The House of Favourite Newspapers

GLOBAL MOVIES: CORETHA (PART TWO) – VIDEO

CORETHA ni filamu inayoelezea matatizo yanayowakumba watoto wa kike katika jamii nyingi za kitanzania ambapo katika filamu hii mhusika Coretha ambaye ni mwanafunzi wa darasa la 6 alikatishwa ndoto yake na kuozeshwa na ndugu zake baada ya wazazi wake kuaga dunia. Na hii ni sehemu ya pili ya filamu hii.

Mtunzi- NESTORY MASEKE.

mwongozaji- NESTORY MASEKE.

Camera man- JIMMY PAPUSHKA. mhariri-

JIMMY PAPUSHKA WAHUSIKA FADHILI MSISIRI RINGO SURATH HAMIS EMANUEL MAASA MAGRETH FRANCIS KITUNGUU MAJI MAFISANGO JOHANES BI CHALLA NESTORY MASEK.

 

Comments are closed.