akichonga na safu hii, Darasa alisema miaka mingi amekuwa akipigania kukaa muda wote kwenye chati lakini hilo lilishindikana ila sasa timu yake anayofanya nayo kazi itakuwa ikiratibu kazi zake zote pamoja na kuhakikisha anapiga hatua zaidi ya hapo alipo.

“Siwezi kubisa kuwa na mafanikio kwenye muziki lakini bado sijafika mahali ninapotaka, hata hivyo timu ninayofanya nayo kazi kwa sasa ni jibu la kila kitu, naamini ndoto zangu zitatimia,” alisema Darasa.

Leave A Reply