The House of Favourite Newspapers

Diamond Amfungukia Mimi Mars ‘Nakapendaga Sana Haka Katoto’

0

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameamua kuanika hisia zake kwa msanii mwenzake, Mimi Mars, kupitia ukurasa wa Instagram.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amepost video ya Mimi Mars akiwa anaimba wimbo mpya wa @officialzuchu na kuandika; “Mimi nakapendaga sana haka katoto…. sema sijui hata timing naikoseaga wapi mwana wa Dangote.. Dooh!”

Ikumbukwe kuwa Diamond Platnumz kwa sasa yupo single baada ya kubwagana na baby mama wake, Tanasha Donna.

Maoni ya mashabiki;

blambia “Mzee baba sio kwamba eti ni utani naelewa uko serious maana we kwa totoz nzuri balaa” which loosely translates to ‘Dude i know this aint a joke you are serious because for real this lady is so beautiful’.

aishasiku “Lol kwahyo unataka kurudi tz tena mi naona hujalimalizana na Burundi rwanda” which translates to ‘So i want to come back to Tanzania again, i think you are not done with Burundi and Rwanda’

Leave A Reply