The House of Favourite Newspapers

Davina: Hata niachike mara 100, napigania haki

0

davinaStori: Imelda Mtema, Wikienda

Dar es Salaam: Mwigizaji wa kitambo Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’  amefunguka kuwa, hata watu wakisema kila mara anaolewa na kuachika yeye hatajali maneno yao kwa vile hata anapokuwa kwenye ndoa hakubali haki yake kudidimizwa.

Davina aliliambia Wikienda kuwa ni rahisi kwa watu kusema anaachika hovyo bila kujua sababu zinazofanya mtu kuondoka kwenye ndoa.

“Acha watu waseme naachika hovyo kwani hata kama nikiachika mara 100, sijali kwani kikubwa ni kupata haki yangu ya msingi kama mwanamke,” alisema Davina anayedaiwa kuachika kwenye ndoa yake.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz

Leave A Reply