DC SABAYA Amuonya OCD ”Nitawashughulikia” – Video

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amekabidhi mifuko 200 ya saruji na nondo tani moja pamoja na kokoto lori moja kwa Kituo cha Polisi cha Boma Ng’ombe wilayani Hai kwaajili ya upanuzi wa kituo hicho.

 

Akikabidhi vifaa hivyo vya ujenzi Lengai Ole Sabaya amemtaka Mkuu wa Kito cha Polisi, Lwelwe Mpina kusimamia vizuri matumizi ya vifaa hivyo vya ujenzi hivyo alivyo vitoa kwa jeshi hilo.

TAZAMA TUKIO HILO


Loading...

Toa comment