The House of Favourite Newspapers

DIAMOND ASIMAMISHA KIJIJI MOROGORO – VIDEO

STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa kwenye Tamasha la Wasafi Festival 2018, amejikuta akivamiwa na kundi kubwa la mashabiki wake na kuanza kumshangilia mjini Morogoro wakati alipokuwa akichukua msosi.

 

Diamond akiwa na wasanii wa WCB, wasanii wengine pamoja na timu nzima ya Wasafi wapo njiani kuelekea kwenye Wasafi Festivel ambayo itafanyika Iringa kesho Ijumaa, Novemba 30 na Jumapili itafanyika mjini Morogoro.

Kitazame video hapa

Comments are closed.