The House of Favourite Newspapers

DC SABAYA – “Diwani Una Bangi na Gongo, Unakuja Ofisini Kwangu” – VIDEO

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya Amefunga mafunzo ya Jeshi la akiba Katika Wilaya ya Hai.

Mafunzo hayo yaliyochukua takribani siku 120 ambapo leo ameyafunga Rasmi na kutoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hai kuangalia uwezekano wa kuwapatia ajira vijana hao walio hitimu mafunzo hayo.

Mkuu wa Wilaya Sabaya Amewaeleza wahitimu wa Mafunzo hayo kuwa nchi hii inapigana vita vya uchumi na wana wajibu wa kushiriki katika vita hivyo kwa kusaidia upatikanaji wa Kodi ya Serikali.

Comments are closed.