The House of Favourite Newspapers

Balaa la Harmonize Akielekea Iringa – VIDEO

KAMA unaufahamu moto wa Harmonize pale WCB lazma utaelewa namna anavyokusanya kijiji na kusepa nacho hata kama akionekana maeneo kwa bahati mbaya. Global TV Online imenasa kipande cha video cha msanii huyo akiwa njiani wakati akielekea Iringa kwenye Wasafi Festival 2018.

 

Harmonize ni mmoja kati ya watakaokinukisha katika jukwaa la Iringa katika shoo ya Wasafi Festival kesho Ijumaa, Novemba 30, na Jumapili kukiwasha Morogoro Mjini.

 

Video Ipo Hapa chini, tazama balaa lake

Comments are closed.