The House of Favourite Newspapers

Davido Aanika Ndinga Yake Mpya ya Tsh Bilioni 1.27, Inakuja!

0

MWANAMUZIKI kutoka nchini, Nigeria David Adeleke Adeleji maarufu Davido jana Januari 20, 2022 kupitia ukurasa wake wa twitter ameposti gari lake jipya aina ya LAMBORGHINI AVENTADOR likiwa njiani kuelekea nchini Nigeria.

Davido alinunua gari hilo ikiwa ni zawadi yake ya Krisimasi, mwezi Desemba mwaka jana kwa thamani ya dola za Kimarekani 550,000 (sawa na Tsh bilioni 1.270) ambayo kwa sasa iko njiani kuelekea nchini Nigeria.

Leave A Reply