The House of Favourite Newspapers

MCH WA AMBER RUTTY – “Natabiri Waziri Atakufa 2019” – VIDEO

Mchungaji Komando Mashimo aliyejizolea umaarufu mkubwa baada ya kujitokeza na kumuwekea dhamana Mwanamuziki Amber Rutty na Mpenzi Wake Davil.

Amezungumza na Global TV Leo Januari 07, na kuweka wazi maono yake anayodai ameoneshwa na Mungu kuwa kuna Waziri Atafariki dunia ndani ya mwaka huu mpya ulioanza wa 2019.

Comments are closed.