The House of Favourite Newspapers

Darasa – Nguvu Ya Mwanamke | Eric Shigongo & Rodric Nabe -Video

0

“Hawa Wazungu wametudanganya muda mrefu sana kama sisi ni masikini, wametudanganya muda mrefu sisi ulimwengu wa tatu, tulikaa wapi tukakubaliana sisi ulimwengu wa tatu? Hayo nimaamuzi yao, tunakataa kuanzia leo, sisi sio masikini, sisi sio ulimwengu wa tatu” – Shigongo

Jishindie Simu Janja (Smart Phone) kwa kutazama kipindi bora cha *DARASA LA SHIGONGO* kupitia Global TV Online, kinachorushwa kila siku, Jumatatu-Ijumaa *Saa10:00 hadi Saa11:00 jioni*.

 

Cha kufanya ni rahisi; Ingia Youtube Channel ya Global TV kisha, *Subscribe*, na *Bonyeza alama ya kengele 🔔* (Notification bell).

Kipindi kinapokuwa hewani, ingia kwenye LIVE CHART kisha *comment* na uandike namba yako ya simu. Watu 100 wa kwanza wataingia kwenye droo ya kujishindia Simu kila wiki. DARASA LA SHIGONGO NDIYO MPANGO MZIMA, MJULISHE NA MWEZIYO, *BONYEZA LINK HII KU SUBSCRIBE*:https://bit.ly/2AyVIvE

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply