The House of Favourite Newspapers

Dawa Za P2 Zazua Jambo Bungeni – Tarimba Ahoji Zifutwe – Waziri Wa Afya Atoa Ufafanuzi – Video

0


Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ameihoji serikali kupitia Wizara ya Afya kwamba madhara ya kutumia vidonge vya kuzuia kupata ujauzito kwa wanawake maarufu kama P2 yanajulikana, kwa nini serikali inaendelea kuruhusu dawa hizo kuwepo kwenye maduka ya dawa?

Swali hilo limejibiwa na Dkt. Godwin Mollel ambaye ni Naibu Waziri wa Afya kuwa, siyo kwamba dawa hizo zina madhara isipokuwa zikitumiwa pasipo kufuata maelekezo ya daktari ndipo madhara hayo hutokea.

Dkt. Mollel ameendelea kutoa ushauri kwa wanawake kuwa wasitumie dawa hizo bila kufuata ushauri wa daktari.

Leave A Reply